rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kimedani Mzee wa Msoga hataruhusu rafiki yake yeyote au mtu wake wa karibu mwenye ndoto ya kuwa Rais awe Rais wa nchi hii

    Sabato Njema! Kama mtaalamu wa masuala ya kimedani. Njama, hila, siasa chafu na mambo ya kijasusi. Nachelea kusema mbinu anazotumia Mzee wa Msoga zimemfanikisha kwa kiwango kikubwa sana. Huku opponents wake wakibaki wanaachwaga kwenye mataa. Utanisamehe Mzee wa Msoga ikiwa hii kwako itakuwa ni...
  2. Mr punguzo Aluminium72

    Pata madirisha ya aluminium na milango kwa bei rafiki

    Dirisha la futi 5x5 ni 280,000 Dirisha la futi 5x6 ni 320,000 Dirisha la futi 6x6 ni 350,000 Dirisha la futi 6x7 ni 400,000 Dirisha la futi 7x7 ni 450,000 Dirisha la futi 7x8 ni 500,000 Dirisha la futi 8x8 ni 600,000 Mlango wa pvc board 270,000 Mlango wa kioo 320,000 Mlango wa Alucobond 380,000...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Rafiki yangu mke wa mtu miaka 52 ana mimba ya chekibobu, mumewe yupo Netherlands masomoni tangu 2024 Dec

    Huyu rafiki yangu alikuwa mlokole kweli kweli, mtu wa maombi kwelikweli, amejawa na Roho wa Bwana. Baada ya mume wake kusafiri, siku moja tukawa tumetoka naye out kuna kitu very weird nikakiona, aliagiza Savannah, nikajidai kama sijaona kitu. Akajiongelesha, nataka nitest leo inafananaje. Basi...
  4. Liu Yun

    Je, ulishawahi kukaa na ndugu yako mkimya sana!

    Je, ulisha wahi kukaa na ndugu yako mkimya sana, yani hawezi kuanzisha mazungumzo hata iwaje? Na hata kama anaumwa hakwambii, ila majirani na watu usio wajua wanajua kwamba ndugu yako anaumwa. Na akiwa na shida huwaeleza watu wengine na sio wewe? Na je ingekuwa wewe imekukuta hali hii...
  5. Pakome

    Rafiki yangu alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho

    Rafiki yangu aliyejiita lambalamba alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho Nimewahi kuwa na rafiki mshenzi kuliko wote ingawa sikufahamu mapema hadi siku aliponionesha video akiwa anatumbuiza...
  6. realMamy

    Rafiki wa Mume wangu............

    Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake. Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na...
  7. M

    Rafiki Briquettes mkaa utokanao na makaa ya mawe ni mbadala sahihi wa mkaa utokanao na miti

    RAFIKI BRIQUETTES Rafiki Briquettes ni bidhaa ya mkaa inayotokana na makaa ya mawe yanayozalishwa na shirika la Taifa la Madini (STAMICO). Sifa kuu za Rafiki Briquettes (Mkaa utokanao na makaa ya mawe):- • Zinawaka kwa muda mrefu (zaidi ya saa 4) ukilinganisha na mkaa wa miti wa kawaida. •...
  8. BabaMorgan

    Unaweza kuhisi kujenga mazingira rafiki kwa watu wenye ulemavu ni kwa ajili ya majengo ya Umma pekee

    Kumbe hata unapojenga nyumba yako binafsi lazima uzingatie Kuwa ni rafiki kwa watu wenye mahitaji maalumu sababu maisha hayana guarantee maana unaweza kujikuta wewe mwenyewe mmiliki unakuwa mlemavu. Ukianza kutumia Wheelchair ama magongo utaweza kufika restroom na kujisitiri.
  9. R

    Busara za Mchungaji Msigwa kwa Rafiki yake Lema: MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI

    MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema. Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri...
  10. F

    Baba wa rafiki yangu awaandikia wanae kitabu cha mwongozo wa maisha. Ni vizuri kila ukoo ama familia iwe na katiba yake ifatwe kama biblia na quran,

    habari wadau. Rafiki yangu mmoja kanionesha kitabu walichoandikiwa na baba yao kwa ajili ya kuwapa miongozo katika mambo mbali mbali ya kimaisha. kitabu kina sura 10 ambazo zimegawanyika, mfano sura ya muongozo kuhusu elimu dunia na jinsi ya kuipata, sura kuhusu ukweli wa dini, sura kuhusu...
  11. The Palm Beach

