sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Chukua hii ya Yanga. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mwaka ambao Yanga wanachukua ubingwa na maisha ya neema kwa watanzania.

    Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa...
  2. Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

    Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza. Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa. Daz...
  3. Usimuamini Mwanasiasa hata siku moja: Hili kuongeza mshahara lipo kisiasa sana

    Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe... Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume... Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza vizuri.. Kuna nini baadae... Mkikaa baadae mkatulia kwenye akili zenu mtajua tumepigwa changa la...
  4. Muogope sana mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela

    Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana. Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea. Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome. Wewe hauna hela...
  5. Utabiri wa wazi kama hujui kulima na kupanda utaishi kwa tabu sana miaka ya huko mbele

  6. Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

    Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la Mboto. To be honest Ilikuwa Ni usiku nilivyomuona I was very interested with her Na ndipo nikaomba...
  7. Kumbe hata Marekani inaathiriwa sana na vita vya Ukraine, Senator ampinga Biden

    Utelezi huu hata anaanguka. Msikilize huyu Senator Rand Paul anavyomkwamisha Joe Biden kupeleka msaada Ukraine rand paul $40b ukraine aid package
  8. J

    Uwezekano wa Mbowe kustaafu 2023 ni mdogo sana kwa sababu anahitajika sana kwenye Maridhiano

    Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023 Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha Ila kea hiki kikosi kazi kipya cha wajumbe 20 kutoka Chadema na CCM kinavhoratibu siasa za Tanzania mpya ni wazi Mbowe itabidi...
  9. Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

    Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa. Ameandika: "Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
  10. M

    Asante sana Chadema kwa maamuzi yenu ya leo, nafarijika kuwa bado kipo chama makini chenye msingi imara, hakiyumbi wala hakiyumbishwi!

    Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa! Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni...
  11. B

    Redpill talk: Wanawake wengi wanafurahi sana kukukataa pale unapowatongoza

    Hili swala nimelifanyia uchunguzi, Yani hata kama mdada hajavutiwa na wewe na hakutaki, ukimtongoza hlf akakukataa tena ile ya kikatili na ya kiroho mbaya bila sababu maalumu, rohoni huwa wanafarijika na kufurahi sana, ni wadada wachache ambao watakukataa huku mioyoni mwao wakiwa wanakuonea...
  12. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi na uhamisho wa Naibu Makatibu Wakuu. Dkt. Msonde kulamba asali TAMISEMI (Elimu)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI (Elimu). Bwana Msonde amechukua nafasi...
  13. Mchango wa Mbunge Musukuma Bungeni umenifikirisha sana

    Hivi kama nchi tunatumia fikra za nani hasa? Nimesikitika kusikia mamlaka ikitetea uamuzi wa kuwakopesha watoto wa watumishi tu kupata masomo ya vyuo vya kati. Hivi tunafeli wapi kama nchi. Hiyo sera imeamriwa na nani hasa? Binafsi naamini duniani hakuna inayoitwa nchi inaweza kuamua hiyo sera...
  14. T

    Kwa maamuzi ya leo naamini wazee ni hazina. Hongera Sana mzee Msekwa

    Licha ya kuongea kwa kusisitiza uharamu wa Mdee na wenzake kutotambulika kama wabunge rasmi lakini kuna wengine waliona hayupo sahihi ikiwemo Spika Tulia. Mzee Msekwa katuonesha ni namna gani mtu anatakiwa kusimamia anachoamini. Nami binafsi niliona Mdee na wenzake hawakustahili kuwepo pale...
  15. Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

    Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
  16. Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

    Kuna mambo mengi sana siku hizi yanakosekana kwenye tasnia ya burudani Tanzania. Naamini mambo yamekuwa feki sana kiasi kwamba kuna utamu na uchungu wa kisanaa tunaukosa. Au nimezeeka? Miongoni mwa mambo tuliyofaidi miaka 10 kurudi nyuma kwenye tasnia hii pendwa ya vijana ni wasanii kutugusa...
  17. Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

    Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
  18. Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

    Muda unakwenda kwa kasi. Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa. Kuna jambo linanifanya...
  19. F

    Wazazi wengi wa Kikristo wanachelewesha maisha ya watoto wao sana. Wanatoa sapoti ya elimu tu

    Habari wadau. Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo. Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka kusoma mpaka phd ada italipwa. Nina jamaa nawaona wana wazazi wapo vizuri ila hawapewi sapot za maisha...
  20. Kwanini baadhi ya Wabena wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu kwa Wakinga kwenye mafanikio ya kibiashara?

    katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo. Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…