sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Ni dhahiri demokrasia inafikia mwisho wake na inaenda kutoweka duniani, hakuna tena sababu za msingi kuumia ukipigania demokrasia

    Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia. Ukweli...
  2. Roving Journalist

    Vijana wanakwama baada ya masomo sababu Taasisi za Elimu ya Juu zinazalisha Wasimamizi badala ya Watendaji

    Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
  3. 19911008

    Umewahi kushindwa kusimamisha kwa sababu mazingira machafu?

    Rejea somo hapo juu! Watu wa Mungu tusameheane! Ee bana jana nimeenda kwenye madangulo fulani hivi yameezekwa kwa makuti na bati. Nikazikuta nyingi nikaita moja ikaja. Ikalala lakin mmmmmh harufu kali sana. Mashine ikalala kabisa. Nikanyanyuka nikamwambia nahisi njaa naomba nikale kwanza...
  4. W

    Ni rahisi Israel kushambulia viongozi wa Iran sababu wananchi wengi wanaichukia serikali, wairan wanaiona Israel kama mkombozi

    Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
  5. J

    Baba Hubezwa kwa sababu hapendi kujitetea

    Ni jambo la kusikitisha sana na la kugusa moyo namna wanaume wengi wanavyobeba maisha kama mzigo mzito usioonekana — mzigo wa kutegemewa, mzigo wa ukimya, na mzigo wa kutokueleweka. Mwanaume anaamka asubuhi mapema, mara nyingine hata kabla ya jua kuchomoza, anaenda kazini au kwenye mihangaiko...
  6. Minjingu Jingu

    Israel kuhusu tukio la octoba ilituchezea akili. Ilishirikiana na Hamas wahuni kuteka wale watu ipate sababu

    Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta Israel haikushindwa wapata mateka.sema imewatoka kafara ili sasa ipatikane sababu ya kuichakaza Gaza,Hamas na Hirzibollah. Na sasa...
  7. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania nitaruhusu Uraia pacha kwa sababu una faida kubwa sana

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano Uta-facilitate technology transfer Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector Utaongengeza na kuchochea uwekezaji Utatupandisha kwenye michezo sababu kuna diaspora wengi wako tayari kuchezea timu...
  8. KENZY

    Sasa hivi sitalilia tena mapenzi na hii ndio sababu!

    Nimekaa nikatafakari nimegundua mapenzi ni utapeli tu!, Haiwezekani ati mtu kwa kukubusu tu useme hayo ndio mapenzi!, yani mtu anatumia kiungo chake cha kusagia chakula (mdomo) kukuonyesha mapenzi!, How come..? Ama mtu anakuonyesha mapenzi kwa kukupa kiungo chake cha uzazi yani uzazi ndio...
  9. Leejay49

    Tuambie sababu inayokufanya usipumzike.....

    Wakuu habari za nyie... Mara nyingi nimekuwa nikiskia watu wanaambizana,. "Ukijiajiri unakuwa na mda mwingi wa kupumzika Kwasabu Kila kitu unajiamulia mwenyewe ufanye au usifanye".. kiuhalisia naona kama hii kauli haina ukweli,. Ila tuachane nayo tu kwanza tujikite kwenye mada Tukiachana...
  10. Allen Kilewella

    Mnahangaika kuzungukazunguka bila ya sababu, zikeni maisha yaendelee

    Kati ya vitu vyenye utata duniani KIFO ni kimojawapo. Mpaka sasa duniani kuna mabishano juu ya uhai ni nini ili ikijulikana watu wazuie KIFO. Na utata juu ya kifo umekuja kwa kuwa watu hawajui uhai ni nini. Je uhai ni pumzi, ubongo, moyo, au nini? Watu wa falsafa nao hawapo nyuma, wanadai uhai...
  11. CHASHA FARMING

    Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

    Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi. Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super...
  12. S

    Nakufunulia. Bata anataka kiota, na ndiyo sababu kamtuma kifaranga kupeleka lalamiko kwa pilato

    Nakupatieni ufunuo ya kwamba, bata anakihitaji kile kiota cha makao makuu. Hivyo mgawanyo wa mali utakapofika kiota kitaamuliwa kuuzwa, halafu bata atatumia ujanja na kukirejesha mikononi mwake. Kwakuwa inadaiwa jalala ambapo kiota kimejengwa ni mali ya bata. Kifaranga anayelalama kwa...
  13. mdukuzi

    Tanzania haisongi mbele sababu marais wetu wanne kati ya sita hawana asili ya Tanzania

    Ukiondoa marais wawili tu,sitawataja majina Wanne waliobaki hawana asili ya Tanzania. Ndio maana hawana uchungu na nchi yetu
  14. T

    Tetesi: Msajili wa vyama KUFUTA usajili wa CHADEMA sababu ya kesi inayowakibili mahakamani

    JF Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA. CCM mnatupeleka wapi.?
  15. haszu

    Leo mkuu wa idara kaniwakia sana kwa kosa dogo, yote sababu haniwezi kwenye ligi ya mademu

    Anashangaa yeye ana cheo na ukwasi zaidi yangu ila tukii gia ligi sehemu namtoa, yeye anakataliwa mimi nakubaliwa. Sasa kuna pisi kali ilikuja hapa, yeye katumia nguvu nyingi hadi pesa ila amemkosa, mshua sijamtongoza ila dada anajigonga gonga sana kwangu. So naona tumeshaongia uhasama kwa...
  16. The redemeer

    Kwanini mtu anapambana sana kweli kweli lakini bado hatoboi? zipo sababu

    sababu nyingi kwa nini mtu anaweza kuwa anafanya kazi ambayo inaendana na nyota yake lakini bado hafanikiwi, hata baada ya miaka mingi. Hapa chini nitakueleza sababu kuu 7 zinazoweza kuzuia mafanikio, hata kama kazi inaendana na nyota: 1: Karma Kuna vipingamizi vya kiroho vinavyotokana na...
  17. Pfizer

    Sababu za TPA kuongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo

    Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo? i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
  18. Carlos The Jackal

    Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  19. Carlos The Jackal

    Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  20. U

    Naamini muda sio mwingi Israel ataishambukia Iran ni baada ya kukataa ushauri wa US, Sababu , Nia na uwezo wanao

    Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
Back
Top Bottom