shule

  1. Mtoto wa miaka mitano anusurika kubakwa ndani ya vyoo vya shule

    Mtoto wa miaka mitano anadaiwa kunusurika kubakwa na mwanaume anayedaiwa kuwa na uhusiano naye wa karibu ndani ya vyoo vya Shule ya Msingi Uhuru, Manispaa ya Morogoro, baada ya wananchi kumfumania akiwa na mtoto huyo na kumshambulia. Wakizungumza Mjini Morogoro, wakazi wa eneo hilo wamesema...
  2. REO Mbeya: Hongereni Rungwe kwa kuifanya Mbeya kushika nafasi ya tatu Kitaifa ufaulu wa Shule za Msingi

    Kikao kazi cha tathmini ya Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2026 kwa halmashauri za Mkoa wa Mbeya kimefanyika leo tarehe 23 Novemba 2026 katika ukumbi wa Ndalichako Hall, Chuo cha Ualimu Mpuguso, Wilaya ya Rungwe. Akizungumza katika kikao hiki, Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya...
  3. A

    RESOLVED Shule za Kwimba DC zimefungwa baada ya andiko la Mdau, safi sana viongozi

    Tunawashukuru JamiiForums kwa kupigania ukiukwaji wa utekelezaji wa waraka wa Elimu no 3 wa Mwaka 2026 unaozuia ufundishaji wakati wa likizo ili kujikinga na el Nino. Hoja ya awali ~Walimu - Kwimba DC tunalazimishwa kuendelea kufundisha, hatuna likizo na tunawachosha Wanafunzi Tayari maelekezo...
  4. A

    KERO Shule ya Zanaki Sekondari kuzuia Wanafunzi wa Form One kufunga shule ni kwa maelekezo ya Wizara?

    Habari ndugu! Mimi ni mzazi wa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza anayesoma ZANAKI SECONDARY SCHOOL Lengo na dhumuni la kuandika meseji hii ni kutoa taarifa kuwa Shule ya Zanaki Secondari imewazuia wanafunzi wa kidato cha kwanza kufunga shule na kusema waendelee na masomo ya form two kitu ambacho...
  5. O

    KSh 800,000 Zilienda Wapi? Morara Aibua Hali ya Shule ya Nyansakia, Maswali ya Uwajibikaji na Siasa Yaibuka

    Video ya Morara kuhusu hali ya Shule ya Msingi ya Nyansakia imezua mjadala kuhusu uwajibikaji wa viongozi katika kuhakikisha shule za umma zinakuwa na mazingira bora ya kujifunzia. Katika video hiyo, Morara anaonekana akitembelea shule hiyo iliyoko katika eneo la Borabu, Kaunti ya Nyamira, na...
  6. Tafakuri: Faida kubwa ya kuwasomesha watoto shule za bei au shule za vipaji maalum sio vyeti bali ni connections za ukubwani watakazopata kupitia huko

    Kuna jamaa ananishangaa sana ninapojikakamua kumsomesha mwanangu IST, anasema hio hela bora nikamuwekee bank. Umasikini unaanzia akilini especially pale mtu anavyoshindwa kujua kazi ya hela na hela inafanya kazi vp. Hio ada nikiiweka bank hadi aje amalize shule tyr haitokua na thamani...
  7. DOKEZO Je, Agizo la shule zote kuanza likizo tarehe 13 Novemba 2026, halihusu baadhi ya shule?

    Mwanangu anasoma shule inayotumia mtaala wa Cambridge. Wanaendelea kusoma hadi Desemba 04. Je, Elnino ikileta mafuriko, shule hizi hazitopata athari pamoja kwa wanafunzi wake? Wizara ya Elimu tunaomba ufafanuzi wa waraka unaoagiza shule kufungwa 13 Nove unahusu shule zipi?
  8. M

    Simulizi ya kuchekesha, Chawa mwenye gundu la kukutana na tajiri waliesoma wote shule ya msingi

    WAHUSIKA: JUMA (Chawa): Rafiki wa zamani wa tajiri. Kwa sasa ni chawa wa mjini, anatafuta connection kwa nguvu, mvaa nguo za kupendeza lakini hana mbele wala nyuma. MPISHI: Mpishi mkuu wa mgahawa wa kifahari. Anajua siri na ratiba za matajiri wote wanaokuja kula. MUSA (Tajiri / Mtu Maarufu)...
  9. Sakata la Shule za Amali: Hatma ya Wanafunzi Iko Wapi?

