AI Kwa Lugha Rahisi Ya Kiswahili | Jifunze Artificial Intelligence kwa Urahisi
Je, unataka kujifunza Artificial Intelligence (AI) lakini hujui pa kuanzia? Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kila mtu aweze kuelewa na kutumia AI katika maisha ya kila siku.
Ndani ya kitabu...
Nidhamu ambayo Rwanda inajijengea kwa kushika nafasi ya kwanza barani Afrika na kuwa miongoni mwa nchi 10 bora duniani zenye kiwango kidogo cha rushwa ni taswira endelevu (ongoing brand) itakayowanufaisha sana siku za usoni.
Sambamba na hilo, mpango wao wa muda mrefu wa kuanza ujenzi wa mitambo...
Ukiacha mabinti wanaovaa miwani kubwa za urembo na wazee sana sio rahisi sana kuona watu wanaoishi uswazi au maisha ya yasiyo ya kishua wakiwa wamevaa miwani.
Ni nadra kukuta watoto wa shule za serikali wamevaa miwani ya matibabu ila shule za binafsi wapo wengi wanaovaa miwani.
LENGO LA SERIKALI NI KUONGOZA BROKEN FAMILIES, KWANI ni RAHISI KUTAWALA WATU CHOKORAA WASIO NA FAMILIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Watibeli tunajua moja ya mbinu ya kimedani katika kutawala watu na Dunia kwa ujumla ni kanuni inayosema Wagawe uwatawale( Divide and Rules).
Siasa za...
Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk
Bei nimenyooka na hakuna free delivery .
Tupo kariakoo Magila na likoma.
Check 0745588735
Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
Wazazi walifunga ndoa wakamaliza, na wamefariki wakiwa ndani ya ndoa.
Sasa watoto na vijukuu baada ya kusoma wosia wa marehemu Babu na bibi zao waliokwisha kufa, hawaridhiki na mirathi, Sasa wameamua kuomba ndoa ivunjwe,
Watoto hawa wamejaribu muda Sasa kuhoji ilipo hatia ya ndoa ili watafute...
Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
Fikiria hii changamoto moja iwe practised kwa "Christians" wa hapa kwetu, kwamba wenye ndoa wanakuwa na akaunt 1 ya benki i.e mke na mume wana akaunti moja ambapo mshahara unaingia kama wote wanafanya kazi basi mishahara yao inaenda akaunti moja kama ni mume pekee ndiyo bread winner basi akaunti...
Yani kumnunulia mtu hata pombe za laki 5 ni rahisi mno mkiwa mnalewa , ila kumsaidia mtu 10k akale inaniwia vigumu mno🤔
Yani ni kama naona watu wa pombe ni wa muhimu mno halafu wengine ndio wanafuata🤔
Hili kisaikolojia limekaaje ? Walokole siwataki hapa.
nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku, Jatu, forever living, n.k yani ni mwendo wa kupigwa tu, je ni uvivu au elimu? hapana maprofesa nao...
Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi.
Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele.
Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
Wakuu, niaje?
Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa:
Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu!
Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na...
Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi.
Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
Ndugu wadau, habari zenu.
Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi.
Matokeo yake Sasa, yaliyotokea siku ya uchaguzi yanaipa nguvu serikali kusema yalichochewa na kauli za lisu. Mfano ukisema...
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano
kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni
Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi?
Kama...
Amakweli tembea uone.
Katika harakati zangu za kuvizia bandari zenu, nimekuja huku visiwani. Awali nilikuwa nahofia sana majuba nikajua ndani yake wapo mabikira safi au wake za watu.
Baada ya siku mbili tatu nikabonga na mwenyeji fulani akaniambia wataka mwanamke? Nikasema naaam, akasema hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.