Haran Sanga, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni akihojiwa kupitia Clouds TV Aprili 13, 2026 amesema;
"Changamoto kubwa Kigamboni ni tozo pale darajani kama hauna Tsh. mia Mbili huwezi kufika Kigamboni. Aidha upande boti au Tsh. 1,500 upite na gari darajani. Maisha ya wananchi wa Kigamboni ni kama...