serikali

  1. M

    Hivi hakuna vigezo vya kuanzisha kanisa, mbona makanisa ya kilokole yanaanzishwa kiholela sana?

    Nyumba za ibada ni muhimu na ni huduma kama zilivyo hospitali l,shule n.k. inatakiwa kuwe na vigezo na masharti ya kuyafata kwa mtu anayetaka kuanzisha.sio hivi ilivyo sasa! watu wanapaswa kuabudu kwa uhuru.ila jambo lolote likiachwa lifanywe bila utaratibu litageuka kero kwa watu. Hivi sasa...
  2. M

    HOJA Serikali iingilie kati kuchunguza mashamba,wakulima katika kijiji cha logoeti kuambiwa kua wamevamia eneo la machungio, wamelima kwa zaidi ya miaka 30

    Wakulima katika kijiji vha Logoeti Halmshauri ya wilaya ya Kiteto,Mkoani Manyarawaambiwa kupitisha mashamba yao ambayo yamekua yakilimwa kwa kipindi kisichopungua miaka 30, kwani inaonekana walivamia eneo la machungio. Mnamo miaka ya 2005-2015, wakulima wa vijiji vya Lukeli, Longojine...
  3. K

    Anachofanya Mwigulu kina shida gani, iwapo lengo la Serikali ni kutatua kero za wananchi?

    Katika mazingira ya Sasa ambapo serikali yetu imepoteza uungaji mkono wa wananchi wengi kwa maoni yangu Mh waziri Mkuu yuko sahihi Kwa hayo anayoyafanya Kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Haya anayoyafanya waziri Mkuu ndo Moja ya njia ya Kuirudisha imani ya wananchi kwa serikali yao. Kwa...
  4. Ukatili unaofanywa na askari wanaolinda misitu serikali haioni? Au Mpaka Mwigulu Nchemba afanye ziara?

    Kila kukicha askari wa Tfs wanaua watu👇
  5. Mpina: Kushiriki maridhiano kwasasa ni kuisafisha Serikali dhidi ya mauaji

    “Hakuna kujiunga na Maridhiano bila ukweli, haki na uwajibikaji”. Taasisi za Dini, Asasi za Kiraia, Vyama vya Siasa na makundi ya kijamii vimetakiwa kusubiri kwanza uwazi kuhusu masuala ya msingi kabla ya kushiriki mchakato huo.
  6. K

    Kama Serikali inawapoteza Vijana wenye maono kama haya wanataka Taifa la aina gani?

    Wakuu, habari za muda huu. Nimekutana na kipande hiki cha video cha kumbukumbu cha mwanaharakati na kiongozi wa vijana, Twaha Mwaipaya, ambaye mpaka sasa bado hajulikani alipo tangu ripoti za kutekwa kwake mwishoni mwa Oktoba 2026. Katika video hii, Mwaipaya anasikika akitoa msimamo mzito kuwa...
  7. O

    Ripoti Yaonyesha Serikali za Uhuru na Kibaki Zilikuwa na Mabilioni Mengi Zaidi Yaliyotiwa Shaka Kuliko Utawala wa Ruto

    Ripoti mpya imeonyesha kuwa serikali za Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta zilikuwa na kiwango kikubwa zaidi cha matumizi ya umma yaliyowekwa alama na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikilinganishwa na utawala wa sasa wa William Ruto. Kwa mujibu wa takwimu zinazohusu matumizi ya serikali kati ya...
  8. H

    Serikali yasaini mikataba ya sh. Bilioni 200 kuboresha maji Morogoro

    SERIKALI YASAINI MIKATABA YA SH. BILIONI 200 KUBORESHA MAJI MOROGORO SERIKALI imesaini mikataba ya zaidi ya Sh. bilioni 200 kwa ajili ya Mradi wa Uboreshaji wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira katika Manispaa ya Morogoro na kwamba wakandarasi wameshaanza kazi. Hayo yamesemwa Alhamisi...
  9. S

    Ufisadi unaosimamiwa na serikali (state sponsored corruption) ambao wananchi wengi hawaufahamu, ambao ni Nyerere tu hakuufanya

    Ni kwamba, kila chama cha siasa kinachostahili kinapewa ruzuku na serikali kwa ajili ya kujiendesha. Hii inatia ndani CCM, Chadema Act Wazalendo. Sijui kama kuna kingine. Sasa tatizo ni kwamba, pamoja na kwamba chama tawala ndio mara nyingi kinakuwa na ruzuku kubwa, kwa mfano CCM, fedha ya...
  10. F

    Baada ya Tundu Lissu kuwa kiongozi mkuu hapo mbeleni, nani watamfaa kuiimarisha Serikali yake?

