siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
  2. Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  3. Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  4. M

    Kumbe Ukraine imepewa silaha nyingi kuliko ilivyoomba: lakini kila siku inalilia silaha kama kisingizio cha kushindwa vita

    Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya...
  5. Adhimisha kwa vitendo Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

    Siku hii ilianzishwa kama Kumbukumbu ya uasi uliotokea 16 Juni 1976 kwa Wanafunzi walioandamana kupinga Elimu Duni huko Soweto Nchini Afrika Kusini. Maadhimisho ya Mwaka 2022 yanaangazia vitendo vya kikatili vinavyowakabili Watoto katika maisha yao ya kila siku, na tathmini ya hatua...
  6. Siku ya Mtoto wa Afrika: Huwa unamsomea mwanao hadithi?

    Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
  7. M

    Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma kuendesha usaili siku ya ibada Jumapili

    Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira. Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
  8. Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

    Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
  9. Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Hello Great Thinkers.... Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais Kwamba kila Uchaguzi ni...
  10. Huu udini utaligharimu hili taifa siku Moja. Shekh PONDA Anapaswa kubadilika huku tuendako si salama

    Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki. Wanaofungwa...
  11. Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

    Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana. Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu. Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi...
  12. Putin: Hawawezi kukataa nishati ya Urusi siku zote

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo. Amedai kuwa makampuni ya Urusi yanaendelea na mchakato wa kuchimba visima kwa kuwa wanajua biashara ya nishati itakuwepo. Kauli hiyo...
  13. Juni 8: Siku ya Bahari Duniani

    Kila mwaka ifikapo Juni 8, Siku ya Bahari Duniani huadhimishwa ili kuwakumbusha watu umuhimu wa bahari katika maisha ya kila siku na matishio mbalimbali yanayoikabili bahari zikiwemo shughuli za kibinadamu Katika nafasi ya mtu mmoja mmoja, tunaweza kulinda na kutunza bahari kwa kupunguza au...
  14. Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  15. Maisha yangu ni chaguo langu, maisha yangu yamekuwa ni hadithi ya kusimulia. Kila baada ya mwaka mpya. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita, Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado. Miaka hii...
  16. Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

    Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
  17. Siku 100 zimepita tangu Urusi ianze operesheni Ukraine, hizi hapa takwimu ya ilichopoteza

    Urusi ilianza kwa mbwembwe za kutieka Kyev na wakampa rais wa Ukraine masaa aondoke akimbie la sivyo wanakuja kumpindua, Zelensky akawa jeuri akasema haondoki katu, akaomba apewe silaha, hapo Urusi wakalianzisha, wakajaribu mbinu zote ila Kyev ikashindikana. Wakatia limsafara la vifaru na zana...
  18. Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

    Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
  19. Kwa yeyote mwenye kibarua mimi nipo tayari kufanya naombeni msaada wenu

    Maisha ni fumbo,fumbo ambalo linahitaji kufumbuliwa, wachache wameweza kulifumbua fumbo hili sasahivi wanakula kuku kwa mrija kama wengine wasemavvyo. Mimi ni miungoni mwa wale ambao tumeshindwa kulifumbua fumbo la maisha na kuishia kusindikiza wengine kama dunia hii iliyojaa shida. Kiukweli...
  20. B

    Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Habari za ndani kabisa zinasema: 1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa 2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…