safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama Mifumo ya nchi haimtaki namba 2 hata kama lolote litokee katikati ya safari anaweza tengenezwa namba 1 kufikisha mtumbwi ng'ambo

    Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) na humanoid robots inaweza kutumika kutengeneza roboti inayofanana na namba 1 aliyesafiri Roboti hiyo inaweza kuiga sura, sauti, lafudhi, mwendo na namna namba1 alivyokuwa akizungumza. Inaweza pia kuhifadhi hotuba zake, historia yake na mawazo yake ili...
  2. Na hii ndio Maana halisi ya We are the Giant Company, Hesabu haidanganyi! Safari inaendelea kuliangaza Taifa la Tanzania

  3. L

    Safari ya Kiya ya kuanzisha kampuni yake ya biashara ya bidhaa za kilimo inayoanzia China

    Akiwa mbele ya darasa na wanafunzi wenzake, Kiya Esatu kutoka Ethiopia, anaangalia kwenye laptop yake kwa makini, mara akageukia ubaoni na kuanza kuwasilisha mada yake inayohusu matokeo ya majaribio yake aliyofanya shambani. Kabla ya hapo mimi na Kiya tulikuwa katika shamba alilokuwa akifanya...
  4. F

    CHADEMA ndio turufu pekee ya Samia kumfanya aendelee au ashuke katikati ya safari.

    Wengi humu wanajiuliza kwanini CHADEMA ambayo haikushiriki uchaguzi batili ndio inawindwa Kwa Kila namna ili ije kwenye meza ya maridhiano? Iko hivi, serikali iliyopo Haina uhalali wa kuongoza, sababu kuu ni kile kilichotokea Oct 29, uchaguzi haukufanyika Kwa maana ya mchakato huo kugeuka fujo...
  5. C

    Ubeligiji: Mgomo wafunga viwanja vya ndege, safari 429 zaathirika

    Viwanja vikuu vya ndege nchini Ubelgiji vimesitisha huduma za kawaida za safari za ndege leo, Jumatatu, Novemba 23, 2026, kutokana na mgomo wa kitaifa wa wafanyakazi wanaopinga sera za serikali za kupunguza matumizi ya umma na mageuzi ya kiuchumi. Hatua hiyo imeathiri viwanja vya ndege vya...
  6. Meli ya mafuta ya Iran "line-breaker' imeanza safari kupita kizuizi cha jeshi la marekani

    Iran imetangaza kuwa hii ndo itakuwa "the last confrontation against imperialism " . Meli ya Iran VLCC iliyobeba mafuta imeanza safari kupita mlango bahari wa hormoz na kutumia nguvu kupita katika kizuizi Cha jeshi la marekani . Iran imetangaza endapo meli hiyo itashambuliwa na jeshi la marekani...
  7. T

    Hiki ni nini!? Watumishi wa umma toka karagwe wamekodiwa kaizeregi mbili safari ya siku 5 karagwe Zanzibar!

    Sijui ndio kula kwa urefu wa kamba au kuna nn kinaendelea kwenye nchi yetu. Yaani zimekodiwa basi kubwa 2 za kaizeregi kubeba watumishi wa umma kuwapeleka Zanzibar just kurefresh. Kama ni kurefresh kwa mujibu wa taratibu za kazi sina tatizo na hilo, ila tatizo langu ni kwamba katikati ya...
  8. Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema? Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea? Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
  9. TAWA: Je, Mtanzania akikamatwa na nyara za serikali, hulipa faini na kuendelea na safari?

    Je, kuna Mtanzania aliyewahi kukamatwa na TAWA au mamlaka nyingine za uhifadhi wa wanyamapori kwa kosa kama hili, akalipa faini na kuruhusiwa kuendelea na safari yake? Tukutane hapa tushirikishane uzoefu.
  10. K

    US: Safari zote za ndege marekani zimesimamishwa baada ya kudukuliwa

    Taarifa zaidi zinafata
  11. Muda wa safari kati ya Dar mpaka Dodoma

    Wadau, naomba kuuliza je endapo nikitoka Dar saa tatu kamili usiku naweza kufika Dodoma sangap Kwa njia ya basi la abiria?
  12. Air Tanzania: Safari zitachelewa kwa siku 7

    Kampuni ya huduma za usafiri wa ndege ya Air Tanzania (ATCL) imetoa tahadhari kwa abiria kuhusu uwezekano wa kuchelewa kwa safari za ndege, mabadiliko ya ratiba, na kubadilishwa kwa ndege, kuanzia tarehe 7 Novemba hadi tarehe 14 Novemba 2026. Sababu iliyotoloewa na kampuni hiyo ni : Kuondolewa...
  13. TBC Safari Channel historia ya Iyunga Sekondari inadosari

    Mimi nikiwa mmoja wa wanafunzi tulioingia shule hiyo miaka ya sitini baada ya serikali kuichukua na kuifanya sekondari ya kimataifa, niliona dosari kwenye historia inayohusu shule hiyo. Dosari mojawapo ni kuwa shule hiyo mwanzo ilikuwa ni kwa ajili ya watoto wa machifu! Hapana, baada ya...
  14. Safari ya Tundu Lissu kutoka Bulyanhulu hadi Leo… nini kimebadilika? 🇹🇿

    Na Mwandishi Wetu Nilimfahamu Tundu Lissu kwa mara ya kwanza wakati wa uzinduzi wa mgodi wa Barrick, alipokuwa pamoja na Rais wa taasisi yake, Dkt. Nshala, katika kipindi cha utawala wa hayati Dkt. Benjamin Mkapa. Wakati huo, gazeti la Rai lilikuwa na makala yenye kichwa cha habari...
  15. O

    Safari ya Shule Yageuka Msiba: Mwanafunzi wa Kitisuru Afariki Arusha, Familia Yataka Majibu

    Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania. Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
  16. O

    Safari Dar es Salaam - Tanga

    Nipo Dar es Salaam naomba muongozo nina Ist ya 2nz nahitaji kwenda nayo Muheza hivi hapa mafuta ya bei gani, lita ngapi yanaweza nifikisha pasi mawazo
  17. B

    Kwa staili hii, CHADEMA bado ina safari ndefu;Wasaliti ni wengi sana kwenye chama, kina Deogratius Mahinyila Amkeni mkitetee chama chenu.

    Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti. Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe.. Huenda...
  18. M

    Safari Miraji

    Picha inajieleza
  19. I

    Afrika bado safari ni ndefu sana: Mtoto wa rais Museveni aamuru Kizza Besigye apewe dhamana.

    Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye. Juhudi za kutafuta...
  20. M

    Wakomavu tunajua siyo kila akutakiyae safari njema anataka ufike salama

    WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Wapo wataokusindikiza mpaka stendi ila sio kwa upendo, wanaomba upate ajali WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuuliza umefika wapi sio kwa ukarimu bali wajue ikiwa bado una nguvu za safari ama umekwama kama watakavyo. WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuja kukupa pole sio kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…