shule

  1. A

    DOKEZO Malalamiko kuhusu nyumba za walimu zinazodaiwa kuuzwa katika Shule ya Mahenge, Ulanga

    Wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro, nilibahatika kufika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, ambako nilikutana na jambo lililonishangaza sana. Kuna shule iliyopo mjini Mahenge ambayo ndani ya eneo lake kuna wananchi wanaoishi katika baadhi ya majengo yanayodaiwa kuwa...
  2. Nimesikia list ya makampuni na line of businessses ambayo tony kapola amesema ana miliki then nikajisemea kimoyo moyo: "kweli mjini shule"

    Mjini kila mtu ni mteja, kila shida ya mtu ni fursa kwa mwingine, kila pesa yako lazima itumike na hayo maisha yako ndio mtaji kwa wegine.
  3. A

    KERO Wanafunzi wa Shule ya Sekondari MUNGUMAJI - Singida wanasoma kwa shida, hawafundishwi vizuri, chakula shida

    Naishi Mkoa wa Singida, naomba kuwasilisha changamoto zinazowakabili wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika MUNGUMAJI SECONDARY SCHOOL, Singida Mjini. Mdogo wangu alifaulu kujiunga na shule hiyo, lakini mpaka sasa amekataa kabisa kuendelea na masomo pale na amekuwa akitaka ahamishwe...
  4. Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi

    Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi Na MWANDISHI WETU, KONDOA MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa, amepinga taarifa iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa chombo cha habari cha Mwanahabari, ikidai kuwa Shule ya Msingi...
  5. R

    Shule za Kayumba na walimu wa Kayumba

    Kila siku ni mitihani. Ujasiliamali huo
  6. Zanzibar: Mwanafunzi wa Shule ya Kizimbani, aliyepotea tangu ijumaa apatikana akiwa kafariki, amekatwa mkono

    Binti raiyan ameir amour mwanafunzi shule ya kizimbani Zanzibar aliepotea tangu ijumaa apatikana akiwa amefariki huku akiwa amekatwa mkono mMoja. Mbunge wa Jimbo hilo ataka uchunguzi wa kina ufanyike na watuhumiwa wakamatwe, bado haija julikana chanzo nk
  7. I

    Kwanini shule zinafungwa ovyo ovyo?

    Nini kimetokea kupelekea tarehe ya kufungwa shule kubadilishwa kutoka tarehe 4 Disemba 2026 ya awali mpaka mapema tarehe 13 Novemba? Kuna mtu anazo data na information kuhuwu hili?
  8. Plot4Sale Viwanja Kiluvya Madukani jirani na shule ya msingi Tondoroni

    MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI! 📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye) 🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni 🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road 📐 Ukubwa: Mita 20 × 20 💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja ✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa ✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
  9. KERO Shule ya Sekondari Zogowale, Kata ya Misugusugu Kibaha Walimu hawana ofice wapo zaidi ya 50 viti havizidi 15

    Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha. Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa ya Kibaha wameshindwa kabisa kuhamasisha wadau na viwanda vilivyopo eneo hilo kuchangia kuboresha...
  10. Prof. Tibaijuka mpe sapoti Rais Samia kwaajili ya wasichana wa shule yako.

    Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo. Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
  11. M

    Mwalimu alipoteza kitabu chake cha kiongozi cha mwalimu, tuliwekwa juani na kuchapwa kumbe kakisahau kwa mtoto wake

    kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano. Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
  12. T

    KERO Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni

    Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni katika mabweni, huku uongozi wa shule ukidaiwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo. Licha ya hali hiyo, wanafunzi wanaendelea kulazimishwa kuishi mabwenini bila hatua madhubuti za kufanya usafi na kuondoa...
  13. Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  14. S

    Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata...
  15. W

    KERO Mzazi Atoa Sehemu ya Mchango, Lakini Mtoto Anyimwa Chakula Shuleni

    Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa haki. Kwa mfano, utaratibu unaweza kuwa mwanafunzi anatakiwa kuchangia jumla ya madumu 15 kwa mwaka...
  16. A

    KERO Shule ya Msingi kuwapeleka Watoto wa la 5 na 6 katika shule ya Sekondari ni sawa?

    Kuna shule inaitwa Mission Kitunda Primary School iliyopo Kata ya Kitunda, Dar es Salaam, ambayo imewachukua wanafunzi wa darasa la tano na la sita na kuwaamishia katika shule ya sekondari ya Mission Kitunda kwa madai kuwa wanafuata mfumo wa mtaala wa miaka 10 ya elimu ya lazima. Swali langu...
  17. Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

    Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna ya kupata nafasi masasi girls A-Level bweni
  18. Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
  19. Mfumo wa elimu utakaowaandaa watoto kwa ajili ya wakati ujao: Fahamu siri ya shule ya Elon Musk, 'Ad Astra'

    Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
  20. Tafiti Na Gunduzi Za Wanasayansi Chipukizi Zinaunga Mkono Lengo La Kuanzisha Shule Za Amali - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo, nishati, mazingira na afya zinazotolewa kwa wanasayansi chipukizi na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…