simba

  1. Wasifu wa wagombea wa uchaguzi wa Simba Sc 2026/2027

    A. Wagombea wa Uenyekiti 1. Anindumi Jonas Semu Amepita mchujo wa awali Taaluma na kazi Ana uhusiano wa kikazi na kampuni ya Mars Energy Tanzania Limited. Wasifu wake wa LinkedIn unaonyesha alisoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Historia ndani ya Simba Amesema ni mwanachama wa Simba...
  2. Mkeka wa kwanza kwenye Uchaguzi wa Simba Mzee Mangungu OUT

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Uchaguzi, limetoa orodha ya awali ya wagombea waliopita katika mchujo wa kwanza wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Klabu ya Simba. Hatua hii inafungua pazia rasmi la kuelekea uchaguzi mkuu wa klabu hiyo...
  3. MANGUNGU: Wana Simba Wakae Macho naye Anawaletea Migogoro na Ung'ang'anizi wa Kiccm Aliouzoea Huko

    Mnamchekea huyo Mwenyekiti "mbovu" na anaiyumbisha Club kwa mbinu zake alizozoea huko alikokuwa mbunge. Acheni kumchekea huyo, la sivyo mtalia tena miaka 5
  4. MANGUNGU: Wana Simba Wakae Macho naye Anawaletea Migogoro na Ung'ang'anizi wa Kiccm Aliouzoea Huko.

    Mnamchekea huyo Mwenyekiti "mbovu" na anaiyumbisha Club kwa mbinu zake alizozoea huko alikokuwa mbunge. Acheni kumchekea huyo, la sivyo mtalia tena miaka 5
  5. Utabiri game ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

    Simba itashinda goli mbili kwa moja, yaani simba 2 pirate 1 ,uwanja wa uhuru. Utabiri wangu unaletwa kwa udhamini wa vodka kwenye mishipa yangu hapa.
  6. Mangungu hana sifa, ila amechukua fomu kwa lengo la kuvuruga Simba SC

    Licha ya huyu bwana kutokuaa na msaada wowote kwa Simba Sc, bado hana sifa za kugombea uenyekiti Simba SC. Lengo lake kubwa akishirikiana na wanaomtumia, ni kuhakikisha Simba inavurugikiwa Nitamuwekea pingamizi, ikishindikana (kwa kuwa wamejipanga) tutakinukisha wanasimba wenyewe. Hatuko tayari...
  7. Nani wa kumfunga Simba SC?

    JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Simba SC leo tarehe 21 Novemba 2026, saa 12:30 jioni (18:30) kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Simba wanaingia kwenye mechi hii wakiwa kileleni mwa ligi bila kupoteza mchezo wowote, wakati JKT wanatafuta kusogea kwenye nafasi za juu...
  8. Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Simba sc Luis Miquissone, atambulishwa rasmi Singida Black Stars

    Kipaji hakizeeki ila hupungua makali, yetu macho, sijajua Singida wamemlipa shingapi mana mara ya mwisho pale Simba alikua akikunja donge nono sana
  9. R

    Siyo mara ya kwanza Simba kuwa na mgogoro wa namna hii

    Kwenye miaka ya 70 kulitokea mgogoro katika timu ya Simba kati ya waliojiita wasomi na wanachama wengine wa Simba kuhusu namna ya uendeshaji wa timu. Wengi wao wakiwa wafanyakazi wa mamlaka ya bandari, reli na taasisi za serikali walitaka timu iendeshwe kisasa matokeo yake wengine waliondoka...
  10. Mwamuzi wa Mauritania, Abdel Aziz Bouh kuchezesha mechi ya Simba SC na Orlando Novemba 29

    Mwamuzi raia wa Mauritania, Abdel Aziz Bouh, ameteuliwa kuchezesha mchezo kati ya Simba SC na Orlando Pirates utakaopigwa Novemba 29 katika Uwanja wa Uhuru. Katika mchezo huo, mwamuzi mwenzake kutoka nchini humo, Babacar Sarr, atasimamia teknolojia ya usaidizi kwa waamuzi (VAR).
  11. M

