Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.
Katika maonyesho ya "Anga na Usafiri wa Anga" yaliyofanyika Mashhad, Iran, toleo lililoboreshwa la ndege isiyo na rubani ya kujilipua yenye uwezo wa kusafiri umbali mrefu, iitwayo Shahed-136B, limezinduliwa leo. Ndege hii imeundwa ikiwa na uwezo wa kufika maeneo ya ndani kabisa barani Ulaya...
Umri : 30
Elimu : Masters
Shughuli : Biashara, kilimo na ufugaji
Ni mwepesi kuzoeana na watu pia kwakuwa chama kinapenda uchawa, hayo maigizo nayaweza.
Kwa ushauri niliopewa nimeambiwa nifiche kabisa Elimu na vijisenti nilivyonavyo, au hata wakijua nisiwe naviongelea sana, nije kuvitumia...
Wanabodi,
Salaam,
Mimi mwanabodi mwenzenu Mzee Pasco, ambae ni member wa TEF, niko live hapa Morena Hotel, mjini Mloglo, mji kasoro bahari, kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 9 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba...
from
hotel
jukwaa
jukwaa la wahariri
live
mgeni
mgeni rasmi
mkutano
mkutano mkuu
mkuu
mkuu wa
morogoro
mwigulu
mwigulu nchemba
rasmi
tanzania
tef
ufunguzi
wahariri
waziri
waziri mkuu
Bodi ya Filamu Tanzania imekuja na utaratibu mpya wa kuwasajili wafanyabiashara wa filamu, wakiwemo wanaouza filamu mitaani na wanaomiliki maktaba (Video Library), kwa lengo la kuwatambua kisheria na kurahisisha usimamizi wa shughuli za usambazaji wa kazi hizo nchini.
Kupitia mfumo wa...
Inazinduliwa mnamo Desemba 19, 2026. Legasiw inajionyesha kama mfumo ikolojia wa mitandao ya kijamii ulioundwa kusherehekea utamaduni wa wazao wa Weusi na Waafrika, bila udhibiti wa algoriti, pamoja na uchumaji wa mapato wa waundaji kutoka siku ya kwanza na hali ya ulinzi hasa kwa vijana.
1...
Yule mtangazaji nguli na mwanaharakati duniani Joyce Kiria ametunukiwa PhD na sasa ni rasmi anatambulika duniani kama Full Professor Joyce Kiria (PhD).
Prof Kiria (PhD) ametoa wito wakati wa Mahafali kuwa wanwake wanaweza. Niffer tayari ameanza mipango ya kumpokea pindi atakaporejea nchini
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezindua rasmi nembo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambayo itaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania na Uganda.
Nembo hiyo imebeba taswira ya utamaduni na utambulisho wa Afrika Mashariki, ikiwa na rangi za bendera za mataifa hayo...
Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga, Simo Dladla, ameaga rasmi klabu hiyo baada ya kupata nafasi ya kuwa Kocha Mkuu wa Richards Bay ya Afrika Kusini.
Dladla alikuwa sehemu ya benchi la ufundi la Yanga chini ya makocha Manqoba Mngqithi na baadaye Fadlu Davids, kabla ya kuamua kurejea Afrika Kusini...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 18, 2026, ni mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 40 ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH).
Hafla hiyo inafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Masoud Kipanya alitangazia dunia kuwa anaunda gari za umeme
Mamlaka zinazohusika zilipata taarifa na zikaanza mchakato wa kufuatilia uundaji wake ikiwepo kupima ubora
Ni zaidi ya miaka 2 imepita hakuna taarifa zozote zinazohusiana na maendeleo ya uundaji wa gari hizo na hakuna tamko lolote...
Kuna msemo wa kiswahili unaosema kwamba
"vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno"
pia Kuna msemo mwingine unaosema kwamba
" mtu kamili anabaki na amani endapo akilipa kisasi ikiwa alikosewa makusudi"
Sasa nikianza na msemo wa kwanza ni kwamba vitendo vya raisi aliyepo yani samia vinaonesha...
Kwa mikono yao sisiem sasa ni rasmi Lissu ni baba wa taifa.
Sisiem wamempa ufalme mheshimiwa Lissu kwa kishindo sana 😅
Nilipo ona ile cream ya watu wenye akili timamu hapo mbogamboga inapigwa vita nilijua hawa nyumbu kwisha habari yao😊
Sikio haliwezi kuzidi kichwa.
Ni vigumu kukua kumzidi aliyekuongoza kwenye dini labda kama hapo baadaye umtoe na ubakize Mwenyezi Mungu.
Viongozi wengi wa kiroho wanaonekana nje wako siriasi lakini ndani kabisa mambo ya Mungu kwao ni nadharia na mambo ya Giza ni halisi zaidi.
Iko hivi...
Fadlu Davids ndiye kocha wa yanga baada ya dili la saed ramovic kufeli uongozi wa yanga umefanikiwa kumpata kocha fadlu Davids
Ikumbukwe fadlu Davids alitakiea ajiunge na yanga mwanzoni mwa msimu huu lakini Kuna baadhi ya vipengere walishindwana na yanga wakaangukia kwa manqoba manqith lakini...
Habari za wakati huu wanajukwaa! Hatimaye siku ambayo wengi wetu tulikuwa tukiisubiri kwa hamu imewadia. Tiketi za mechi hii kubwa ya kihistoria kati ya FC Bayern na Ajax, itakayochezwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Raila Odinga (Talanta Sport City) tarehe 5 Januari 2027, zitaanza kuuzwa rasmi...
Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar.
Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
afrika mashariki
jumuiya
jumuiya ya afrika mashariki
katika
kazi
kiswahili
lugha
mashariki
mikutano
nyingine
rasmi
sadc
taasisi
umoja
umoja wa afrika
unesco
APT - Advance Persistence Threat - Maana yake hawachoki wala hawapoi
Fikiria serikali ya nchi inaamua kuunda kitengo cha udukuzi mahususi kuiba hela mitandaoni
Mnamo 1998 chini ya amri ya kiongozi wa zamani Kim Jong-il, Serikali ya Korea Kaskazini iligundua mapema kuwa vita vya mtandaoni ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.