simba

  1. H

    Hivi kuna nchi nyingine zenye matamasha kama haya ya Yanga na Simba day?

    Poleni na heka heka za weekend. Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023. Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
  2. Mtazamo wangu kuhusu Simba day hasa dakika 90 za mchezo

    Timu zote mbili zimecheza vizuri sana. 1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa 2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru 3)Mganga wa Baleke anafanya kazi nzuri kumweka benchi Moses Phiri. 3)Chama kwa uwepo wa Onana na kuongezeka kwa Ngoma mmmh...
  3. Simba kwa udhalilishaji huu na mikosi ya kujitakia mtatoka patupu

    Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
  4. M

    Wana Yanga Wenzangu kwanini tunaumia Shughuli ya Simba kuwa MC's wengi? Sisi tulizuiwa kuwa nao wa Kuwazidi?

    Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia. Happy Simba Day leo kwa...
  5. Simba muwekeni kwenye eneo lenu la Makumbusho Athuman Mlenda, shabiki wenu aliyejiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la maji moto mwaka 1975

    Tabora si haba kwa historia. Mwaka 1975, Simba ilipigwa Na Yanga fainali ya Mapinduzi. Sasa Pale choma chankola, Igunga. Babu yake na Aden Rage, Mzee Dahel, alirecord matangazo ya ule mpira. Kisha Mzee akachukua bus mbili na kujaza mashabiki wa Yanga na kuanza kuzunguka mjini na spika zao...
  6. Tusidanganyane kuna Watu leo wataifuatilia Simba Day na Matukio yote Kiumakini kuliko hata wenye Simba SC yetu na tukio letu

    Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
  7. Napinga Rais kuhudhuria Sherehe ya Simba

    Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa...
  8. Simba kwanini kiingilio kisingekuwa elfu kumi kama Yanga??

    Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki... Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum.... Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha...
  9. Simba wasipochukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu patachimbika

    Linapokuja swala la ushabiki hapa Bongo, ni wazi kuna timu mbili zenye ushawishi na mashabiki wengi. Hapa nazungumzia Simba na Yanga. Kuhusu mashabiki wa timu hizi mbili kuna utofauti kama ifuatavyo, -Yanga ina mashabiki waelewa hata kama timu yao ikifanya vibaya bado wataendelea kui-support...
  10. Simba Day 06 Aug 2023; Bahati Nasibu Kuchezeshwa Kwa Watakaowahi

    Kwa mashabiki 10,000 wa kwanza kufika uwanjani kesho katika #SimbaDay2023 watapewa fomu ambazo watazijaza na washindi watatu watapatikana kutoka kwenye droo ambayo itachezeshwa na Blueberry Travel Tanzania. 🛑 Mshindi wa kwanza atapata nafasi ya kutembelea Dubai. 🛑 Mshindi wa pili atapata nafasi...
  11. I

    Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

    Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi. Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa...
  12. K

    'Sold Out' ya Simba tumepata sh ngapi?

    Siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out). Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia. Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa...
  13. Sikilizeni CHADEMA hakuna aliewakataza kushiriki katika michezo

    Friends and our Weak Enemies, Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje aseme siasa zetu sisi au demokrasia yetu sisi ifanane na wao la hasha,na ndiyo Kwa maana unaona nchi...
  14. K

    Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

    Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day. Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'. Mtakuja kuniambia. Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi...
  15. Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo. Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
  16. Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

    Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
  17. Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  18. Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

    Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania. Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa kipekee kabisa, tunakushukuru sana...
  19. Nililoliona kuelekea Simba Day

  20. Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

    Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota. Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…