sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri (kilaza) ni rahisi sana kudanganywa

    Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana. Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela. Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85...
  2. Nampenda sana huyu dada

    min -me nitafutie huyu mwanadada mwanajeshi kwa jina ephen_
  3. A

    KERO Walimu wa Kibiti Boys Secondary School wanachapa sana Wanafunzi, imekuwa too much

    Pale Kibiti Boys Secondary School Mwalimu Mkuu na baadhi ya Walimu wao fimbo imekuwa ni njia ya malezi, hili suala imekuwa too much. Kuna muda Wazazi na Walezi wa Wanafunzi wanaosoma hapo walitoa maoni ya kukerwa na jambo hilo lakini hakuna hatua zilizofanyika, kila kitu kinaendelea vilevile na...
  4. Hata aibu hawana hii serikali katili sana

    Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol. 1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum) 2.VAT (Value Added Tax – 16%) 3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara) 4.Petroleum Development Levy 5.Railway Development Levy 6.Import Declaration Fee 7.Anti-Adulteration Levy Jumla 40%...
  5. Wanawake wengine wana dharau sana

    Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi. Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers? Goddamn sasa hivi vitu nitavifanyaje? Mwana JF yeyote ajae tutoe kitu basi
  6. M

    Wasomi wengi wa dini ya kikiristo ni weupe sana ktk uchambuzi wa kimataifa

    Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam. Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
  7. G

    Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  8. M

    Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

    IMAGINE Mwaka 2022 nilikuwa huko kigoma vijiji vya karibia na mpaka wa tz na burundi panaitwa kalinzi, huko ni mwendo wa baridi tu, kuna nanasi za kutosha. Sasa bhana kwasababu ya ugeni wangu sikuwa bado na mpenzi nilikuwa kuku mgeni. Kule bhana kuna watusi wa kumwaga wamepanda hewani weusi wa...
  9. L

    Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

    Ndugu zangu Watanzania, John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka...
  10. Kwanini dini inauzika sana Kwa wanawake? Maana ndio wahanga wakubwa wa Dini

    Shalom akhbar! Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini? Simple. Wanawake ni Viumbe wa hisia kuliko logic, na dini inatumia hisia zaidi kukamata watu kuliko logic, kwasababu ukitumia logic ndogo...
  11. Lifestyle yangu naipenda sana

    Natafuta pesa kwa bidii ila nachokipenda kwenye maisha yangu hata nikipata pesa sitotumia na wengi sababu kwa week pekee napokea simu ya baba yangu tu hakuna usumbufu
  12. Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

    Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja. Kwanza kabisa, Yesu...
  13. Chalamila: Tangu nisikie ukishikwa bega nyeti zinapotea nimekuwa makini, sina mali nyingine

    Mkuu wa Mkoa Dar, Albert Chalamila (Chala boy) huyo anasema Tangu asikie ukishikwa bega nyeti zinapotea amekuwa makini sana, maana hana mali nyingine zaidi ya hizo zaga. Soma pia ~ Katambi: Madai ya kuibiwa Nyeti ni uzushi ~ Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya...
  14. A

    KERO Barabara ya Gongo la Mboto maeneo ya Bomba Mbili - Njia Nne Mbondole ni mbaya na inatugharimu sana

    Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili. Kiukweli Wananchi tunateseka...
  15. Sadaka ya damu ni noma inajibu haraka sana

    wakati unamchinja sema maneno machache tu
  16. Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  17. A

    KERO Barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe ni mbovu sana

    Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender waliitangaza. Baadaye wakaitoa, now barabara ni mbaya sana, mashimo kila mahali, kutoka Mpiji hadi...
  18. Tetesi: Mji Mkuu wa Irani Umeshambuliwa vibaya sana na vikosi vya US na Israel

    Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo. Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa. Kitengo cha BBC Verify kimechambua video tatu zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo...
  19. Azam Wasipoifunga Simba Nitafadhaika Sana

    .... kwa sababu nimebeti hela nyingi sana Azam ishinde mchezo huo.
  20. Magaidi wa Hezbollah wanateseka sana huko Lebanon-Kusini tuwaombee tu!!

    Mapema wiki hii (Jumatano), magaidi wa Hezbollah waliokuwa na silaha waliwakaribia wanajeshi wa IDF wa Kitengo cha 91 na wakaangamizwa. Zaidi ya hayo, wanajeshi walipata silaha nyingi, ikiwa ni pamoja na bunduki, RPG, makasha ya risasi, na silaha za ziada. Eneo lote la kusini mwa Lebanon liko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…