Hakuna asiyependa kusifiwa, lakini kusifia sana kitu ni sawa na kukijaladia ili rangi yake halisi isionekane na kujulikana. Sifa nyingi ni sawa na ganzi inayomfanya mtu asijisikie maumivu akikwaruzwa.
Sifa muhimu yenye maana kwa aliyekuteua ni kufanya vizuri sana kwenye kazi alizokutaka...