    Mwaka huu, shule mpya za amali zilizojengwa zilipokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini. Hata hivyo, inasikitisha na kushtua kugundua kuwa, hadi sasa, shule hizo hazina vifaa vyovyote vya ufundi wala vya kujifunzia kwa ajili ya masomo ya kiufundi na kitaalamu. Cha kushangaza zaidi...
  10. Wakili Peter Madeleka katema sana shule humu kwenye hii podcast, watu wengi tunahitaji Elimu ya sheria

    Jamaa kaongea sana humu, watu wengi tunakosa maarifa https://youtu.be/u2aZFKR9NKQ?si=ZvTGb_CQ7YGspu3R
  11. Wanafunzi wa darasa la saba waliopata wastani wa "A" wasambazeni wote kwenye shule za Sekondari za kitaifa nchini

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaopata wastani wa "A" kwenye mitihani Yao ya darasa la saba au division one kwenye mitihani yao ya kidato cha IV-VI huwa wanakuwa na nidhamu sana. Tuanze kuandaa Taifa la watu wenye nidhamu kuanzia Leo. Hivyo basi ili kuandaa Taifa la badae lenye tija kwa Taifa...
  12. Shule zimefungwa, hela zimetengwa na kutumika kwaajiri ya Elnino! Elnino Mungu kaizuia! Hizi tahadhali!

    Wakati mwingine ukishindwa jambo sio Vizuri ulazimishe hata kama Mazingira hayaruhusu! Watoto wapo majumbani, elnino haipo! Kwanini wasiendelee kusoma kwakuwa walichotarajia kitatokea tishio lake halipo. Kwanini wasitumie vyombo vilevile kueleza uhalisia huo. Mzazi kalipa ada mpaka hela ya...
  13. A

    HOJA Mamlaka zifuatilie mkanganyiko wa Maelekezo ya kufungwa kwa Shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

    Naomba Mamlaka zifuatilie suala linalohusu mkanganyiko wa maelekezo kuhusu kufungwa kwa shule kufuatia tahadhari ya mvua za El Niño. Kufuatia tamko la Serikali kuhusu kufungwa kwa shule, kumekuwa na taarifa zinazohitaji ufafanuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Kwa...
  14. Janga juu ya janga: Kufunga shule miezi miwili bila viboko wala vipima mimba ni bomu linalosubiri kulipuka!

    JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA! Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla, Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
  15. Wazazi wapewa Onyo: Shule Zinafungwa 13-11-2026

    Shule za awali na Upili zinafungwa kesho, kwa miezi miwili. Watoto waliokuwa Boarding sasa wanarudi na kukuta dada mpya wa kazi na kaka mpya wa kazi. Watoto wa kike waliokuwa Gils only, yani seminari n walishavunja ungo na walizuiliwa kuonana na wanaume sasa wanakutana na kaka wa kazi na...
  16. A

    KERO Shule ya Msingi Itigi matokeo si mazuri na kuna changamoto ya ufundishaji kwa Walimu

    Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba. Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
  17. Way back kwasasa viboko vimeondolewa mashuleni je ni tukio gani unalikumbuka uliwahi tenda ukiwa shule mpaka kengele ya dharula kugongwa

    Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
  18. Vijana wawili waliwala wanawake zaidi ya mia tatu bure tena wao ndio walilipwa, ama kweli mjini shule

    Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi. Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
  19. O

    Safari ya Shule Yageuka Msiba: Mwanafunzi wa Kitisuru Afariki Arusha, Familia Yataka Majibu

    Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania. Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
  20. O

    Vuta-Nikuvute Shule ya Upili ya Nyabisase: Maafisa Waokolewa Kufuatia Makabiliano Makali na Watahiniwa

    Tukio la kusikitisha na lenye kuhatarisha usalama lilitokea katika Shule ya Upili ya Mchanganyiko ya Nyabisase, iliyoko eneo la Bobasi, Kaunti ya Kisii, wakati wa zoezi la kawaida la usimamizi na ufuatiliaji wa mitihani ya kitaifa ya KCSE. Wakati wa tukio hilo, mamia ya watahiniwa wa KCSE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…