    Rev Peter Msigwa: MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema

    To: My friend Godbless Lema From: Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri. Kwa maoni yangu, ulijielekeza vibaya...
  12. Chaliifrancisco

    Ogopa sana Marafiki. Heri akuwinde mtu baki kuliko rafiki yako ambaye huwezi kumdhania

    Kumeibuka week hii story yakusikitisha ya mwanamke Roselyn Asanti Mchuna almaarufu Chunna. Ambae inasadikiwa alilishwa sumu na mmoja ya rafiki zake huko nchini Kenya. Mwanadada huyo mwenyeji wa Mombasa alikuwa influencer na mfanyabiashara mkubwa wa nyumba za kupanga maarufu kama Air BnB katika...
  13. Crocodiletooth

    Rafiki yangu Alex,ananidokeza baba yupo salama na anajishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo za kilimo!

    Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!
  14. E

    ANC maji ya shingo. Lumumba twendeni tukaokoe Chama rafiki

    Uchaguzi SA umekaribia ila Chama rafiki hali ni tete. Twendeni tukawadhibiti Vyama pinzani. Twendeni na masanduku ya kura tusaidie wapigania uhuru wa ANC kushinda kwa kishindo. RIP Chivayo.
  15. R

    Nilimkopesha rafiki yangu Milioni 1 akaahaidi ndani ya Mwezi anarejesha, ila ni miaka 2 sasa

    Habari Wakuu, Kuna jambo nimejifunza kuwa kuna vitu ukivifanya vinaweza kuvunja au kudhoofisha urafiki au mahusiano. Nina mshikaji wangu mmoja jana tumekutana tukawa tunapiga stori mbili tatu kisha akaniuliza kuhusu maendeleo ya jamaa yetu mmoja wa tangu sekondari, kiukweli ilinipa wakati mgumu...
  16. M

    Zingatia hili " rafiki zako wengi hawatamani kuona unafanikiwa kuwashinda✍️ Malenga wa Kiha

    Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao . #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha #Fikia ndoto zako
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Rafiki yako anayetembea na mke/mume wa mtu. Usimuamini. Huna Rafiki hapo. Ni wazi hata mkeo/mumeo anatoka naye. Wewe ndio hujui tuu.

    Hamjambo! Unajua kabisa. Rafiki yako. Unayemuamini. Unayemuambia siri zako. Anayejua mambo yako. Ukamkuta anayembea na mke au mume wa mtu. Tena mnapiga na stori kabisa. Inawezakuwa unamwambia anafanya ndivyo sivyo. My friend. Huyo sio Rafiki. Sisi Watibeli. Wazee wa kazi. Wanasaikolojia...
  18. Waufukweni

    Mtag/taja rafiki yako ambaye huwezi kabisa kumuweka 'loudspeaker' kwenye simu yako mnapozungumza

    Kuna marafiki au Watu wa karibu wanaweza kukuaibisha mbele za watu yaani haupaswi kabisa kuwaweka loudspeaker kwenye mazungumzo yenu hawakawii kutoa maneno mazito katikati ya maongezi ukabaki kufunga mdomo. Mtag/taja rafiki yako ambaye huwezi kabisa kumuweka 'loudspeaker' kwenye simu yako...
  19. Sifi Leo

    Hii ni aibu, karibu na rafiki supamaketi, Kilimanjaro opposite na sharonaro, vichaa wanalalana realy?ni aibu kwa wachanga.

    Siamini macho yangu, nilivyowazoea wachanga, realy saa hizi? Nimeingia supermarket ya rafiki nikanunua bidhaa zangu baada ya hapo, nikasema ngojea unywe hata bia moja kuna kiduka cha nguo za mtumba upande uo up, heeeee sijafikia kwenye hiyo bar, Walah vichaa wamekataa na kuna lako hasa wakike...
  20. KENZY

    Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!. Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!.. Jamaa kapagawa hajui...
Back
Top Bottom