shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Kaka yake shetani

    Kisingizio cha shetani na ibilisi kumegeuzwa AI sasa

    Kuanzia ushaidi,picha,video,kufumaniwa,kuuwa kwa samia na mambo mengine wanasingizia AI. Hivi huyu AI yupo kwenye dini kweli
  2. Yoda

    Kwa nini hakuna kitabu au story kutoka kwa shetani mwenyewe ?

    Kama shetani yupo kwa nini hajaandika kitabu chake au vitabu vyake kuelezea story yake tangu mwanzo ilivyokuwa huko mbinguni mpaka alivyofika duniani na mambo yake aliyofanya kati ya wanadamu ? Kwa nini amekaa kimya tu na hajawahi kutumia mtu yeyote kuandika stori yake ? Kwa nini amekubali...
  3. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Uebert Angel alishawahi kusema kwamba MUNGU ni muongo, na shetani ni mkweli.

    https://www.facebook.com/share/v/1CQRfWsHh4/
  4. Yoda

    Njia ya kuongea na shetani ni ipi ?

    Kama maombi au dua ni njia ya kuongea/kuwasiliana na mungu, Je njia ya kuongea na shetani ni ipi ?
  5. F

    Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao

    Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao, hata baada ya kuwafukuza wakoloni Africa bado tunawapelekea wakoloni hao hao rasilimali fedha ambazo tunachangishana makanisan sadaka na misikitini (hija fee). Yaani hela zetu zinawafikia wakoloni wakiwa wamekaa, mtaji wao ni...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Wanawake Acheni Kumtumikia Shetani: Mnataka kunirudisha kwenye uzinzi?

    Siku chache zilizopota nimetangaza kuachana na uzinzi na kumrudia muumba wangu kupitia uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/leo-ni-siku-muhimu-sana-kwangu-nimeamua-kuacha-maisha-ya-uzinzi-na-uasherati-na-kufungua-ukurasa-mpya.2486991/ Jambo hili halijampendeza shetani, kuna kabinti...
  7. Design Your Idea

    Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  8. Eli Cohen

    Alafu mtu anakuja kusema Wamarekani ni mashetani. Shetani ni huyo anaekuhuburia kil siku hivyo ili aulinde ushetani wake

    Hata hizi pesa zilizo rudishwa zinaenda kupigwa juu kwa juu na wala ugali.
  9. singanojr

    Ujasusi ndani ya Shetani rudisha akili zetu Afrika.

    SHETANI, RUDISHA AKILI ZETU AFRIKA Je, muuaji anaweza kuikimbia historia yake, kuushinda ulimwengu wa giza na kuupata tena ubinadamu alioupoteza? Akiwa bado mtoto, Hamza anaachwa katika kituo cha kulelea watoto yatima kwa sababu za usalama wa maisha yake. Hata hivyo, kabla hajapata nafasi ya...
  10. idiomer

    Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

    Shetani hayupo wala hakuna kitu kama hicho watu walitafuta sehemu ya kujifichiaa. Ooh ni shetani tuu hakuna kitu
  11. T

    Mapepo na Shetani Humuomba Mungu Pia na Wakati Mwingine Maombi yao Hukubaliwa

    NDIO nayo humuomba Mungu pale yanapohitaji Kufanya Kazi zao na Hukubaliwa.. Na Yatakufanya Vyovyote Yanavyotaka. Ewe Binadamu Kiumbe Kumbuka Hili kwamba Hata Mapepo Yana nafasi Mbele za Mungu Kumuomba Na Kwa Kuwa Mungu ni Mwenye HAKI huyaruhusu pale Inapofaa na Ndio maana ya Neno haki. Mungu...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Eli Nino inatoka Kwa Mungu ama Kwa shetani?

    Nashindwa kuelewa. Kama inatoka kwake Mungu je analengo Gani na watu wake? Kama inatoka Kwa shetani kwanini asiizuie kabla haijaleta madhara? Tuamini ni janga la asili ambalo si la ki-Mungu Wala kishetani? I
  13. The Burning Spear

    KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Alichokifanya Makonda hapo kanisa la KKKT ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. ndo maana watu wote walikuwa wanamshangaa tu akiendelea kubwabwaja utopolo. Huwezi kupewa microphone 🎤 kanisani halafu uanze kuwasema vibaya maaskofu wanaokosoa serikali na kudhinda mtandaoni. Kanisa na maaskofu wana...
  14. Boss la DP World

    Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

    Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu "Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
  15. Eli Cohen

    Turkey anafanya madhara kwa wakurdi, syria na cyprus. UAE anafadhili machafuko huko Sudan lakini tunapaswa kufundishwa kuwa US na Israel ndio shetani

    Ukiwa sio mtalaam wa GEOPOLITICS za duniani, ukiwa hauna exposure ya SHADOW WARFARE na ukiwa haujui chochote kuhusu deep state syndicates basi utabebeka kirahisi na itikadi za kusimuliwa kwenye redio za mbao
  16. wa stendi

    Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

    Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
  17. Yoda

    Kwa nini unamchukia shetani?

    Kwa nini unamchukia shetani? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie?
  18. Pascal Mayalla

    Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
  19. J

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu. 1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
  20. Gunner11

    Vita vya Shetani Dhidi ya Mwanzo Mpya

    Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika... Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying to yourself you love God only to get a disappointment just to make you bitter, urudi kama mwanzo...
Back
Top Bottom