siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    UDSM ilikuwa zamani! Siku hizi uchawa, uchakavu na staff omba-omba!

    Inasikitisha kuona Chuo Kikuu hiki UDSM kubakia historia tu. Machawa, majengo chakavu (ikiwemo vyoo) pamoja Staff kuwa omba-omba
  2. N

    Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi?

    Wakuu kwema utani kidogo Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi ? Mimi binafsi nikiwa kawaida napiga chapati tano na nikiwa na mood mbaya napiga hadi nane
  3. N

    Siku hizi ni unasomea Biblia unapata unapata udokta wa PhD ya Theolojia, eti Joyce Kiria ni Dr kwa sasa...utani huu

    Jamani, nilikuwa mtandaoni nikaona Joyce Kiria anajiandaa kupata PhD, nikavutiwa sana..mana kutoka kuwa housegirl mpaka kuwa msomi na kuwa Dr ni jambo kubwa. Niliamua kufuatilia nikakuta kumbe ni amepata uzamivu wa theolojia...huu ni utani siku hizi..yani theology imekuwa rahis hivi, wawaulize...
  4. Seran

    Hivi yale majambazi ya zamani siku hizi yamenyamazishwa na nini?

    Zamani kulikuwa kuna majambazi yanayosimamisha mtaa! Yanavamia maduka hata saa mbili usiku bado mapema kabisa! Kuna siku ilitokea mtaani kwetu, risasi zililindima, mtaa wote kimya, watu walikimbizana kujifungia majumbani! Mama mmoja akaamrishwa atoe pesa kwenye min supermarket yake akawa...
  5. min -me

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na aina, kabila fulani la sisi 🤣

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na wanaume wa aina fulani ,tambua hao wanaume ni magoigoi ya mwisho , ambayo hao wanawake wanaweza kuwamudu . Hakuna mwanaume mwenyewe akili timamu , mwanamke wa kizazi hiki atamkubali moja kwa moja . Kwa sasa hizi jinsia zinavutiwa na...
  6. F

    Siku hizi Mwanza haipendi tena kama zamani, kunani?

    Alipewa Hadi uchifu, Safari za mwanza zilikuwa haziishi, Kilichonishangaza, iweje mwanao anaoa, tena mwanao anayeoa atokea Mwanza, na Hilo halitoshi anaoa Binti wa Mkubwa Fulani wa nchi jirani na hukuudhuria ukaishia kumtuma mjomba maskafu akuwakilishe. Hii ni Nini hasa tafsiri yake, unaoza...
  7. Mwafrika Halisia

    Ukweli Mchungu:kwa Siku hizi Vyeti Havikupi Kazi, Tafuteni Connections

    Wakuu, habari za wakati huu. Leo nataka niwaambie ukweli mchungu ambao vijana wengi wanaomaliza vyuo hawataki kuusikia, lakini ndio uhalisia wa soko la ajira kwa sasa. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Kelele za "Nasoma UDSM chuo bora Afrika Mashariki" au "Nimepata First Class au Upper Second"...
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kwanini siku hizi idadi ya wanaume wanaoenda kanisani imepungua sana? Na idadi ya wanawake kwa waganga imeongezeka sana?

    Huu ni ukweli usio na pingamizi, wanawake wamekuwa washirikina sana hadi inasikitisha. Na wanaume wamekuwa wapagani sana hadi inaogopesha
  9. Crocodiletooth

    Dunia inakimbia sana,hata mtongozano siku hizi siyo kama ule wa zamani.

    Nilichojionea kwa nyakati hizi ni kwamba,mtu unampenda mwanamke,unamuomba appointment akija unampa facts zako na lengo lako,asipokuja,hata ule muda wa kumnyenyekea haupo tena na ndiyo imetoka mazima na kama kulikuwa na kanamba unakafuta kabisa na ku block kabisa... Labda wale wenye rika la...
  10. ESCORT 1

    Hivi siku hizi kuna polisi ambao ni makomando?

    Zamsni nilijua ni JWTZ ndio kuna kozi za makomando Kumbe mpaka polisi wapo. Hii ni baada ya kuona hii picha, FFU ana bawa kifuani kama ya makomando wa JW
  11. Waufukweni

    Mwandishi Salim: Siku hizi Waandishi wanajipendekeza kupata Teuzi, wameacha kuandika mambo ya Wananchi

    "Wengi siku hizi wanajipendekeza ili wachaguliwe kuwa wakuu wa wilaya, administrative officers, ama sijui ma... maofisa watawala. Yaani watu akili zao zote kupata uteuzi... nini kujipendekeza. Na wanahabari wamo!" "Zamani zetu sisi, unaweza ukakaa mwezi mzima hujaona picha ya Mwalimu front...
  12. Forrest Gump

    Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

    NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACRED
  13. Kaka yake shetani

    Polisi na wanajeshi siku hizi hata kuvaa nguo zao wanaona kama wanazaraulika.

    Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana. Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29. Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.
  14. Supapawa

    Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

    Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke. Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku hizi ku nani wakuu? Monetary doctor.
  15. Doji MD

    Nikiitwa jina langu halisi nachukia😁

    Habari za muda huu wakuu. Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu. Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia...
  16. Burn the bridge _Tz

    Zamani MWANAMKE akiwa hajitambui nilikuwa namuacha, siku hizi akiwa ajitambui na kuweka kwenye kundi la sex tu.

    Akiwa hana akili simuachi Ila natumia nyeti zake mpaka zitepete Mana mtu unamuelekeza haelekezeki sasa naelekeza nyeti zake. *****
  17. ndege JOHN

    Tiktok live za siku hizi zina lengo gani?

    kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa. Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume. kamatana! shika box la...
  18. F

    KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
  19. Right Flower

    VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  20. and 998 others

    Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
Back
Top Bottom