sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Unipe tano umaanishe iwe amani, maisha haya haifai chuki, visasi na jealousy

    Nipe tano, salamu, gwara,.. wala si uhuni, peace and love kitu muhimu sana. Huu Ni wimbo wa Daz Baba akitoka Kama msanii aliejitegemea akiwashirikisha kundi lake Daz Nundaz, Ninavyokisakama kipaza Kwaheri sauti Ala Zinaleta mgongano Ninapotimba Majita wangu msisite Njooni mnipe Tano Nipe...
  2. Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

    Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy.... Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia...
  3. M

    Kombe la Dunia 2022: Tunavikosa sana vionjo tulivyovizoea kwenye mitanange ya Kombe la Dunia

    Kukosekana kwa wachezaji fulani kwenye Kombe la Dunia kunachangia kutukosesha vionjo tulivyovitarajia. Kwa mfano kokosekana kwa mchezaji bora wa Dunia kwa sasa Benzema (mtaalam wa kutupia), kukosekana kwa Halaand (mtupiaji mwenye mabavu), kukosekana kwa Mane (mtalaam wa kutupia), kukosekana kwa...
  4. J

    Wajumbe Tuna imani sana na Mohamed Ali Mohamed (KAWAIDA) Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM TAIFA

    Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
  5. Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  6. Sisi Migambo pia tuheshimiwe. Naona kama tunatengwa sana

    Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora. Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna...
  7. Rais Samia ulikosea sana kumtumbua Tito Mwinuka

    Kwanza ulidanganywa na kaka zako, pili ukadanganywa na para maji, ukaingia kingi kutuonesha umwamba wako. Sasa yamefika shingoni, kwa taarifa yako makusanyo ya mwezi huu huko TRA yatashuka kwa zaidi ya 20% utaambiwa na wawekezaji kuwa gharama za uzalishaji kwa mwezi huu zilikuwa juu kutokana na...
  8. Mrisho Gambo: Mheshimiwa Rais, kukatika umeme ni changamoto kubwa sana

  9. P

    Viongozi mnaudhi sana! Mbolea ya ruzuku inakaeje Dar na hamnaga mashamba huko!?

    Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri? Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani? Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
  10. Pole DC Machali ila unapaswa uelewe Bukoba mji wa wabishi kila mtu mwanasheria, wanapikia hata kwenye lami hakuna wa kuwagusa

    Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama mpaka baasi, nawachosubiri nikuona Machali anatolewa Bukoba wafanye sherehe. Kwakweli mji huu uko...
  11. Rais Samia niazimishie 'Recorder' ya TISS ili nikurekodie Wateule wako ambao Kutwa wanakusema vibaya sana Vijiweni

    Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu. Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi. Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach...
  12. V

    Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

    Salaams Wana bodi, Hawa DSTV nimejiunga kifurushi toka jana mpaka kunakucha nimeshaongea na customer care wanne tofauti tofauti lkn hakuna aliyenitatulia tatizo langu. Kibaya zaidi kilichonikera ni kuniblock namba zangu nisiweze kuwapata tena. Kesho nanunua king'amuzi cha mtandao mwingine...
  13. Wanawake mna moyo sana, mnawezaje?

    Unakutana na mtu, wewe tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda. Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala naye na kuamka naye. Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea...
  14. Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

    Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita. Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba. Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa...
  15. Aliyegundua kusoma historia ya marehemu siku ya maziko ana akili nyingi sana

    Mwaka fulani nikiwa wilaya moja mkoani Iringa nikifanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Kilolo katika idara ya TEHAMA. Nikakutana na chotara wa kihehe na kizungu kwenye korido, wapo wengi sana Iringa sijui walitokea wapi, zile dizaini ya Hanspope. Binti mdogo wa miaka 21, nikamtongoza...
  16. T

    CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

    Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana. Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM. Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya...
  17. Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

    Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza..... Kwa sasa hivi...
  18. Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

    Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
  19. CHADEMA walimtukana sana Jakaya kikaja chuma kikawafunga midomo na miguu wakasema bora Jakaya. Siku zinakuja tena sio nyingi watamkumbuka Samia

    Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana. Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala...
  20. Ukweli uwe mtamu kusema japo ni mchungu sana, kwa sasa CCM inabebwa na dola kama Chama Tawala ila kwa ndani imeshajifia

    Wakuu habari? Ni matumaini yangu kuwa mko poa sana katika harakati zetu za watu weusi kutafuta rizki ya kila siku.Wanasema hatuwezi kuacha kujihusisha na Siasa sababu Siasa ndiyo ina mstakabali wa maisha yetu,kwa siku za hivi karibuni yaani kuanzia 17.3.2021 hadi sasa nimekuwa nikifatilia vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…