Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na pombe nimegundua hii pombe imenifilisi vya kutosha.
Huu ni mwaka wa 15 nakunywa pombe. Siku nne za wiki nakunywa angalau bia 4 kama sio tano yaani heineken =4*300*4 = 48,000.
Siku tatu ambazo ni weekend nakunywa bia 10 mpaka 12 Heineken = 10*300*3 =...