Jana usiku nilishuhudia pambano baina ya Twaha Kiduku na Bondia kutoka DRC Congo.
Kwa kweli Twaha alipambana kiume na akaweza kumshinda kwa alama(points). Kwa Tanzania ya sasa hakuna bondia anayeweza kupambana na Twaha na kuweza kumshinda.
Tunaiomba Serikali yetu sikivu bondia kama Twaha...