polisi

  1. Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

    Naandika Kwa masikitiko sana. Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi. Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo...
  2. Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania

    Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
  3. Ndugu yangu wa damu alikuwa ameajiriwa na kazi yake ilikuwa kuua na kutesa ,na hakuwa polisi .

    Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
  4. R

    Mtuhumiwa wa Mauaji Hospitali ya Kenyatta akamatwa na Polisi

    Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Kalombotole alilazwa hospitalini hapo tangu Desemba 1, 2024. Mauaji ya hivi karibuni yanayomuhusisha...
  5. F

    Watuhumiwa watano (5) kati ya (7) wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa la kumvamia na kumpora mzungu raia wa kigeni

    Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani. Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
  6. Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  7. Rais Ramaphosa amsimamisha Waziri wa Polisi Senzo Mchunu

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha Waziri wa Polisi, Senzo Mchunu, baada ya tuhuma nzito zilizotolewa na Mkuu wa Polisi, Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi. Mkhwanazi amemshutumu Mchunu pamoja na Naibu Kamishna wa Polisi, Shadrack Sibiya, kwa kuingilia uchunguzi nyeti na kushirikiana...
  8. J

    Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

    HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza...
  9. Mchungaji Kimaro KKKT Kijitonyama: Polisi hawajatoka ardhini kuzimu. Ni ndugu zetu

    Wakuu, Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu Jeshi la Polisi sio...
  10. R

    GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi Kwa mujibu wa taarifa...
  11. Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  12. CHADEMA wadai kada wao amefichwa polisi Dar

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka suala hilo waulizwe Idara ya Uhamiaji. Magere ambaye ni mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji wa CHADEMA...
  13. L

    GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  14. T

    Polisi wetu wanazo KPIs.? Zipo smart?

    Nimetafakari na kujiuliza kama jeshi la polisi lina utaratibu wa upimaji utendaji kazi wa askari wake. Vigezo vya kumpandisha cheo ni muda aliohudumu ama afanye tukio tu? Naomba kufahamu, pengine tunawaonea bure tu kulalamika mambo yetu hayaendi yanapofika kwao.
  15. E

    Jiji la Nairobi lafungwa, polisi watanda kila kona

    Wakati Watanzania wakiadhimisha siku ya Sabasaba ikiwa ni maadhimisho ya kimataifa ya Biashara, kwa Wakenya siku hiyo inakumbukwa kuwa ni ya kiharakati, ikienda hadi miaka 1990 ambapo baadhi ya wanasiasa walifanya mkutano wa kihistoria katika uwanja wa Kamkunji jijini Nairobi, kushinikiza...
  16. Polisi wamiminika kudhibiti maandamano ya Saba Saba

    Barabara zote kuu zinazoelekea jijini Nairobi zimefungwa leo huku hali ya usalama ikimarishwa katika maeneo mbalimbali ya mji, kufuatia maandamano yanayotarajiwa katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Saba Saba. Kulingana na BBC, polisi wameweka vizuizi katika maeneo muhimu, wakizuia magari ya...
  17. Sitosahau siku niliokamatwa na polisi kisa kupunguza upwiru

    Nakumbuka ndo nilikuwa nmemaliza kidato cha nne shule fulani jijini Mwanza. Iyo siku niliwasiliana na mzee akanambia yupo road anakuja home, mzee hua unabana sana yaani akiwepo home hakuna kutoka nikushinda ndani ikabidi niondoke om nienda kupunguza upwiru mabatini jijini mwanza ilikuwa mida ya...
  18. GE2025 Polisi wamefika kwa ajili ya kutawanya Wananchi waliofunga barabara Kata ya Terati, jijini Arusha

    Wananchi wa Kata ya Terati, jijini Arusha, leo Julai 6 wamefunga barabara ya Mapambazuko wakipinga uteuzi wa mgombea udiwani wa CCM, Julias Lenina, ambaye amemaliza muda wake, lakini jina lake limeteuliwa tena kuwa miongoni mwa watakaopitishwa kuwania nafasi hiyo. Wakieleza sababu za hatua...
  19. Msaada kukamilisha fomu ya maombi ya hati ya tabia njema polisi mtandaoni

    Habari wakuu, Nipo kwenye tovuti ya polisi ya kuomba hati ya tabia njema, hapa: Police Clearance Sehemu zote naweza kujaza isipokuwa kwenye sehemu inayodai 'Application letter reference number' na 'application letter reference date'. Hizi ni barua gani na namuandikia nani? Msaada tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…