sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Najilaumu sana kutokuchukua masomo ya Science, hasa Physics na Chemistry

    Habarini wa Kuu, Nina imani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu. Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali. Wakati nikiwa nasoma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa. Ushauri...
  2. Wanandoa wapya, miezi sita ya kwanza mpendane sana

    Ndoa n jambi jema sana. Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana. Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa. Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha ya pamojaaaaaaa Yajayoooo yanafurahisha, sikutishii Wachaga wanasema bado mtasemaaaa. Sikukuu...
  3. Kutengeneza nyumba kama hii inagharimu kiasi gani?

    Nauliza kutengeneza kma haka ni inagharimu kiasi gani?
  4. Kungekuwa na Hukumu ya Kosa hili basi zamani sana ningekuwa natumikia Kifungo changu cha Maisha Segerea

    Hivi unajua usipompa pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi? Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
  5. Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

    Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume. Huko Ugangan ndio usiseme Sijapita mahospitalini usiseme NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw...
  6. M

    Ajali: Basi kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage

    Ajali ya Basi la kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage pale, Taarifa zaida wataleta wenye mamlaka husika
  7. Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

    Nimeipata katika pitapita zangu mtandaoni.
  8. Ni kwanini wanaume weusi wa Tanzania wanapenda sana wanawake weupe?

    Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI? Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya...
  9. K

    Malipo ya 500/= getini stendi ya Magufuli magari madogo yanayotoka na abiria;

    Nimeshangazwa sana na malipo yanayotozwa getini stendi ya Magufuli, kwa magari madogo yaliyobeba abiria walioshuka kwenye mabasi. Kuna jamaa getini anachukua mia tano kwa kila gari ndogo inayotoka, bila kutoa risiti, na mlipaji ni abiria. Hizo pesa zinaishia wapi na ni tozo za sababu gani?
  10. Rais Samia anasifiwa sana, hawaju wateule wake kama Jeneali Ulimwengu anavyodai?

    Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na kurekebisha maoni yao yaendane na mazingira ya utawala uliokuwepo katika awamu ya tano, yeye...
  11. Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  12. M

    Prof Kitila Mkumbo amekuwa muongo sana. Mijini tu hakuna maji sembuse vijijini?

    Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma. Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi...
  13. Upepo wa Makonda umekata mapema sana

    Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote. Upepo umekata
  14. Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

    Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana : " Dada angu wewe: 1. Huna tako ( shape) 2. Huna sura 3. Huna kazi. 4. Hujasoma. 5.Huna biashara. 6.Huna danga. 7. Hupati psi psi mtaani. Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu.. Nimeiona hali hii kwenye comments...
  15. Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

    Napenda sana kufuatilia habari za kiroho hususani misimbo ya kinabii "prophetic codes". Kuna mengi tumejifunza kuwa ni magumu ila kupitia misimbo mambo huwa bayana. Bila kuzungusha sana maelezo kilichofanyika usiku wa tarehe 8/12/2023 kwa jina "usiku wa maajabu" ni tukio la kuondoa mazoea na...
  16. G

    Video inafikirisha sana

    Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
  17. T

    Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  18. D

    Tuseme ukweli, Gamondi anafeli pakubwa sana Yanga

    Salaam wana JF, Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana...
  19. Nahisi tunadanganywa sana kuhusu kiasi cha umeme kunachozalishwa nchini

    TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme. Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi...
  20. TANESCO Simiyu Bariadi imekuwa kero sana

    Habari Wanajukwaa wa JamiiForums ? Natumai mko salaama. Leo ni nina kero ya muda murefu sana kutokana na umeme wa huku Bariadi Mkoani Simiyu ambao umekua ukikatika na kurudi kila wakati kutwa nzima usiku kucha kama ka mchezo flani hivi. Yaani umeme umaweza ukawaka kama dakika 30 hivi au lisaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…