Habarini
Duhh ninamachache tuu yakusema
Mimi ni baba wa watoto wawili mapacha.
Siku kama ya leo mwaka uliopita katika pitapita zangu nililokota bidada single Maza , kiukwelii sijawahi mtongoza Wala kumuhonga parefu ila shoo alikua ananipaa sanaaa mpaka nasahau ladha ya mkewanguu (shindwa pepo)...