sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Iran inaiogopa sana Israel.

    Ukifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe. Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.
  2. Huu mwezi nimgumu sana kwangu sijui kama nitatoboa salama

    Mwanzoni mwa mwezi kuna project nikaifanya ikanikomba akiba yote na haikuwa vile nimetarajia Sijakaa vizuri nimepata loss iliosababishwa na mpinzani wangu hii imenikwangua kiasi cha laki5 Haitoshi pia jana nimeibiwa simu na vikorokoro vingine vya kazi hapa ninapoandika nimeingia dukani...
  3. M

    Mkurya akishakuwa na msimamo ni ngumu sana kuununua msimamo wake, Tuombeane uzima yasije yakajirudia ya Chacha Wangwe

    Nimeishi na Wakurya, wakiwemo Wanzanaki na koo mbalimbali ambazo wakati mwingine hujitambulisha kama makabila tofauti, lakini ukiangalia kwa karibu utaona ni wale wale tu wote wanaitana MURA ! mambo mengi wanafanana kuanzia majina, mila, tohara na mambo mengine mengi. Kwa kifupi, wote ni kina...
  4. Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  5. Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  6. M

    Vijana wa Gen-Z wanatuzidi sana sisi wazee Kwenye Ujasiri, Wanaulizia Nchimbi yuko wapi

    Vijana wameamua kuchagua vita yao
  7. Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

    Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
  8. Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

    Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike? Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa...
  9. Zuchu kamchamba sana Mama Dangote kwenye 40 ya mwanaye

    Nilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Haihitaji uwe na degree au masters kujua kile kichambo cha Zuchu kilikuwa kinamlenga mama dangote. Kwanza chaguzi tu ya wimbo na namna alivyoimba kihisia ni jibu tosha kwamba lile dongo lilikuwa la...
  10. Nchi imeharibika sana hii,kila jambo linaenda kiholelaholela

    Imagine makamu wa Rais anajiudhuru kihuni kihuni tu,kamasio uhuni ni nini?,baada ya kujiudhuru haieleweki yupo wapi, hajakabidhi ofisi,hajaonekana kizimkazi,huyu kimama ataishi kama digidigi na familia yake kama aabahatika kumaliza kipindi chake. Mtu kama Wasira anasema wazi kabisa Nchimbi...
  11. Mwanetu anazibonda sana kama Tandale

    Drake ameendelea kuwa na mwaka bora baada ya kufikisha streams bilioni 15 kwa mwaka 2026 pekee kupitia mtandao wa Spotify kupitia nyimbo zake zote kwa mujibu wa ripoti ya @records. Jambo ambalo linalomweka katika nafasi ya kuweka rekodi ya mwaka wenye mafanikio makubwa zaidi ya usikilizaji wa...
  12. Maisha Yako bila Yesu yatakua Magumu sana lazima Kuna Siku Utapotea

    Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu. Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu. Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha? Unamhitaji Yesu ndugu...
  13. Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...
  14. Midahalo ya Wahubiri Wakristo na masheikh Waislamu huwa myepesi sana, sasa ingefaa iwe na Atheists.

    Hii midahalo ya Wakristo na Waislamu ya tangu enzi za Mkapa huko Mwembechai mpaka siku hizi online huwa myepesi na hoja nyepesi pamoja vituko tu zaidi. Hata midahalo dhidi ya Wasabato na wanaobishania utatu au nafsi moja kati ya Wakristo nayo ni dhaifu sana iliyopooza. Sasa hivi inatakiwa...
  15. Jumapili ya leo naomba nitoe elimu kuntu, adimu sana huwezi ipata popote pale kwa Dada zetu na wamama watarajiwa.

    Mwanamke anapokuwa katika hedhi, anapaswa kuepuka kuwakasirikia watoto wake, vinginevyo watakuwa wakaidi sana. Mwanamke anayetokwa na damu hapaswi kumpiga mtoto wake, vinginevyo mtoto atakuwa maskini sana maishani, hata kuolewa itakuwa vigumu sana, na watakuwa wapumbavu sana shuleni...
  16. New Dar Es salaam yote leo imehamia Kiwalani.. Kiwalani wameweza sana leo

    Dar el salaam mpya ( New Dar Es Salaam) yote Leo imehamia Kiwalani kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili. Kama hukuwa Kiwalani Leo mida hiyo I have very little to tell you. U were supposed to be there.. # Kiwaside Halla. #Mascombisco. New Dar Es salaam = Back City ( Mbagala), Chanika...
  17. Hili taifa ni zito sana aisee, kutoka kuwa na ndoto za kuwa rais hadi kugeuka kuwa mtalaam wa nyota jukwaani 😁

    Denis, what happened bro?😁
  18. Car4Sale 2021 Toyota Rav4 z-package ya moto sana iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 85M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA RAV4 Z-PACKAGE Year: 2021 Engine: 1,990Cc Mileage: 70,000+ Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO ✨Digital Dashboard ✨360 Degree Camera ✨Drive Modes Selector ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  19. M

    Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…