serikali

  1. Maopareta wameamua kama mbwai na iwe mbwai, Mwingine abomoa Ofisi ya Serikali Kwa Excavator.

    Baada ya yule wa Bongo ku trend Kuna mwingine huko China nae amekiwasha Kwa kubokoa jengo la serikali kabla ya Polisi kuwahi na kumtia nguvuni. https://www.instagram.com/reel/Dfl_hKuitVJ/?exln=bnpiazE2Y2pzbWVp My Take Hawa wapuuzi Huwa wanaua na kufukia wenzao chini.Wasimamizi kuweni maskini...
  2. Lengo la Serikali ni kuongoza Broken Families, kwani ni rahisi kutawala watu chokoraa wasio na familia.

    LENGO LA SERIKALI NI KUONGOZA BROKEN FAMILIES, KWANI ni RAHISI KUTAWALA WATU CHOKORAA WASIO NA FAMILIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunajua moja ya mbinu ya kimedani katika kutawala watu na Dunia kwa ujumla ni kanuni inayosema Wagawe uwatawale( Divide and Rules). Siasa za...
  3. O

    “Ruto Aliahidi Mbingu, Akawapa Wakenya Jehanamu!” Bennyhinn Walubengo Aikosoa Serikali ya UDA

    Katibu Mkuu wa chama cha People's Party of Kenya (PPK), Bennyhinn Walubengo, amemkosoa vikali Rais William Ruto, akidai kuwa umaarufu wake umeshuka kutokana na kushindwa kutimiza ahadi alizowapa Wakenya wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2022. Akizungumza katika kipindi cha JKLive cha...
  4. Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  5. K

    Mahakama ijitahidi kuepuka mipango miovu ya wanasiasa

    Kuna uwezekano mkubwa kwamba vyombo vya dola vinapewa maelekezo na viongozi wa kisiasa ili kuwafanya waendelee kutawala kama ilivyokuwa ikitamkwa kwa vipindi tofauti na viongozi waliopo madarakani. Katika nchi ambazo ni za kidemokrasia taasisi yenye nguvu inayopaswa kuheshimika na pia kuogopwa...
  6. M

    Huyu chawa mwanasheria wa serikali alifaulu kwa madesa.....tazama anavyojiuma kujadili hukumu ya TAL

    wanajamvi jioneeni mwanasheria anavyoahibika,,,,,,,ni bora asingeeenda hapo kwenye majadiliano https://www.youtube.com/live/BFtdAQgPuow?si=EIwzILxl-mKo3ehs
  7. Pesa za Serikali Zinatoka Wapi? Uchambuzi wa Bajeti ya Tanzania vs Kenya (2026/27)

    https://youtu.be/XI7YlZP1W4w Habari zenu wanabodi. Kuna mjadala mzuri sana unaoendelea kuhusu uchumi wa nchi yetu ukilinganishwa na majirani zetu, Kenya. Tukiangalia bajeti za mwaka 2026/27, swali la msingi ambalo wengi hatujiulizi kwa kina ni: Hizi trilioni zote ambazo serikali inatumia...
  8. R

    ANC yakubali matokeo ya kura ya serikali za mitaa. CCM ina cha kujifunza?

    98% Samia kwa mauaji 31% Ramaphosa bila mauaji
  9. U

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna Jioni njema
  10. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  11. K

    RESOLVED Asante serikali Kwa kutatua kero ya Chenji Choo Cha Stendi ya Mabasi Shinyanga

    Ilikuwa Jamuari 25, 2026 nilipoleta hapa changamoto iliyopo Stendi ya Mabasi Shinyanga, ya kutorudishiwa chenji kutoka kwa wahudumu waliopo kwenye choo Cha Stendi hiyo. Lakini nilizungumzia pia changamoto kama hiyo iliyopo kivuko Cha abiria Kisorya Wilayani Bunda Mkoani Mara na Ukerewe Mkoani...
  12. Kumbe kuna watu hadi leo walikuwa wanashikiliwa na serikali ya Samia tangu vurugu za October 29,2025?

    My take,Kumbe walituzuga tu wameachia vijana kadhaa wengine wakaendelea kushikiliwa
  13. E

    Anguko la ANC kutoka asilimia 69.7 hadi 30.76 linamaanisha nini?

    Chama kilichotawala Afrika Kusini kwa zaidi ya miaka 30 chazidi kupoteza uungwaji mkono; takwimu za chaguzi za Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu zaonesha kuporomoka kwa nguvu yake ya kisiasa. DA yaimarisha nguvu katika miji mikubwa, chama cha Zuma cha chanja mbuga KwaZulu-Natal huku vyama...
  14. Serikali uweke Account namba ya deni la taifa watu tulipie mdogo mdogo

    Eti Wadau Hili deni la taifa inabidi tulivalie njuga, weweke namba ya malipo tunanze kuchangia liishe, tu-fokasi na mengine
  15. Wakili Frank Lubasha: Serikali inayojitambua ni lazima Itumie Brain ya Lissu kwa Manufaa ya NCHI. Lissu sio wa kutukanwa, sio wa kufungwa!

    Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU. Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
  16. A

    HOJA Wanaoweka chupa katika ukuta mfupi ni hatari kwa Watu, hata kama hakuna Sheria hii si sawa

    Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
  17. Dkt. Mwigulu: Serikali imechukua hatua bei ya saruji iwe himilivu

    ▪︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi ▪︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika...
  18. Serikali yaweka dira ya kujenga miji ya kisiasa, salama na endelevu

    Dodoma Tanzania inatarajiwa kuwa na miji ya kisasa, yenye makazi bora na nafuu, miundombinu imara, huduma za kijamii zinazopatikana kwa urahisi pamoja na mazingira salama na rafiki kwa wananchi. Hayo ni miongoni mwa matarajio yaliyowekwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo mwaka 2050, inayolenga...
  19. PostGE2025 Serikali ambayo inasema watoto wasichapwe viboko ndiyo hiyo hiyo ilishindwa kuwavumilia watoto haohao oktoba 29 ikawachapa risasi za moto

    Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo? Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025? Kwa...
  20. Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara lakini viongozi hawataki kuishi maisha ya ufukara

    Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…