sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

    Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons). Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm...
  2. Walimu watafungwa sana na magereza yatajaa ikiwa Sheria hazitabadilishwa, wanafunzi wa kike ndio wanaowataka Walimu

    Wadau hili suala la walimu kufunguliwa kesi za kuwatia mimba wanafunzi au kuwabaka Mimi napingana nalo hasa baada ya kujionea wanafunzi wakiwa ndio chanzo Cha walimu kuwadinya wanafunzi. Majuzi nilienda kuwachukua wanafunzi Arusha wanaoishi Dar. Wazazi hujikusanya wanachangiana na kukodi Costa...
  3. Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

    Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960. Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii? Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31. HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI? Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja...
  4. Nimetumia mbao mwanzo mwisho..kila anayepita analishangaa banda hili...

    Kama picha inavyojionyesha,nimejenga hili banda kwa kutumia mbao mwanzo mwisho,wengine wananiambia ni gejenga banda la chuma,wengine wananiambia nimetumia gharama sana kujenga banda hili maana mbao zimekuwa ghari,wabongo wanakatisha sana tamaa,yani wanaona nina pesa kwa kuwa nimejenga kwa mbao...
  5. Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana

    Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show. Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia. Ila kizuri ni kwamba...
  6. R

    Je, Tanzania kuna Yoabu? Yoabu huyu hapa, ana nguvu sana

    Utangulizi: Yoabu alikuwa ni Mkuu wa Majeshi au Jemedali wa Jeshi la Israel wakati wa Mfalme Daudi. Habari za Yoabu na Mfalme Daudi utazipata kwa kina ktk Kitabu cha Biblia cha Samweli wa kwanza na Wapili, Mambo ya Nyakati wa kwanza na Wa Pili lakini pia Habari zake zinaanzia Katka kitabu cha...
  7. Msaada: PC system inakula sana data

    Beijing! Bonjour wakuu, PC yangu inakula sana data kwa vitu visivyoeleweka. Nimeweka connection kuwa metered Nimestop background applications Nimestop google updates (ilikuwa ishakula mb95) Nimeweka data limit Nimezuia system updates mpaka January huko Lakini bado kila mkitumia nakuta Mb kibao...
  8. Hizi nyimbo za Rhumba huwa zinanikumbusha mbali sana

    Hizi nyimbo za rhumba huwaga zinakumbusha mbali sana Mayaula mayoni- Mbongou Diblo Dibala- Machete Papa Wemba yolele Extra music- Shalai Extra music- Losambo General defao- Famile kikute Kanda bongoman- Elisabeth
  9. World Soccer Photo Album

    Ronaldinho Gaucho. Aliletwa duniani kuiburudisha dunia kupitia miguu yake iliyosheheni ujuzi wa kipekee.
  10. Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

    Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja. Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
  11. Huu Mwaka umefika mwisho Naomba atokee mtu atuwekee Nywira za kuishi Maisha ya Mazuri

    Hapa namaanisha Maisha Mazuri Kula uhakika Kulala uhakika Kuvaa uhakika Unaishi Nyumba nzuri yenye hadhi ya kukaa Binadamu Unaendesha kipandio chochote chenye Muonekano Una Biashara au Kazi iliyo-simama Unasaidia Masikini , wazazi, majirani na Yatima nk. Huna stress za Mapenzi Account...
  12. Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  13. Kuona Maiti ikizikwa na Manispaa kumenitafakarisha sana maisha yetu hapa duniani

    Wasalaam!. Kuna ndugu wa Mfanyakazi mwenzangu alipatwa na maradhi, akalizimika kulazwa ili kuendelea kupata matibabu zaidi katika moja ya Hospital za Rufaa hapa nchini. Nilikuwa na ratiba ya kwenda kumuona baada ya ibada. Hivyo nilipotoka kanisani nilienda sokoni kununua baadhi ya vitu vya...
  14. Baadhi ya wanaume ni wanyama sana na haipendezi

    Habari za jioni Mimi pia ni mwanaume lakini kuna matukio ambayo wanaume wenzangu wana yatenda yanaumiza sana moyo. Nilibahatika kumuhudumia client mmoja leo kati maongezi yetu ndipo alipo nihadithia history yake kwa urefu sana kiasi kwamba siwezi kumaliza kusimulia yote ila nitaipunguza yasiyo...
  15. Viongozi hawa wamepiga hela sana 2022

    Kwema ndugu zangu Watanzania? Leo sina mengi zaidi ya kuwapa list yangu hapa ya Viongozi waliopiga hela nyingi kwa mwaka huu. Najua wote hapa mna akili timamu sitawaambia wamepiga vipi hela ila najua kwa kufungua akili zenu mtajiongeza. 1- January Makamba: Waziri wa Nishati baada...
  16. Meja Kunta ameua sana kwenye hii video ya wimbo wa 'Demu wangu'

    Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video. Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video maana wambea walishaanza kuzua maneno yao ya ajabu ajabu huko mtaani Siiishi hamu kuitazama hi...
  17. Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

    Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote. Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu. Kombe la dunia sijakosa mchezo hata mmoja hata nikiwa kazini natega tu simu yangu nachek game live tena HD...
  18. Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  19. Maisha ya jamii ya JamiiForums yako poa sana kuliko jamii ya Twitter, Facebook na Insta

    JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni. Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho hapa JamiiForums imekuwa ni rahisi kuonywa kwa kupewa makavu laivu, tabia zako na mambo yako ya hovyo...
  20. Mziki wa CHADEMA bado ni mzito sana kwa CCM

    Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania. Mwaka 2020 Magufuli na umwamba wake wote alipelekewa moto mkali sana na Tundu Lissu. Sasa kama Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…