SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Anza na namba moja tu inayoshangaza: Kwa takwimu za Benki ya Dunia (kwa bei thabiti za 2010), mwaka 1991 pato la mtu mmoja nchini Burundi lilikuwa Dola 384. Mwaka 2024, miaka 33 baadaye, pato hilo ni Dola 269—chini kwa 30% kuliko mwaka 1991, na juu kwa asilimia 6% tu tangu mwaka 1960 ($252)...
MOJA YA KOSA KUBWA KIJANA UNAJIFANYA NI KUOGOPA KUOA KISA MAMBO HAYAJAKAA SAWA. KOSA KUBWA SANA.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba
Niliwahi kukuambia kamwe usijicheleweshe. Wala usikubali mtu akucheleweshe. Nilikuambia.
Nikakuambia tena, yapo mambo ambayo utatakiwa uyafanye ukiwa na...
Kaandika pumba nyingi sana humu, halafu mwenyewe anajiona JASUSI 🤣🤣🤣
Ila bongo bana, ukiweza kuandika maandishi marefu sana na kuyapangilia kuhusu jambo lolote lile basi nawewe ushajivika ubobezi.
Unaishauri serikali ikatae Starlink eti sio salama kwa usalama wa taifa, hivi nawaza marekani...
Wanaukumbi.
MARIDHIANO NI HIYARI.. KAMA HAMTAKI SAWA TU..
CHADEMA wanapayuka sana huko kwenye vyombo vya habari kuwa bila wao hakuna maridhiano sijui bila Lissu, kutoka jela hakuna maridhiano na hawatashiriki kufanya mazungumzo . Ni mtu mjinga tu anaweza kuipa masharti serikali inapotaka...
Umeme ukikatika na ukaenda kule wanakouza nguo ni kama jehanamu hali inatisha hewa ni nzito sababu ukienda hata umeme tu upo hewa ni nzito
Nawatakia heri wapambanaji wakati huu umeme umekatika na mnategemea umeme kupata chochote kitu kwa ajili yenu na familia zenu
Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii.
Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania.
Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
Tupige marufuku mavazi ya mtumba. Pesa nyingi zinapotea kuyaagiza na fursa ya ajira kwa watanzania zinapotea. Watu hata wameacha kujifunza cherehani sababu ya mitumba kujaa.
Watu huwa wanasema hatuwezi piga marufuku sababu hatuna viwanda vya nguo. Wanasahau kuwa si rahisi kuwa na viwanda vya...
Afrika kuna magoigoi ya kike ambayo hata hayajui maana ya haki sawa 🤔
Ukiyaambia mwanamke kwenye haki sawa anatakiwa alipe , kwenye matumizi kwa haki sawa na mwanaume ananuna😅😅
Hii ni zaidi kwa wanawake wa kimatumbi ambao wanataka mfumo dume wa kuhudumiwa na huku wanataka haki...
Hi
Je, ni sawa kwa wazazi kuvaa nguo au kuoga mbele ya watotot wenu wadogo kuanzia mwaka 1-7. Maana kuna wazazi bado wana kaa uchi mbele ya watoto wao waki amini hawajui kitu chochote, huku baadae watoto wakiwa na wenzao wana anza kusimuliana yale wanayo yaona kutoka kwenu
kuna namna ina...
Jina Terrorist linatokana na neno Terror, ambalo maana yake ni tishio. Na kutokana na neno hili unapata maneno mengine kama TERRORISE (Kutishia) TERRORISM (utishaji)na TERRORIST (mtishaji). Mtishaji (terrorist) anaweza kuwa mtu binafsi, taasisi, kikundi, chama au hata Serikali. Silaha kubwa...
Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa, na milioni 600 hawana umeme kabisa. Ukubwa wa changamoto hii ndio unaofanya uwepo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika COP31 kuwa na uzito mkubwa kwa Tanzania na bara zima la Afrika. #TanzaniaCOP31...
Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza.
https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2
https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura.
Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
Nimeitoa sehemu.
Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri,
Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto.
https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23.
Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.