    Haya ni maoni binafsi, natumia uhuru wangu kutoa maoni, kamwe nisieleweke vibaya, ni uhuru wa maoni nilionao kikatiba. Kila mtu ajua kuwa CCM ilikufa rasmi October 29 2025, Sasa muda si muda,Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkuu wa wa Tanzania Mungu akipenda. Sasa nauliza mapema,ni watu Gani...
  11. Serikali yaongeza wodi za watoto wachanga kutoka 14 hadi 438

    Serikali imeimarisha huduma za afya ya mama na mtoto kwa kuongeza wodi maalumu za kuhudumia watoto wachanga wagonjwa na watoto njiti kutoka 14 mwaka 2018 hadi 438 kufikia Machi 2026. Aidha, inaendelea kujenga wodi nyingine 35 na ina mpango wa kuanzisha vitengo 100 vya uangalizi maalumu (NICU)...
  12. Balile: Tunaomba Serikali itenge Tsh. Bilioni 10 kukopesha Vyombo vya Habari

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeiomba Serikali kuanzisha mfuko maalum wa mikopo yenye riba nafuu wenye thamani ya Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuvikopesha vyombo vya habari nchini. Akizungumza Novemba 26, 2026 katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF), mbele...
  13. Responded DED Mlele: Serikali imeendelea kuratibu zoezi la upatikanaji wa mbolea kwa bei ya ruzuku ili kumpa nafuu Mkulima

    Tarehe 24/11/2026 kupitia Mtandao wa Kijamii wa JamiiForums kulikuwa na taarifa iliyotolewa na Mwananchi mmoja aliyejitambulisha kama mkazi wa Wilaya ya Mlele, katika Kata ya Inyonga akieleza kuwa Mlele hakuna mbolea za ruzuku na kwamba mbolea hizo zinauzwa kwa bei kubwa ya Tsh. 130,000/=. Hoja...
  14. PostGE2025 Serikali ya CCM kwanini inaona aibu kukiri makosa ya Oktoba 29? Maridhiano bila kutatua kiini Cha tatizo ni Kujidanganya

    Naona wanaruka ruka tu na kesi za uhaini, tume za uchunguzi , katiba mpya , tume huru ya uchaguzi na bla blaa nyingi. Kwa kifupi sana wangejikita kwenye mambo yafuatayo. 1. Waliowajibika na mauaji ya oktoba 29 ambao wote tuliwaona siyo Siri namaanisha vyombo vya ulinzi na usalama wakamatwe na...
  15. O

    Serikali Yachunguza Madai ya Wadukuzi Kuiba Data ya eCitizen

    Serikali imeanzisha uchunguzi kuhusu madai kwamba wadukuzi waliingia kwenye mfumo wa eCitizen na kuiba takriban gigabaiti 740 za taarifa nyeti za watumiaji. Katika taarifa iliyotolewa Novemba 24, Idara ya Serikali ya Uhamiaji na Huduma kwa Raia ilikiri kupokea ripoti za watu wasioidhinishwa...
  16. Mwananchi: Hakuna serikali isiyopita. Kuna kustaafu, kuna kuzeeka... Chochote upandacho ndicho utakachovuna

    - "Alipoona Watanzania wanapigwa risasi ile Oktoba, alipoona mara Tundu Lissu amefungwa, ukiangalia kosa, ukichunguza hivi, hawa waliopigwa risasi walikosa nini?" - "Kuna pasta amekamatwa tena anaitwa Pastor Yola. Mwanzo alikamatwa, akafunguliwa kesi ya kubumba-bumba. Baadaye walipoona kesi...
  17. K

    Hapa ni undava undava, umeidharau Serikali leo utalala ndani

    Nimeona mahali huyu Mheshimiwa Petro Magoti akipiga mkwara kama kichwa cha habari kisemavyo. Anayejua kwanini alisema hivyo naomba atiririke hapo chini.
  18. MCHUNGAJI: Hatuna mashaka na serikali yetu na hatuko tayari kugombana na yeyote usituingizie maneno

    Katika msiba wa mtoto aliyefariki kwa kupigwa risasi Oktoba 29, mchungaji ametoa ujumbe aliotaka kuufikisha kwa waliohudhuria msiba huo. Mchungaji huyo alisema hawana mashaka na serikali yao na hawako tayari kugombana na mtu yeyote, huku akisisitiza kuwa watu wasiingize maneno. Kauli hiyo...
  19. Naomba kuuliza nimekutana na ili jambo.Kwa nini ukisaidia watu kuwavusha kwenye kipato serikali ina kukataza japo iwezi kujionesha mbele za watu.

    Serikali inaweza kwenda hospitalini na kujionesha inauchungu na wewe kusaidia kwa mda huo ila wakitoka ndio basi. Kwa nini taasisi binafsi,watu binafsi,vikundi binafsi wakifanya kusaidia watu kama kuinua maskini,wenye matatizo na magonjwa. Serikali wanakuja haraka na kuzuia na kudai pesa...
  20. HOJA Serikali imegharamika sana kujenga madaraja ya Watembea kwa Miguu Kimara, Buguruni na Manzese, ila watu Bado wanakatisha barabarani!

    Sijui ata tunawaelewaje. Na wanasababisha foleni, huwezi amini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…