serikali

  1. HOJA Serikali imegharamika sana kujenga madaraja ya Watembea kwa Miguu Kimara, Buguruni na Manzese, ila watu Bado wanakatisha barabarani!

    Sijui ata tunawaelewaje. Na wanasababisha foleni, huwezi amini.
  2. Wawakilishi wa Eisenkot na Netanyahu waanza duru ya tatu ya mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ

    Wawakilishi wa Eisenkot na Netanyahu waanza duru ya tatu ya mazungumzo ya serikali ya umoja Wawakilishi wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na Gadi Eisenkot, mgombea mkuu wa upinzani, wameanza mkutano wao wa tatu kuhusu kuunda serikali ya umoja. Ujumbe kutoka chama cha Likud cha Netanyahu na chama...
  3. Serikali kuanzisha mamlaka ya milki Tanzania

    Serikali iko mbioni kuanzisha Mamlaka ya Milki Tanzania kwa lengo la kuimarisha usimamizi, udhibiti na uendelezaji wa sekta ya milki nchini. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, amebainisha hayo leo Novemba 23, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao kazi...
  4. Hii nchi inachekesha sana kwa sanaa za serikali ya CCM

    Kuna mda mwengine unajiuliza hivi hawa ndio viongozi au vichaa tuliopo nao wameshika daraka. Katika hii tume mpya watajitokeza maishi wa kulazimishwa kwa mateso na wengine wakulipwa kusema yale yaliyotokea tanzania nzima hakuna hata polisi wala serikali walikuwepo kwenye kuhusika. Watadai...
  5. Serikali mnachangia uwepo wa foleni kwa dizaini mbaya za barabara

    Inashangaza kuona katika ujenzi wa barabara ya Morogoro, kipande cha Ubungo Maji hadi Kimara Mwisho, serikali inaweka pavings na sehemu nyingine kokoto kwa eneo la zaidi ya mita 4 kila upande. Uamuzi huu unafanya barabara kuwa nyembamba na finyu, ilhali gharama ya pavings hizo ingetosha kuongeza...
  6. Hutaki tuvujishe Video zako za uchi baki na mkeo/mumeo. Ukifanya uhuni tegemea lolote usitegemee serikali

    HUTAKI TUVUJISHE VIDEO ZAKO ZA UCHI BAKI NA MKEO/MUMEO. UKIFANYA UHUNI TEGEMEA LOLOTE usitegemee SERIKALI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Yule Shahidi Jeuri. Anakuja sasa anasema mumpishe! Tunakupisha aiiseeh! Wewe unatakaje! Hii ni michezo ya kihuni Babu. No rules huku kuzimu. Michezo ya...
  7. C

    Isarel: Netanyahu, Eisenkot kuanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya

    Vyama vya Waziri Mkuu wa mpito wa Israel, Benjamin Netanyahu, na mpinzani wake, Gadi Eisenkot, vinatarajiwa kufanya mazungumzo mapya leo, Novemba 22, 2026, mjini Tel Aviv, kujadili uwezekano wa kuunda serikali ya muungano baada ya uchaguzi wa Oktoba kushindwa kumpa upande wowote wingi wa viti...
  8. K

    KERO Zaidi ya miaka 13 wananchi wa makuna, kijiji cha mbatakero, wamezuiwa kulima, serikali na tanroads watuambie hatima yetu!

    Fidia tulisaini zaidi ya mwaka mmoja uliopita, lakini hadi leo hakuna malipo wala taarifa rasmi. Msimu mwingine wa kilimo unakaribia, wananchi hatujui tufanye nini! Ninaandika makala hii kwa niaba ya wananchi wenye mashamba ya kilimo katika Kijiji cha Mbatakero, eneo la Makuna, Wilaya ya Hai...
  9. Kuna Serikali nne za Afrika zinafanya majadiliano ya kufungia TikTok kwenye nchi hizo kwa madai ya kuwa inachochea machafuko ya kisiasa

    DOKEZO Kuna Serikali nne za Afrika zinafanya majadiliano tangu wiki iliyopita, majadiliano hayo yamelenga kufungia mtandao wa TikTok kwenye nchi hizo nne kwa madai ya kuwa unachochea machafuko ya kisiasa Malalamiko yao yanashutumu mtandao wa TikTok kwa kuruhusu watumiaji hasa vijana kufanya...
  10. Kitila Mkumbo: Wananchi wa Masaki na Mikocheni Wanauza Ardhi zao Kwa Wageni Kwa makubaliano ya kisheria Harafu Serikali Inalaumiwa Kwa Lipi?

    My Take Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni? Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
  11. A

    HOJA Ni lini Serikali itatoa mwongozo wa matibabu kwa majeruhi wa Oktoba 29?

