sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Gen Z Mnakimbiza sana Magari!

    Hello petrol heads! Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani...
  2. 0

    Breakup zinauma sana

    Imagine ungekuwa na uwezo wa kugundua kuwa mwezi ujao mpenzi wako unaempenda kwa dhati atakuacha na atakutangaza hadhari kuwa kakupiga cha mbavu. Hapo the smartest move ni wewe kumuacha mapema kabla hajachukua point zote 3 muhimu ili kulinda ego yako. Na ikiwezekana muonyeshe na mtantangaze...
  3. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  4. Nimeshuhudia wanyonge wakiendelea kufanywa wanyonge despite ya kusali sana huku mahasidi na vizazi vyao wakiendelea kuneemeka despite uonevu wao

    Maisha ni technique, hakuna roho yoyote inayoendesha maisha yenu ya kuwasaidia katika tabu au kuwaadhibu wanaowafanyia vita Maisha ya mshindi ndugu zangu, aliejaa juu ndio anatunga sheria, hakuna roho yoyote inayo control maisha yetu haya.
  5. L

    Biashara ya kuuza magari used hapa TZ inahitaji mabadiliko makubwa sana

    Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa. wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
  6. Watanganyika mnasahau sana. Miki bado nipo kwenye utabiri wa Sheikh Yahaya. Ile hatua ya baada ya Rais Mwanamke.......

    Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows. Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande. Hata raia wamechoka. Ikifanyika...
  7. Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  8. Tanzania ni nchi ya surprise sana aiseeh, unaweza ukaamka leo giant lakini in no time unafananishwa na sisi tuliopauka

    Yaani unavyopakaziwa wakati wanakudondosha utafikiri haujawahi kufanya lolote chochote. Pole sana ema ze boy.
  9. Kufukuzwa kwa Dkt. Nchimbi ni tukio kubwa sana kihistoria kwa siasa za Tanzania

    Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3. 1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa: Katibu Mkuu wa CCM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Balozi Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi. 2. Muda wake ni...
  10. Watawala wa kiafrika noma sana. Yaani hata kama haukubaliki unalazimisha kwa kuteka

    There is no good politics in Africa👇
  11. Tunamchukulia poa lakini ukweli ametushika pabaya, tena pabaya sana

    “A cornered animal is the most dangerous.” Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake, uwezekano wa mashitaka ya kimataifa, vikwazo na mashinikizo kutoka kila kona ya dunia—vyote...
  12. Aisee ,kabudi ? No .kabudi hapana ,mpe frani ( umejaa ndani ya 18)

    Kabudi ? Hapana Huyo hapana Mpe frani - sawa Frani ndye na ndye kawa Ana minagap? Ana udhoefu kias gan serkalini ? Kwa Nini iwe hivyo Mimi na wewe hatujui Kwa waliocheza last card wanajua
  13. CHADEMA itisheni kikao cha dharura haraka sana tembeeni na upepo huu huu wa CCM kumalizana na Mbowe

    Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea. Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
  14. Uchawi upo wa aina nyingi sana!

    Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!? Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza kusudio la bwana mganguzi. -Upo uchawi unaotumia kupatwa kwa jua au mwezi,mti uliopigwa radi,kamba...
  15. Kwa mfano akiamua kuongoza Hadi achoke yeye kama M7, anaweza sana tu

    Kwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia. Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo...
  16. Kwenye kesi ya Lissu nimejifunza kuwa Ndugu wa Lissu wanaupendo mkubwa sana na Lissu

    Ukiangalia kaka yake na dada yake walivyoactive mahakamani na namna wanavyopambana hapo kisutu ni dhahiri familia yao ina upendo sana. CCM wengi hata undugu wao huwa wa mashaka angalia Polepole mpaka leo hajulikani alipo lakini siyo ndugu zake wala wanaccm wenzake waliofungua kesi na kudai haki...
  17. Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

    Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa. Sifa za Wapashiwa. 1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...
  18. Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  19. Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole, Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
  20. Udi wa Hassan gud na chumvi vina nguvu ya ajabu sana

    Aiseee , mweny uelewa aniambie, Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan najisikia raha mno kichwa kipo safi na nafsi imetulia ..je mweny point zaid aniongezee madhara na faida
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…