siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. BANK-M mikononi mwa Firoz Bayi, Kutakatisha Pesa za wa siasa

    Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii, Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India ...
  2. Katuni inayoelezea siasa za Tanzania kiuhalisia

    Ukiona moshi unafuka mahali jua moto upo chini. CCM inaamini imefanikiwa kuwazuia watanzania kufikiri nje ya wanavyotaka wao watanzania kufikiri, kumbe sivyo. Hapo chini ni katuni ya msanii ambaye ameamua kutumia kipaji chake kuelezea hali halisi ya siasa za Tanzania Cha kusikitisha watu...
  3. CCM mnachofanya ni Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu kwa mgongo wa Chama cha Siasa

    Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi. Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
  4. Hii siyo Siasa tena, huu ni Uhalifu dhidi ya Uhuru wa Mwananchi

    Kumteka mwanachama wa CCM kwa sababu amethubutu kuikosoa serikali na chama chake ni ishara ya hatari sana kwa demokrasia yetu. Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili Mwananchi ana haki ya kusema ukweli. Mwanachama...
  5. T

    CCM Sio tena chama cha siasa, tusijidangaye kuwa itatoka madarakani kwa amani

    CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi. Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
  6. Uamuzi kuifungia CHADEMA kufanya siasa kutolewa Agosti 28

    Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa maombi madogo ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA Agosti 28, 2026 saa tisa alasiri. Maombi hayo yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid baada ya kesi waliyokuwa wameifungua...
  7. K

    Ni mjinga tu anayefikiri kuna Dira nzuri ya 2050 kwa mfumo huu wa siasa (Katiba hii)

    Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
  8. Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  9. I

    TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
  10. K

    Siasa imeua ujasiri, wanataaluma wameuchimbia kaburi, tunasubiri wa kuuzika na kufukia

    Miaka ya hivi karibuni wanasiasa wamekuwa na nguvu kubwa pengine kuliko kundi lolote kwenye jamii Hii ni kwasababu, hata vyombo vya dola karibu vyote dalili nyingi zinaonyesha vinahofu na wanasiasa, vinaongozwa kwa kufuata mwanasiasa anataka wafanye nini Polisi, mahakama, na vyombo vingine...
  11. Uhusika wa vyombo vya dola kwenye siasa

    Naomba wajuvi wa sheria mtufafanulie Inawezekana labda hatujui sheria au labda tunalalamika na kunung'unika bila sababu
  12. Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

    Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania. Hakuna haja, wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
  13. Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  14. Siasa za maigizo hazifuti damu, heshima hainunuliwi kwa vikao vya ikulu

    SIASA ZA MAIGIZO HAZIFUTI DAMU, HESHIMA HAINUNULIWI KWA VIKAO VYA IKULU Nianze na nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere "Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu, na wewe ukijua ni la kipumbavu ukamkubalia, anakudharau." Kauli hii ya Mwalimu Nyerere siyo ya kutafakari kwa...
  15. E

    Wasomi: Ni makosa kudhani maridhiano yatapatikana kwa vyama vya siasa peke yake

    Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha mvutano wa kisiasa kilichofuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Kwa upande wa Serikali, mkutano huo...
  16. Siasa za utakatifu!

    Kama Title inavyosema Wengi tuna amini kuwa utakatifu ni hali ya usafi maadili mema na kutokuwa na dosari Lakini je, nini hutokea pale ambapo dhana ya utakatifu inapohusishwa na siasa Mimi naamini hasara zake zinaweza kuwa kwa kiwango kikubwa sana Pale ambapo mtu au kundi la watu...
  17. Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
  18. K

    Siasa inavyoua U - Tanzania wetu

    Siasa zimekuwa sumu inayoua utaifa wetu kimya kimya kuja kushituka tutajikuta mateka kati yetu wenyewe Leo vyuo vikuu vimekuwa wazalishaji wakubwa wa machawa badala ya wataalamu Vijana wengi wameamua kuingia kwenye siasa za vyama kwa ajili ya kulinda kesho yao. Hawana uhakika wa kuishi bila...
  19. Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  20. Q

    Joseph Selasini ni kirusi ndani ya vyama vya siasa, afutiwe uanachama haraka kabla hajaleta madhara.

    Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine. Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…