Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Hellow wana JF.
Kutokana na kauli ya Mh.Rais "ikimtaka Mh.waziri mkuu kutulia nakuacha kufanya ziara kwenye mikoa mbalimbali.
Wadau wengi naona wanasema oohoo nikweli Mh.Waziri anapaswa kutulia kwasababu anamaliza pesa au anafuja pesa za waTanzania kwenye ziara zake.
Swali langu kwenu wadau...
Afrika imebarikiwa kuwa na mazingira ya kuishi binadamu yoyote sema kutokana na ubovu wa watawala na siasa ndio maana unaona afrika tunashindwa.
Kuna nchi hata hali ya hewa wanakosa kabisa,wengine kila kukicha ni matetemeko,milima ni mingi,maitaji ya ardhi na mambo kibao.
Ukiangalia South...
Bahati mbaya sana CCM Imejaa watu wajinga wàjinga wapuuzi, hawana akili, waliofeli feli, na safari zao za ELIMU za kuunga unga, kwa Bahati na kwa HILA na kwa kujipendekeza, wakayashika MADARAKA.
Nasikitika sana Kuona kwamba, HAWAONI HATARI KUBWA ILIYOPO MBELE HATA KABLA YA 2030!!
Siasa ktk nchi ya kidemokrasia ni vita ya kutwaa dola kwa njia za amani.
ANGALIZO: Nazungumzia mambo ya afrika kiujumla asije mtu akaingiza mambo yake. Tujadili bila kutaja majina. Haya ni mawazo ya sinema ya kikorea 100 days of deception
Hili ni swali fikirishi, je upinzani hawawezi...
Utasikia mungu wangu n Bora kuliko wako, ataangamiza, mara atachoma watu moto, mara wengine wanauana kisa dini na Mila za miungu yao, kiufup dini zote ziwe n asili za kiafrika na hzo zilizoletwa na meli kiufup n uwendawazimu, dini hazilet aman sana bal machafuko na mabishano ya kijinga,watu hzo...
Hizi mbio za wanasiasa kuna wengi huwa hawafahamu picha ambayo ipo ndani ya mwanasiasa,nimejaribu sana kuwaamsha Genz ya kwamba wanasiasa hutafuta tu njia kupitia lugha adhimu ya ukombozi na kutatua changamoto za wanyonge jambo ambalo ni kuwajaza watu matumaini yasiyokuwepo,kwangu binafsi...
Ni dhahiri kwamba kuna mkwamo wa kisiasa. Na ni dhahiri kwamba CHADEMA ndiyo waligomea uchaguzi wa mwaka 2025, na kwa msemo wao wa No Reform, No Election. Na kwa matamshi ya CHADEMA, wanachama wachache wa CHADEMA walishiriki kuvuruga uchaguzi (japo haukuvurugika maana CCM walishinda kwa asilimia...
Kwasababu 2Pac alipata umaarufu kwa kuvuta Bangi basi na nyny wafuasi wa CHADEMA mnafanya uharifu kwa makusudi ili mjulikane mpo ili mpate umaarufu, ndugu zangu achaneni ni hizo siasa za kibangi Bangi Dunia ya sasa haihitaji waharifu & MAGAIDI Mtachukuliwa hatua za kisheria na hakuna atakaye...
Kwamba aidha kiongozi mwanasiasa anakuwa ni mjinga sana au sisi Watanzania wote ni wajinga sana. Lazima mojawapo kati ya hayo mawili liwe kweli. Sio rahisi yote mawili yawe kweli au kutokuwa kweli kwa wakati mmoja.
Waliotengeneza sheria haramu za kuufanya uchaguzi usiwe huru wala wa haki, wanafahamika. Waliokataa mjadala wa kurekebisha sheria ya uchaguzi ili uchaguzi ulinde mamlaka ya wananchi kuwachagua viongozi, wanafahamika. Walioamua kuwaua watu waliogomea uchaguzi bandia, na watu waliokuwa...
Video ya Morara kuhusu hali ya Shule ya Msingi ya Nyansakia imezua mjadala kuhusu uwajibikaji wa viongozi katika kuhakikisha shule za umma zinakuwa na mazingira bora ya kujifunzia.
Katika video hiyo, Morara anaonekana akitembelea shule hiyo iliyoko katika eneo la Borabu, Kaunti ya Nyamira, na...
Siwezi kuwataja kwa majina nawaheshimu na kuwapenda sana. Huwa wanachungulia chadema wanarudi speed Nyumbani (CCM) ili kulinda utu, heshima na haiba zao, na wakisharudi Nyumbani (CCM) huwa hawataki kabisa kusikia UTAPELI wa viongozi wa chadema.
Juzi hapa kijijini Kuna Mzee kamshitaki mtu Baraza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, inayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Lengo la Tume hiyo ni kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba...
Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania.
Soma pia...
Ndugu wana jamvi naombeni sana kwa wote wapenda haki na ukweli. Tuanze kuwaona na kuwachukulia hawa wanaojiita Baraza la vyama vya siasa kama Samia muuaji. Tusiwaone kama ni wanzetu. Tuwapelekee moto hasa kama tunavyompelekea moto huyo kimama chao zero brain.
Tuko katika mapambano ya kuikomboa...
Rais William Ruto amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia siasa zinazochochea chuki, migawanyiko na ukabila nchini Kenya.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Narok, Rais Ruto alisisitiza umuhimu wa viongozi kuhubiri umoja na kudumisha amani miongoni mwa Wakenya badala ya kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.