    Nyuma ya milango iliyofungwa katika mitaa mbalimbali nchini, kuna Watanzania wanaoishi na makovu ambayo hayajapona. Kwa wengine, ni risasi zilizobaki mwilini zikileta maumivu kila usiku unapoingia; kwa wengine, ni viungo vilivyopotea ambavyo vimewageuza kutoka kuwa tegemeo la familia hadi kuwa...
  12. M

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444): Haki za raia, uwajibikaji wa Serikali, Ajira, na Uhuru wa Habari/Mawasiliano

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444) zimejaa vipengele vingi vinavyogusa moja kwa moja haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali, ajira, na uhuru wa habari/mawasiliano. 1. Haki ya Mwananchi Kupata Huduma Bora na Kufichua Ukiukwaji wa Maadili Wananchi wengi hawajui kuwa Kanuni...
  13. Serikali imeruhusu Pombe kiholela, visungura kila mahali halafu inalaumu watumiaji...?! Iwaache wafurahie sasa!

    Hii serikali yetu kuna wakati, unaweza ukajiuliza maswali ukaishia kucheka tu! Serikali imeruhusu pombe holela, yaani imerasimisha gongo na hata bungeni kuna mbunge aliwahi sema, gongo iruhusiwe sasa ndio imekuja kwa jina la visungura, huko mtaani inapimwa kuanzia mia tano! Konyagi, valuer...
  14. K

    Tatizo kubwa: Serikali ndiyo wavunja sheria wakubwa!!?

    Serikali badala ya kulinda ndiyo hao hao watekaji wa watu Serikali ndiyo hao hao wanabambikizia kesi watu Serikali hiyo hiyo ndiyo wanaiba kura za watanzania Halafu tunasema tuko sawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  15. Eisenkot: Nitaunda serikali ya "dharura" ikiwa jitihada za kuunda muungano "mpana" zitashindikana

    Eisenkot: Nitaunda serikali ya "dharura" ikiwa jitihada za kuunda muungano "mpana" zitashindikana Maadui wa Netanyahu anzeni kununa Mwamba anakuja kivingine Mwenyekiti wa chama cha Yashar, Gadi Eisenkot, anaashiria kuwa atachukua hatua ya kuunda serikali ya wachache โ€” serikali ambayo huenda...
  16. Akwilapo asisitiza ushirikiano wa serikali na sekta binafsi kukuza sekta ya milki

    DAR ES SALAAM Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. DKt Leonard Akwilapo, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi katika kukuza sekta ya Milki nchini, akieleza kuwa sekta hiyo ni kichocheo muhimu cha ukuaji wa uchumi, uzalishaji wa ajira...
  17. Ni wajibu wa serikali kuwabeba na kuwapigania wakandarasi wazawa

    Sio vizuri nchi kujengwa na wakandarasi wageni ni vizuri tender zote mpaka za kujenga treni ya umeme wapewe wazawa inawezekana vizuri kama tukiamua Ni kweli wakandarasi wazawa wana-malengo madogo hawana malengo makubwa kama ilivyo kwa wakandarasi wageni CAPACITY BUILDING KWA WAKANDARASI WAZAWA...
  18. Ni wakati sasa serikali ifikirie kuibinafsisha hii Tanesco !, ili wafanyakazi wawe na adabu na heshima kwa wateja!

    Hii dharau inayofanywa na watoa huduma wa tanesco, ni jeuri na kiburi! kwakuwa ndilo shirika pekee lililopewa dhamana hii ya kusambaza umeme nchini... Likiwa chini ya sekta binafsi kama baadhi ya kampuni za simu...wafanyakazi wake pengine watakuwa na adabu na heshima kwa wateja... Haiingii...
  19. Matapeli wamevamia Kilimo, zao la chai lang'olewa Rungwe, na serikali imelala!

    Nimetembelea majuzi kwetu Tukuyu, Rungwe. Matapeli na wafanyabiashara wahujumu wamevamia wakulima. Sasa wakulima wanajibu mapigo. Kiwanda cha chai Katumba muda mrefu kimebiafsishwa kwa matapeli walioshindwa kukiendesha. Wao wamekikopea mkopo na kutokomea kusikojulikana. Wakulima kuliko kukaa...
  20. Yohannes high school yatangaza rasmi ratiba na utaratibu wa programu ya tuition kwa kidato cha sita

    Habari za muda huu, Wazazi na Walezi wa wanafunzi wetu wa Kidato cha Sita. Kwanza kabisa, tunapenda kuwashukuru kwa dhati kwa maoni, mapendekezo na ushauri wenu kuhusu programu (Tuition) hii muhimu.Tunathamini sana ushirikiano wenu na namna mlivyoonesha kujali maendeleo ya kitaaluma ya watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