siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. M

    Je, Lissu ameamua kuwa na maadui wawili kwenye siasa?

    Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja. Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja? Je hawezi mmoja...
  2. LGE2024 Kwa takwimu hizi siasa ya vyama vingi ni mbinu tu ya kuombea misaada toka kwa wafadhili

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ENEO LA UCHAGUZI IDADI CCM UPINZANI WOTE CCM PEKEE MITAA 4,265 4,265 3,256 1,009 VIJIJI 12,274 12,274 5,879 6,395 VITONGOJI 63,863 63,863 20,000 43,863 80,402 80,402 29,135 51,267
  3. D

    Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda. Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi. Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
  4. RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  5. Chuki ya siasa mbaya sana kwa nini ulazimishe kuwaongoza

    Uongozi kiroho ni baraka unapofanya hira kuiba BARAKA ya MTU hutabaki salama,
  6. G

    PreGE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  7. Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  8. Mtanipinga Ila mpira wa Tanzania bado umejaa siasa

    Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea. Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka...
  9. Zitto Kabwe: Vyama vingi vya siasa vimekufa Tanzania

    "Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa. 1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa oganaizesheni ya chama unapimwa kwa idadi ya wagombea na namna wamesambaa nchini. Idadi ya wagombea...
  10. Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze kufanya kazi bila kukutana na changamoto. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF)...
  11. Swali la Wiki: Uzushi una athari gani kwenye Siasa za Taifa?

    Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa. Je, athari gani unazozijua? Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
  12. Nawasihi ukitaka amani achana na Siasa kama mimi

    Kupanga ni kuchagua na kuamua ni uhuru, ukiachana na siasa raha sana, maisha burudani haina mbaya haina noma sana. Kaa mbali na noma za utekaji kuna maisha baada ya siasa, Pang Fung Mi
  13. M

    Naacha kabisa Siasa

    Baada ya kutafakari kwa kina .nimeamua kuacha kabisa na siasa. 1. Nimesikiliza na nimesoma historia ya siasa ktk vitabu na nimewaikiliza wanahistoria nimegundua madaraka matamu, kumuondoa mtu ktk madaraka mtu ni kazi kubwa sana na unahitaji kujitoa muhanga 2. Nimehundua pia unaweza kuwa chawa...
  14. TBC kipindi cha Duru za Siasa, ni unafiki mtupu. Mbona siasa za Tanzania mnazikwepa?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  15. TBC KIPINDI CHA DURU ZA SIASA NI UNAFIKI MTUPU. MBONA SIASA ZA TANZANIA MNAZIKWEPA?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  16. A

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Siasa inaua Arusha School!

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha; tunakuomba uingilie mgogoro ulioko kati ya Jiji la Arusha na shule ya msingi Arusha (Arusha School) iliyoko mkabala na Tanesco Arusha! Sisi wazazi tunalipa ada Ili watoto wapate huduma mbalimbali za kimasomo, chai asubuhi, chakula cha mchana na chakula cha...
  17. Ufedhuri na biashara za kitapeli

    ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena anakusumbua tafuta wadhamini njoo na barua za utambulisho toka serikali za mtaa Ehhhh bana unaingia kazini...
  18. PreGE2025 LGE2024 Vyama vya Siasa ongezeni uwakilishi wa Wanawake kwenye nafasi za uongozi

    Wakuu nawasalimu. Kama taifa tupo katika kipindi cha uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa ambao umepamba moto kwa hivi sasa. Huu ndio wakati wa Vyama vya Siasa nchini kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na maamuzi. Kupata Taarifa na Matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kila mkoa...
  19. Halima Mdee, Dorothy Semu, na Dkt. Dorothy Gwajima ni baadhi ya mifano Bora ya Wanawake kwenye Siasa na Uongozi

    Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA Dorothy Semu Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…