siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. M

    Maendeleo ya kutengana kwa Kanisa/Dini na Siasa katika historia ya Dunia

    Na. Ismail A. Ismail Nianze na Nukuu ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete August, 2023 "Siku ikifika itikadi ya Kisasa na Imani thabiti ya kidini ikiuhusianishwa na Chama fulani Cha Dini Ndio Mwisho Wa Taifa Hili, tutakua na Chama Cha Siasa Cha Wapagani, Chama Cha Siasa Cha Walokole, Chama Cha...
  2. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  3. Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

    Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo. Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowaamrisha kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama...
  4. Ally Bananga Katibu uenezi CCM Dar, ni mfano wa Wanasiasa wenye Uelewa mdogo katika Siasa

    Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati...
  5. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu wa kawaida, ni miongoni mwa wale walei Wakatoliki wacheche tuliobahatika kwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, kule Rome, Italy. Enzi nikiwa mdogo nimehudumu utumishi kanisani pale St...
  6. Neno hili likumbuke sana ewe mfuatiliaji wa siasa za Tanzania

    Nimeona niseme hapa jambo muhimu. Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka. Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11. Naam atakuja kuwapatiliza kila mtu kwa kipimo alichowajazia wengine. Mungu ailinde Tanzania kwa kila pito tunalopita...
  7. Wanachama wa vyama vya siasa wafanyiwe 'recruitment' kabla ya kupewa uanachama

    Vyama vya siasa vinahitaji watu ili viwe hai bila kujali ni aina gani ya wanachama inao wapata, ndio maana hata mambumbu wakutupa wamekuwa wanasiasa na mbaya saidi wanapewa nafasi nyeti kuongoza jamii. Sheria ya vyama vya siasa ifanyiwe marekebisho kidogo kwamba kuwe na utaratibu maalumu...
  8. Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  9. Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  10. Kuwatumia vibaya Diamond na Ali Kiba kwenye siasa za Simba na Yanga ''kutaua" soka la Tanzania

    Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja. Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini. Miaka...
  11. R

    Hivi kwa presha ya siasa iliyopo nchini Rais angekubali kwenda uwanjani bila uwanja kujaa kwanza? "Sold out"

    Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
  12. Tulitangaziwa kufutwa kwa tozo ila nimekatwa tozo

    Wadau juzi juzi hapa tunetangaziwa rais kafuta tozo. Cha ajabu bado kuna kodi ya serikali kwenye miamala. Ninetoka kutoa Airtel money nimekatwa tozo.
  13. Kuihusisha ACT na udini kisa imechagua siasa safi ni mwendelezo wa matusi kwetu

    Friends and Our Enemies, This is the last kick of the dying horse, Chadema, wanaharakati uchwara, wafia dini na wapinga maendeleo ya nchi wamefikia hatua ya mwisho sasa. Wameona kuwa hila zao, uongo wao na lugha zao chafu baada ya kukataliwa na wananchi wameona sasa waanze ***** ***** na...
  14. CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
  15. Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  16. Kama unataka kusifiwa tu, achana na siasa

    Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa. Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za kukuzungumzia vile wapendavyo, ikiwemo kukudhihaki, kukutukana, kukucheka, kukuzudoa na ‘kuku’ kivingine...
  17. Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  18. Pakistan: Watu 44 wauawa kwa Mlipuko katika mkutano wa siasa

    Polisi imesema mlipuko huo umetokana na bomu la kujitoa mhanga lililotokea Kaskazini Magharibi mwa Pakistan Zaidi ya 100 wamejeruhiwa kati yao 17 hali zao ni vibaya, katika shambulio lililowalenga Wanachama wa chama cha Jamiat Ulema-e-Islam-Fazl (JUI-F) katika Mji wa Khar, karibu na mpaka wa...
  19. Siasa Mamboleo - Mdomo unapojaribu Kulidanganya Sikio

    Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao... Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa...
  20. Lissu: Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ama rafiki wa kudumu na bora mara mia ya Magufuli kuliko majizi haya

    " Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile. " Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa. " Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…