Mtoto wa miaka mitano anadaiwa kunusurika kubakwa na mwanaume anayedaiwa kuwa na uhusiano naye wa karibu ndani ya vyoo vya Shule ya Msingi Uhuru, Manispaa ya Morogoro, baada ya wananchi kumfumania akiwa na mtoto huyo na kumshambulia.
Wakizungumza Mjini Morogoro, wakazi wa eneo hilo wamesema...
Kikao kazi cha tathmini ya Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2026 kwa halmashauri za Mkoa wa Mbeya kimefanyika leo tarehe 23 Novemba 2026 katika ukumbi wa Ndalichako Hall, Chuo cha Ualimu Mpuguso, Wilaya ya Rungwe.
Akizungumza katika kikao hiki, Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya...
Tunawashukuru JamiiForums kwa kupigania ukiukwaji wa utekelezaji wa waraka wa Elimu no 3 wa Mwaka 2026 unaozuia ufundishaji wakati wa likizo ili kujikinga na el Nino.
Hoja ya awali ~Walimu - Kwimba DC tunalazimishwa kuendelea kufundisha, hatuna likizo na tunawachosha Wanafunzi
Tayari maelekezo...
Habari ndugu!
Mimi ni mzazi wa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza anayesoma ZANAKI SECONDARY SCHOOL
Lengo na dhumuni la kuandika meseji hii ni kutoa taarifa kuwa Shule ya Zanaki Secondari imewazuia wanafunzi wa kidato cha kwanza kufunga shule na kusema waendelee na masomo ya form two kitu ambacho...
Anonymous
Thread
kufunga
kuzuia
maelekezo
sekondari
shule
wanafunzi
wizara
Video ya Morara kuhusu hali ya Shule ya Msingi ya Nyansakia imezua mjadala kuhusu uwajibikaji wa viongozi katika kuhakikisha shule za umma zinakuwa na mazingira bora ya kujifunzia.
Katika video hiyo, Morara anaonekana akitembelea shule hiyo iliyoko katika eneo la Borabu, Kaunti ya Nyamira, na...
Kuna jamaa ananishangaa sana ninapojikakamua kumsomesha mwanangu IST, anasema hio hela bora nikamuwekee bank.
Umasikini unaanzia akilini especially pale mtu anavyoshindwa kujua kazi ya hela na hela inafanya kazi vp. Hio ada nikiiweka bank hadi aje amalize shule tyr haitokua na thamani...
Mwanangu anasoma shule inayotumia mtaala wa Cambridge. Wanaendelea kusoma hadi Desemba 04.
Je, Elnino ikileta mafuriko, shule hizi hazitopata athari pamoja kwa wanafunzi wake?
Wizara ya Elimu tunaomba ufafanuzi wa waraka unaoagiza shule kufungwa 13 Nove unahusu shule zipi?
WAHUSIKA:
JUMA (Chawa): Rafiki wa zamani wa tajiri. Kwa sasa ni chawa wa mjini, anatafuta connection kwa nguvu, mvaa nguo za kupendeza lakini hana mbele wala nyuma.
MPISHI: Mpishi mkuu wa mgahawa wa kifahari. Anajua siri na ratiba za matajiri wote wanaokuja kula.
MUSA (Tajiri / Mtu Maarufu)...
Mwaka huu, shule mpya za amali zilizojengwa zilipokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini. Hata hivyo, inasikitisha na kushtua kugundua kuwa, hadi sasa, shule hizo hazina vifaa vyovyote vya ufundi wala vya kujifunzia kwa ajili ya masomo ya kiufundi na kitaalamu.
Cha kushangaza zaidi...
Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaopata wastani wa "A" kwenye mitihani Yao ya darasa la saba au division one kwenye mitihani yao ya kidato cha IV-VI huwa wanakuwa na nidhamu sana. Tuanze kuandaa Taifa la watu wenye nidhamu kuanzia Leo.
Hivyo basi ili kuandaa Taifa la badae lenye tija kwa Taifa...
Wakati mwingine ukishindwa jambo sio Vizuri ulazimishe hata kama Mazingira hayaruhusu! Watoto wapo majumbani, elnino haipo! Kwanini wasiendelee kusoma kwakuwa walichotarajia kitatokea tishio lake halipo.
Kwanini wasitumie vyombo vilevile kueleza uhalisia huo. Mzazi kalipa ada mpaka hela ya...
Naomba Mamlaka zifuatilie suala linalohusu mkanganyiko wa maelekezo kuhusu kufungwa kwa shule kufuatia tahadhari ya mvua za El Niño.
Kufuatia tamko la Serikali kuhusu kufungwa kwa shule, kumekuwa na taarifa zinazohitaji ufafanuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro.
Kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
halmashauri
kilosa
mkanganyiko
shule
wilaya ya kilosa
JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA!
Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla,
Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
Shule za awali na Upili zinafungwa kesho, kwa miezi miwili. Watoto waliokuwa Boarding sasa wanarudi na kukuta dada mpya wa kazi na kaka mpya wa kazi.
Watoto wa kike waliokuwa Gils only, yani seminari n walishavunja ungo na walizuiliwa kuonana na wanaume sasa wanakutana na kaka wa kazi na...
Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba.
Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
Anonymous
Thread
changamoto
matokeo
mazuri
msingi
shuleshule ya msingi
walimu
Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi.
Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania.
Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
Tukio la kusikitisha na lenye kuhatarisha usalama lilitokea katika Shule ya Upili ya Mchanganyiko ya Nyabisase, iliyoko eneo la Bobasi, Kaunti ya Kisii, wakati wa zoezi la kawaida la usimamizi na ufuatiliaji wa mitihani ya kitaifa ya KCSE.
Wakati wa tukio hilo, mamia ya watahiniwa wa KCSE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.