    Mashabiki wa Simba waandamana kuelekea TFF, wanataka mabadiliko

    Mashabiki wa Klabu ya Simba leo Novemba 17 wameandamana kuelekea Makao Makuu ya TFF wakiwa na mabango wakishinikiza baadhi ya mambo yafanyiwe marekebisho ndani ya klabu yao ambapo wengi wanaamini yapo mambo mengi ambayo hayapo sawa. Mashabiki hao wamebeba mabango mengi moja ya mabango ambayo ni...
  12. Tetesi: Zitto Kabwe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Club ya Simba Sports

    Taarifa kutoka baadhi ya Vyanzo ni kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe ambaye ni Mwanasiasa Mstaafu, Mfanyabiashara na Mkulima anafikiria kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa Simba. Sasa hivi Zitto ni Mfanyabiashara akiwa amewekeza hapa Tanzania, Kenya, Ethiopia na...
  13. Z

    Kati ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea simba Mangungu anaongoza

    Wadau wa sports,kiukweli kinachoendelea kwenye timu ya simba kinasikitisha,kwa maoni tatizo lipo kwa mwenyekiti wa simba bwana murtaza mangungu. Kama alikuwa naona kuna mambo hayapo sawa, Kwanini hakuwaambia wanachama,sasa hivi mda wake umeisha anakuja na ngojera kibao,binafsi namuona kama mtu...
  14. Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Familia ya Dewji imeing'ang'ania timu ya Simba kama ruba. Ni jina hilohilo miaka nenda rudi kwanini? Inahonga kila mtu kila kundi ndani ya Simba dhidi ya kila mtu anaeonekana kutaka mabadiliko ndani ya Simba. https://www.youtube.com/live/qRWXxpl8KvE?si=Aw7wneVxmHK45JP9
  15. M

    Kiomoni Kibamba: Simba wameleta kamati tatu za Uchaguzi mpaka nashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Kiomoni Kibamba amesema Simba wamepeleka kamati tatu za Uchaguzi mpaka anashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi. Aidha Kiomoni amesisitiza Uchaguzi utafanyika siku ile ile aliyotangaza Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambaye ametangaza 30/01.
  16. Babra agombee uenyekiti Simba SC, wazee wa wanazi muda wenu umeisha

    Wazee wa aina kama Mangungu, Aden Rage, Mzee Dalali, muda wenu wa kuiongoza Simba SC umeisha. Tunawashukuru sana kwa kuifanyia klabu mambo makubwa kwa wakati wenu. Sasa ni muda wa Simba kuongozwa kisomi. Ni muda muafaka sana Simba SC kupata Mwenyekiti atakayeenda na wakati tuliopo, atakayekuja...
  17. R

    Swala la Fadlu na Simba linaweza kuibua yaliojificha

    Baada ya Simba kumshitaki Fadlu kwa kuvunja mkataba bila kuwalipa Fidia Simba wamefikisha swala lake Fifa. Huu ni utaratibu wa kawida kwani hata Fadlu alipovunjowa mkataba na Raja alilipwa fidia. Kipindi cha nyuma Simba ilikuwa na kocha anayejulikana kama kishingo, kocha huyo aliondoka baada...
  18. Simba Sc tumevunja Record ya Bayern Munich ya Ujerumani

    Simba SC imefikia ushindi wa mechi 20 mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, na hivyo kuvuka rekodi ya ushindi 19 mfululizo iliyowekwa na Bayern Munich katika Bundesliga ya Ujerumani. Kwa mujibu wa taarifa ya The Citizen ya tarehe 3 Novemba 2026, Simba ilifikia rekodi hiyo baada ya kuifunga...
  19. Ushindi huu wa Simba usheherekewe week hii nzima

    Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli. Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
  20. Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa

    Simba Bingwa 😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…