shule

  1. Inawezekana Tunashuhudia madhara ya kuruhusu walimu kutoka nje ya nchi kuja kufundisha shule zetu za private

    Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao. Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa. Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
  2. K

    Uchambuzi wa wimbo "Dje Melasi" (T.P. OK Jazz): Shule ya Rumba, Utunzi wa Mose Fanfan na Sauti za Dhahabu za Youlou Mabiala

    Habari za jioni wana-JamiiForums (JF Entertainment)! Leo natamani tuimbe na kurudi nyuma kidogo kwenye zama za dhahabu za muziki wa Congolese Rumba. Tukizungumzia bendi kongwe na yenye heshima kubwa barani Afrika, T.P. OK Jazz chini ya maestro Franco Luambo Makiadi, hatuwezi kuacha kutaja wimbo...
  3. Prof. Shemdoe aweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa na ofisi Shule ya Msingi Mkwajuni - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya Mkuu wa Shule ya Msingi Mkwajuni, Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi, ikiwa ni utekelezaji wa...
  4. Muonekano wa shule ya msingi Grace Mesaki

    Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama. Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa kiasi kikubwa mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku ukiongeza fursa kwa wanafunzi kupata...
  5. A

    KERO Huduma Mbovu Shule ya Wasichana ya Dr. Tulia Mbeya

    Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
  6. Shule mpya ya Makulo yafuta adha ya watoto kutembea zaidi ya km 10 kufuata elimu

    Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu. Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
  7. Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  8. A

    KERO Changamoto ya Ukosefu wa Maji Shule ya Sekondari Bombambili

    Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana 400m tu kutoka shule ilipo. Ukosefu huu wa maji umesababisha uchafu uliokithiri wa vyoo vya...
  9. Prince George apelekwa shule ya bweni, ada yake milion 230+ kwa mwaka

    Prince George ameanza rasmi masomo yake katika Eton College, shule maarufu na yenye historia kubwa nchini Uingereza. George mwenye umri wa miaka 13 alifika shuleni akiwa ameambatana na wazazi wake, Prince William na Catherine, Princess of Wales. George sasa anafuata nyayo za baba yake, Prince...
  10. A

    KERO Walimu wa Shule ya Msingi DOVYA iliyopo Mbagala Chamazi wamezidi kwa michango

    Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na ratiba ya masomo shuleni. Wanalazimika kufanya mtihani siku ya nyuma yake ili kiasi hicho kiweze...
  11. Wazo la Project ya Kusaidia Watoto wa Shule Mabegi

    Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu, kalamu, mkebe n.k. Kwa sasa nataka kuanza kama initiative yangu binafsi, mimi na washikaji wachache...
  12. Responded Itigi DC: Wazazi watatu ndiyo hawajatoa michango ya chakula Shule ya Msingi Mitundu B ila Watoto wao wanapewa chakula

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuahiri afya na uelewa wao, ufafanuzi umetolewa. Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
  13. Je Serikali ya Ccm na Samia ilikua imejiandaa kweli juu ya hili swala la shule za Amali?

    Habar, Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani, Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
  14. A

    KERO Walimu wa Elimu Secondary wilaya ya Bariadi DC hatujapewa hela ya kujikimu na tukiulizia tunatishiwa kupelekwa Shule za vijijini au tunasakiziwa kesi

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  15. Iganzo sekondari: Mtoto alazimishwa kuandika barua ya kuacha shule, mzazi atolewa nje

    Habari wanajamii? Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule. Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
  16. A

    DOKEZO Mama na Walimu wanaharibu afya ya akili ya Mwanafunzi wa Kidato cha 4 Shule ya Kimbiji Secondary School

    Hii si hadithi, ni maisha halisi ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni kuhusu mwanafunzi wa kike anayesoma Kidato cha Nne katika Shule ya Kimbiji Secondary School. Msichana huyo jina nalihifadhi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na mama yake mzazi, ambapo mama anashinikiza mwanaye aondolewe...
  17. Katuga: Shahidi, shule si ulikuwa unafundishwa multiple choice?

    Mhe. Lissu: Mimi sijafundishwa multiple choice. Mimi nimefundishwa critical thinking. Sheria unafundishwaje multipe choice? Ndio maana unakuwa mjinga.
  18. M

    Walimu acheni kuwafundisha watoto wetu mabongo fleva kwenye mahafali za shule

    Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili. Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto anakata viuno na kuimba mabongo fleva eti ndio burudani siku ya mahafali.Manyimbo yenyewe...
  19. M

    Makocha tunaajili wazungu,kwanini shule pia isiwe hivyo?

    Tanzania bado tuna amini makocha wa kizungu ndo wenye material kichwani ya kuwafundisha watu wetu katika michezo mbali mbali hasa mpira wa miguu.Mpaka Leo wazawa hawaaminiki kwenye ufundishaji wao wa mpira hapa nchini iwe ni vilabu hadi timu ya taifa. Je kwanini tusiajili pia wazungu wakaja...
  20. Naomba kujua Shule nzuri ya msingi KIBAHA

    Habari wadau, Naomba kujua shule nzuri kitaaluma na kinidhamu kwa Kibaha. Kijana wangu yupo std3 nataka kumuhamisha shule hii aliyopo hapana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…