Nyumba za ibada ni muhimu na ni huduma kama zilivyo hospitali l,shule n.k.
inatakiwa kuwe na vigezo na masharti ya kuyafata kwa mtu anayetaka kuanzisha.sio hivi ilivyo sasa!
watu wanapaswa kuabudu kwa uhuru.ila jambo lolote likiachwa lifanywe bila utaratibu litageuka kero kwa watu.
Hivi sasa...
Wakulima katika kijiji vha Logoeti Halmshauri ya wilaya ya Kiteto,Mkoani Manyarawaambiwa kupitisha mashamba yao ambayo yamekua yakilimwa kwa kipindi kisichopungua miaka 30, kwani inaonekana walivamia eneo la machungio.
Mnamo miaka ya 2005-2015(rejea picha mjongeo hapo chini) wakulima wa vijiji...
Katika mazingira ya Sasa ambapo serikali yetu imepoteza uungaji mkono wa wananchi wengi kwa maoni yangu Mh waziri Mkuu yuko sahihi Kwa hayo anayoyafanya
Kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Haya anayoyafanya waziri Mkuu ndo Moja ya njia ya Kuirudisha imani ya wananchi kwa serikali yao. Kwa...
“Hakuna kujiunga na Maridhiano bila ukweli, haki na uwajibikaji”. Taasisi za Dini, Asasi za Kiraia, Vyama vya Siasa na makundi ya kijamii vimetakiwa kusubiri kwanza uwazi kuhusu masuala ya msingi kabla ya kushiriki mchakato huo.
Wakuu, habari za muda huu.
Nimekutana na kipande hiki cha video cha kumbukumbu cha mwanaharakati na kiongozi wa vijana, Twaha Mwaipaya, ambaye mpaka sasa bado hajulikani alipo tangu ripoti za kutekwa kwake mwishoni mwa Oktoba 2026.
Katika video hii, Mwaipaya anasikika akitoa msimamo mzito kuwa...
Ripoti mpya imeonyesha kuwa serikali za Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta zilikuwa na kiwango kikubwa zaidi cha matumizi ya umma yaliyowekwa alama na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikilinganishwa na utawala wa sasa wa William Ruto.
Kwa mujibu wa takwimu zinazohusu matumizi ya serikali kati ya...
SERIKALI YASAINI MIKATABA YA SH. BILIONI 200 KUBORESHA MAJI MOROGORO
SERIKALI imesaini mikataba ya zaidi ya Sh. bilioni 200 kwa ajili ya Mradi wa Uboreshaji wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira katika Manispaa ya Morogoro na kwamba wakandarasi wameshaanza kazi.
Hayo yamesemwa Alhamisi...
Ni kwamba, kila chama cha siasa kinachostahili kinapewa ruzuku na serikali kwa ajili ya kujiendesha. Hii inatia ndani CCM, Chadema Act Wazalendo. Sijui kama kuna kingine.
Sasa tatizo ni kwamba, pamoja na kwamba chama tawala ndio mara nyingi kinakuwa na ruzuku kubwa, kwa mfano CCM, fedha ya...
Haya ni maoni binafsi, natumia uhuru wangu kutoa maoni, kamwe nisieleweke vibaya, ni uhuru wa maoni nilionao kikatiba.
Kila mtu ajua kuwa CCM ilikufa rasmi October 29 2025,
Sasa muda si muda,Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkuu wa wa Tanzania Mungu akipenda.
Sasa nauliza mapema,ni watu Gani...
Serikali imeimarisha huduma za afya ya mama na mtoto kwa kuongeza wodi maalumu za kuhudumia watoto wachanga wagonjwa na watoto njiti kutoka 14 mwaka 2018 hadi 438 kufikia Machi 2026. Aidha, inaendelea kujenga wodi nyingine 35 na ina mpango wa kuanzisha vitengo 100 vya uangalizi maalumu (NICU)...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeiomba Serikali kuanzisha mfuko maalum wa mikopo yenye riba nafuu wenye thamani ya Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuvikopesha vyombo vya habari nchini.
Akizungumza Novemba 26, 2026 katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF), mbele...
Tarehe 24/11/2026 kupitia Mtandao wa Kijamii wa JamiiForums kulikuwa na taarifa iliyotolewa na Mwananchi mmoja aliyejitambulisha kama mkazi wa Wilaya ya Mlele, katika Kata ya Inyonga akieleza kuwa Mlele hakuna mbolea za ruzuku na kwamba mbolea hizo zinauzwa kwa bei kubwa ya Tsh. 130,000/=.
Hoja...
Naona wanaruka ruka tu na kesi za uhaini, tume za uchunguzi , katiba mpya , tume huru ya uchaguzi na bla blaa nyingi.
Kwa kifupi sana wangejikita kwenye mambo yafuatayo.
1. Waliowajibika na mauaji ya oktoba 29 ambao wote tuliwaona siyo Siri namaanisha vyombo vya ulinzi na usalama wakamatwe na...
Serikali imeanzisha uchunguzi kuhusu madai kwamba wadukuzi waliingia kwenye mfumo wa eCitizen na kuiba takriban gigabaiti 740 za taarifa nyeti za watumiaji.
Katika taarifa iliyotolewa Novemba 24, Idara ya Serikali ya Uhamiaji na Huduma kwa Raia ilikiri kupokea ripoti za watu wasioidhinishwa...
- "Alipoona Watanzania wanapigwa risasi ile Oktoba, alipoona mara Tundu Lissu amefungwa, ukiangalia kosa, ukichunguza hivi, hawa waliopigwa risasi walikosa nini?"
- "Kuna pasta amekamatwa tena anaitwa Pastor Yola. Mwanzo alikamatwa, akafunguliwa kesi ya kubumba-bumba. Baadaye walipoona kesi...
Nimeona mahali huyu Mheshimiwa Petro Magoti akipiga mkwara kama kichwa cha habari kisemavyo.
Anayejua kwanini alisema hivyo naomba atiririke hapo chini.
Katika msiba wa mtoto aliyefariki kwa kupigwa risasi Oktoba 29, mchungaji ametoa ujumbe aliotaka kuufikisha kwa waliohudhuria msiba huo.
Mchungaji huyo alisema hawana mashaka na serikali yao na hawako tayari kugombana na mtu yeyote, huku akisisitiza kuwa watu wasiingize maneno.
Kauli hiyo...
Serikali inaweza kwenda hospitalini na kujionesha inauchungu na wewe kusaidia kwa mda huo ila wakitoka ndio basi.
Kwa nini taasisi binafsi,watu binafsi,vikundi binafsi wakifanya kusaidia watu kama kuinua maskini,wenye matatizo na magonjwa.
Serikali wanakuja haraka na kuzuia na kudai pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.