sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Watoto huwa wanacheza michezo hatari sana!

    Tazama hapa. wenyewe wanaona rahaa
  2. Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  3. Kweli Nawaambia. Mtanikumbuka sana. Mtanitafuta na Hamtaniona

    Nawaambia ninyi members. Umuhimu wangu bado hamjaanza kuuona sababu mnajifanya busy. Ni wangapi nimewasadia humu kiuchumi na kimawazo? Wengi sana. Wema wangu umewabeba wengi na wengine nimesaidia hata kufungua account humu JF. Mi nawaambia mtanikumbuka siku ambazo nitaanza kutoonekana. Na...
  4. Mkoa wa Kagera umechoka sana

    Huu mkoa umechoka sana, ila ukipata stori za wenyeji ni kwamba kuna wazee wana hela sana na wana mifugo mingi. Ila katika kutembea Kagera ni mkoa ambao bado umejaa watu maskini, utasikia fulani yuko Minnesota, mara Texas ila ukweli unabaki palepale Kagera ni mkoa maskini. Usije ukawekeza, kuna...
  5. M

    Kusafiri bila kutoa taarifa inasaidia sana kwa usalama wako

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu. Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka...
  6. Tukatae, tukubali, watumishi wa Mungu hupitia mapito/ mitihani mikubwa sana. Tuwaombee bila kukoma

    Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana. Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
  7. Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani? Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
  8. Yesu Kristo angeishi nyakati hizi angepotezwa mapema sana..... Soma hapa

    Nimetafakari sana inawezekanaje kuwa na matukio maovu yanayoendelea huku kukiwa na watu wengi wanaojitambulisha kama wafuasi wa Yesu Kristo ambaye kwa imani yetu alikuwa mtu mwema asiyetenda maovu? Baada ya tafakuri yangu nimeona ni wazi kwamba Yesu angefanya kazi zake kwa wakati huu...
  9. Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

    Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA. Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii. Kuna watu tena...
  10. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  11. Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
  12. Putin alimheshimu sana Trump, ubabe wake aliufanya kabla Trump hajaingia madarakani na baada ya Trump kutoka madarakani

    Siwezi kusema Putin alimuogopa Trump lakini ni wazi alimpa heshima yake kwa kutojaribu kufurukuta kama alivyozoea. Putin aliitwanga Georgia kipindi cha Bush, aliichukua Crimea kipindi cha Obama, Ahakufanya vurugu kwa Trump, kaivamia Ukraine kipindi cha Biden. katika historia nzima ya marekani...
  13. Twende mbele na kurudi nyuma, ilikuaje na wapi Karia alitamka maneno haya? Yananikwaza sana

    Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje? Kama ilikuwa public kwa nini wengine hawakusikia? Itakuwa Haji ni katika kuendeleza utani wake kwa sisi wana Yanga kuna kipindi anajisahau...
  14. Namba E inakimbia sana kulikoni

    Wadau nimeona mpaka EAM tena huku mkoani kabisa kulikoni namba E inakimbia hivi ni watu wananunua sana magari au walificha magari walipoona namb D inamalizikia au ndio maisha bora kwa kila mtanzania na kama mtuu anataka kumiliki ndinga awe na kipato cha shiling ngapi kwa mwaka ndinga kama premio...
  15. Uongozi wa Yanga wajitafakari sana kwa hili la Privadinho kukataliwa na mashabiki

    Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka. Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva...
  16. J

    Kumbe mahakama ya ICC inasaidia sana Africa kuwa na amani, mfano huu hapa

    Mahakama ya ICC inasaidia sana kutunza amani Afrika Raila Odinga, mgombea urais katika uchaguzi wa Kenya uliopita amekiri aliogopa kushtakiwa ICC ndio maana hakuleta vurugu awamu hii ICC imekuwa ikilaumiwa kuwa inawaonea viongozi wa Afrika kwani ndio wamekuwa wakishtakiwa huko tu, japo hili...
  17. Maisha yetu ni mafupi sana

    Aliposema nitakuja kama mwivi, hakika anamekuja kama mwizi. Yaani sasa hivi huwezi jipangia au kujikadiria nitafika muda au umri gani. Tunaishi tu, ukiishi muda mrefu ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Yaani sasa hivi kifo ni muda wowote, popote na kwa vyovyote. Tumuombe Mungu atupe mwisho...
  18. M

    Rais Samia kawasahau wasichana wa Tanzania kuhusu lishe. Ni warembo ila ni wafupi sana

    Wasichana wa Tanzania wanaamza usista duu mapema sana.matokeo yake wamedumaa Wakiwa kwenye public ,wanajifanya kula kidogo,tena chipsi vipande vichache,kuku atamdonoa donoa,samaki atakula kama hataki hata kumgeuza hamgeuzi Ngoja afike nyumbani sasa,ni ugali wa kulumangia na kachumbari au...
  19. Kwanini wanaonunua Magari kwa Kuyaagiza Moja kwa Moja kutoka 'Majuu' na hawa wanaoyanunua 'Yards za Tanzania' Wanadharauliana sana?

    Wenyewe wanasema kuna Raha yake Kuliagiza Mwenyewe kutoka Mamtoni ( Majuu ) kuliko Yule ambaye anaenda Kununua Yard tena na Fundi wake kabisa Ili Kubahatisha lililo zuri na salama. Haya mlio na Magari yenu mliyoyaagizia kutoka Majuu na mliyonunua hapa hapa Yards za Tanzania tafadhali karibuni...
  20. Kumbe kuliwa nauli ni jambo jepesi sana

    Moyo wa mtu msitu, dakika za mwisho kabisa ndo unajua kua nauli imeliwa inabidi utulie, wadada wamekua wachakaramu sana. Bora mtu aombe tu hela kuliko hivi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…