Hello!
Kuna mtu mweusi na kuna Mwafrika, hawa ni watu wawili tofauti. Unaweza ukawa mwafrika lakini usiwe mtu mweusi na unaweza kuwa mtu mweusi lakini usiwe mwafrika.
Nazungumzia mtu mweusi bila kujali ni raia wa nchi/bara gani. Mtu mweusi amepuuzwa na MUNGU, kwa lugha rahisi tuseme ameshushwa...