sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Chino akizungumza kitu kilichomvunja moyo sana na kuwa dissapointed

    Wanajamvi kwema. Nilikuwa namsikiliza chino wana man 😂. Kitu ambacho kilimkata sana kipindi anajitafuta mpaka akalia. Anasema miaka hiyo kulikuwa sherehe, sasa mesen selekta akampgia simu akamuambia mdogo wangu chino njoo uwafundishe madancer(wachezaji). Chino akamwambia basi poa bro mimi...
  2. Bima ya Afya kwa Wazee ni Muhimu sana tuwanze wazee wetu

    Kuna asilimia kubwa ya wazee ambao hawana vyanzo vya pesa wala uwezo wa kujigharamia matibabu, na Hawana msaada kabisa Bima ya kwa wazee izingatiwe. Serikali ihakikishe hawa wazee wasio na uwezo wanapata matibabu vema, na sio kauli vivuli kwasababu wanahitaj sana hili. Tuwape upendo wazee wetu,
  3. Mlandege kawa mlasimba shirikisho nimewaelewa amani sana...

    Yaan best final ever ya mlandege Mwingine akamjibu zile dk mlizokuwa mkiongezewa kwa wenzenu leo wamezipunguza muwe wapole...Tuliwasubiria final Shirikisho la znz lina akili sanaa baada ya kuona mlandege in... Singida akiingia anabeba kombe refa akapewa majukumu fanya ufanyalo hili boya...
  4. Inatia wasiwasi na kuumiza sana kuona Majeshi yetu yanavyotumika Kisiasa

    Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
  5. Watanzania tubadilike tulifeli pakubwa kwenye drill ya UVIKO-19

    Yajayo yanaogyofya, Dunia nzima mwaka 2019 ilifanya Drill ya kupima utayari wa nchi kukabiliana wa virusi. Tanzania kama mojawapo ya nchi ilipuuzia kwa kiwango kikubwa Drill hio. Hali hii inafanya watanzania kutokuwa watiifu kwa mamlaka husika endapo watapewa tahadhari juu ya ujio wa janga...
  6. A

    DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  7. Ila biashara nyingine Sinza zinachekesha sana

    Naomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano. Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha, pesa iliyobaki akakodi fremu Sinza, akaajiri kadadaa kamsaidia kuingiza maokoto Baada ya miezi...
  8. Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

    wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma. Nadhani wote...
  9. Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
  10. Naweza vipi kuishi Pasina kuyatilia sana Maanani haya Maisha?

    Ivi Umewahi kufikiria hili? Katika miaka mia ijayo, mwaka 2124, sisi sote hatutakawapo hata jamaa na marafiki zetu pia. Watu wasiojulikana wataishi katika nyumba zetu ambazo tumejenga kwa jitihada kubwa na kwa Majaribu mengi. Watakuwa na vitu vyote tulivyo navyo au Vingine kuvitupa...
  11. M

    Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

    Nimefuatilia kwa muda mrefu ubora wa shule za Marian hasa Marian Girls iliyopo Bagamoyo nikagundua kuwa ubora wao upo kwenye Masomo tu. Kuhusu huduma ya chakula ni duni sana Kulinganisha na Fedha wazazi wanazolipa ni mwendo wa harage mwanzo mwisho, chakula wanachokula hakina tofauti na...
  12. S

    Kombe la Mapinduzi limekaa kimapindu sana

    Kama unadhani kombe la Mapinduzi ni rahisi, basi waulize APR na Singida. Kombe linaitwa Mapinduzi, maana yake muda wowote utarajie Mapinduzi. Mashindano ya kombe hili ni magumu sana.
  13. M

    Yanga Mliona mbali sana Mapinduzi Cup

    Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya. Yanga mliona mbali sana
  14. Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  15. Uchawa ukizidi sana ndio madhara yake haya

    Rais wetu mpendwa anatoa wapi hela za kusomesha watu wa nchi hii? Naamini Rais anachukizwa na hizi sifa mnazombebesha kila uchwao. UCHAWA UKIZIDI SANA NI AIBU!
  16. Wazazi kuweni makini na shule zinazofaulisha sana (Top schools)

    Habari wakuu, Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule zote ila wengi wao ndio walivyo. Ni kweli watoto wanaosoma kwenye shule hizo hufanya vizuri...
  17. 🔒 Backups ni Muhimu: Jipatie Flash Drives kwa Jumla na Reja Reja!

    Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB Flash Drive, inakupa suluhisho unalolihitaji. 📁 Nafasi Kubwa ya Hifadhi: Hifadhi picha, video, na...
  18. Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  19. Huyu jamaa Maraues Brownlee anajua sana upande wa Tech

    Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
  20. Ushuhuda: Nilihisi nina upungufu wa nguvu za kiume nilikula sana karanga mbichi, mtindi, vipande vya nazi na mhogo bila mafanikio, NIMEPONA !!

    MUHIMU: TIBA HII SIO KWA WOTE, NI KWA WALE WENYE TATIZO LINALOFANANA NA LANGU. Nilidhani labda ndio umri umeanza kwenda maana si kwa kuhangaika kulitafuta goli la pili, na kuna kipindi ni kimoko chali kiasi cha kuwa bingwa wa visingizio kukwepa aibu. Kiukweli nilikula sana dawa asili za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…