samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Samia: Vifo vya wajawazito Tanzania vimeshuka hadi 75 kwa 100,000

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema vifo vya wajawazito Tanzania vimepungua hadi 75 kwa kila vizazi hai 100,000, kutoka 104 vilivyorekodiwa mwaka 2022, hatua inayoonesha maendeleo katika kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto. Akizungumza leo, Jumatatu, Novemba 23, 2026, jijini...
  2. D

    I lobe u mama samia. Ypu have made maisha bora kwa kila mtanzania unlise the passerby.

    Everyone iis now enjoyong life has become simple
  3. D

    Kwani Samia alichelewa wapi kuwa Rais? Magufuli alipata urais bahati mbaya sana

    Kipindi cha jpm kazi za kujitolra watu walikuwa wanaaply kwa sasa hakuna kitu kama hicho. Ajira sasa hivi kila kona ushindwe mwenyewe. Jpm aliharibu nchi kiasi graduates wanaambiw awawe machinga lakini sasa hivi hakuna graduate machinga wala bodaboda nchii imekuwa tamu
  4. Zack Abdul

    Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika

    Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026)
  5. Patrice Diounis

    Nukuu ya Mtu mzito mtu wa kusigina katiba

    " Huko Mahabusu huko kuna mtu amefungwa kwa kesi ya kubambikwa tu. Sasa engineering gani imepita huko Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa ?. Akitoka anasema " nilikuwa sina kesi nilibambikiwa tu,lakini nimekaa nimetoka". Sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake...
  6. Deus Jovin

    Wazo Mbadala: Rais Samia Aboreshe Tume ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya kwa Kufuta Tume ya Jaji LIla

    Baada ya kusikiliza kwa makini na kuchambua hotuba mbili za Rais Samia, sasa natoa mapendekezo katika hatua tatu. Katika hatua ya kwanza, napendekeza kwamba: majukumu ya "Kamati ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya" yafafanuliwe ili kukidhi matarajio ya wananchi wengi yenye kujikita kwenye...
  7. A

    Rais Samia: "Tulikumbwa na msukosuko 2025"

    https://youtube.com/shorts/H-q4G8pbSRg?is=CJZ0b7iAmec-XCUM Ule ulikuwa ni msukosuko ? Labda wengine hatujui Kiswahili
  8. Beira Boy

    Naipinga katiba kutoka kwenye mikono ya mzanzibar Samia Hassan, naikataa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Siko tayari mimi mtanganyika kuandikiwa katiba na raia wa omani mkimbizi wa Zanzibar Samia suluhu Hassan Naikataa katiba hiyo kuanzia sasa Katiba hiyo ishindwe na ipotee AMINA SAYUNI BOY
  9. econonist

    PostGE2025 Tume huru ya uchaguzi iliondoka na watu 500, sijui hiyo Katiba Mpya na Samia itaondoka na wangapi

    Nianze kwa kusema hivi. Baada ya Samia na serikali yake, wakishirikiana na vyama vya upinzani, ukiondoa (CHADEMA) kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ambayo hata hivyo sio huru, CHADEMA walilalamika sana kutokana na mapungufu yaliyomo kwenye Sheria hiyo ya Uchaguzi lakini walipuuzwa. Kama hiyo...
  10. Troll JF

    Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi mwamba kabisa DK. Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2029 tutakua na Katiba mpya.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, inayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Lengo la Tume hiyo ni kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba...
  11. McLaren

    Rais Samia: Ikifika 2028/2029 tutakuwa na Katiba Mpya

    Akizingumza leo Rais Samia amesema Tume ya maridhiano tutaitangaza hivi karibuni...kwa nini tume ya maridhiano? Tunafanya tume ya maridhiano ili kulirudisha Taifa pamoja, kutoa hoja zinazotukera, kujua nini kibadilike kwenye Katiba yetu, halafu ndio twende kwenye mabadiliko ya Katiba, kama...
  12. figganigga

    Samia kasema eti 2029 tutakuwa na Katiba mpya. Anatupangia?

    Samia Suluhu Hassan amesema kufikia mwaka 2028 hadi 2029, katiba mpya au iliyorekebishwa itakuwa tayari. MY TAKE Katiba ni ya Wananchi kwanini anajimilkisha? Aache tume ndo Iseme. NB: Freeman Mbowe anawakilisha Familia yake sio CHADEMA. Mbowe kajipeleka eti anawakilisha wazee wa. CHADEMA...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia anafungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa wa Jeshi la Polisi, Novemba 20, 2026

    https://www.youtube.com/live/U68b26PjDpY?is=U5TGfPK-g6L7twSp https://www.youtube.com/watch?v=_bp5jcuLrgI
  14. M

    Ndejembi amwakilisha Rais Samia mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
  15. technically

    Samia nakwambia, hautokaa uishi kwa amani Tena

    Maisha yako yote yaliyobaki hautokaa kuishi kwa amani Hii issue ya Lissu Hii issue ya mo29 Hii issue ya utekaji Hii issue ya kuweka watu vizuizini Nakwambia hautokaa uishi kwa aman Milele na milele kwa sababu machozi mengi yanakulilia na kukunungunikia.
  16. Troll JF

    Rais Samia Suluhu Hassan kufanya Ziara ya Siku 3 jijini Arusha

    Arusha hii si ya kukosa Kipenzi cha Waranzania Rais Samia Kufanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Mkoani Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Arusha kuanzia Novemba 19 hadi 21, 2026. Akizungumza...
  17. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema? Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea? Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
  18. Course Coordinator1

    Nina hakika Samia Suluhu Hassani anatuchukia mimi na wewe

    Angalia anavyoshughulika na mambo ya Tz bara, toka ameingia madarakani hajawai kuzindua hata mradi wa kuku. Angalia alivyo lichukulia suala la Oktoba 29 kwa kuunda vitume uchwara bila kuomba radhi watanzania bara kwa kuuwawa kwa ndugu zetu zaidi 518 (pengine 2000) walifika. Angalia majibu yake...
  19. MWANDAMBO

    PostGE2025 Samia anaridhiana na nani, na kuhusu nini?

    Samia Suluhu Hassan anafanya mzaha na vituko vya kisiasa vya kiwango cha juu sana. Na pengine tatizo si yeye peke yake, bali hata baadhi ya watu wanaomzunguka ambao inaonekana wameshindwa kuelewa uzito wa hali ya kisiasa nchini. Samia aliingia kwenye Uchaguzi akiwa na vyama vya siasa vya...
  20. kilio

    Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
Back
Top Bottom