nyumba

  1. Mstahiki Meya Kinondoni, Rangi za Nyumba Hazitaficha Majitaka, Vumbi na Ujenzi Holela wa Kinondoni

    1/ Nimeusikia ujumbe wa Meya wa Manispaa ya Kinondoni unaowataka wananchi kupaka rangi nyumba zao ili kuboresha mandhari ya mji. Lengo la kuwa na mazingira yanayovutia ni zuri na linaweza kuungwa mkono na wengi. 2/ Hata hivyo, kabla ya kuanza kuwataka wananchi kufanya maboresho ya mwonekano...
  2. Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

    Natamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili. Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa afya njema ya mwili na akili, pamoja na kuleta furaha ya kweli maishani. Ni lengo langu kuu kufanya...
  3. A

    KERO Magari ya Mangi yanaharibu Nyumba Kikuba-Tukuyu

    Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe. Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai.. Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka. Tunaomba Serikali...
  4. M

    NyumbaManager -Mfumo unaosimamia mahesabu ya nyumba za kupanga

    Habari wote, Kama kawaida nawaletea mfumo wa kusimamia mahesabu ya nyumba au apartment za kupanga.Huu ni mzuri zaidi kwa wale wenye nyumba nyingi/apartment na wanahitaji kuweka records vizuri na kuona faida inayopatikana Mfumo unahifadhi 1.Taarifa za nyumba/apartment zako 2.Taarifa za...
  5. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa?

    Fundi kuniambia kama unataka kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa. Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ? Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye...
  6. Nyumba za ibada ndizo sehemu zinazoongoza kwa upigaji

    Ukiachana na serikali kwenye makusanyo ya hela sehemu nyingne wanapokusanya hela nyingi ni nyumba za ibada , ( kanisan &misikitini) Kama ilivyo serikalini kuwa na wadokozi wa hela ndivyo ilivyo kwa nyumba za ibada Viongozi wengi wa dini ni wezi na wahujumu uchumi wa nchi pamoja na washirika...
  7. Nahitaji nyumba ya kusimamia ujenzi

    Nina uzoefu na kufanya kazi kwenye ujenzi kama Kuna mtu anataka mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba yake Niko hapa
  8. Nyumba ya kuishi au kubomoa inauzwa Mbezi njia ya Goba

    Habari maboss Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Sqm 300 Docoment serikali ya mtaa Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika. Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea...
  9. Simu za nyumba ni mtego unaomaliza pesa za watu

    Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu, wanakimbilia simu zilizoandikwa Refurbished (zilizokarabatiwa na kufungwa upya kwenye maboksi) wakiamini...
  10. Je, Nyumba Imekosa Baba?

    Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/...
  11. Wanawake mnaolipa kodi za nyumba, chakula na ada za watoto huku mkiwa na waume nyumbani wenye afya njema, mmechanganyikiwa? Are you stupid?

    Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
  12. NYUMBA INAPANGISHWA-CHANIKA

    NYUMBA INAPANGISHWA- CHANIKA - DAR Ipo Chanika Nyeburu Karibu na Doctor Elim School maarufu Geti la Jeshi Maelezo ya Ziada:- Vyumba 3 Choo cha ndani na cha nje Maji Ina uzio( Fenced) Eneo kubwa la uwani - Mtaa uliotulia Maelezo zaidi mpigie mhusika Moja kwa Moja 0750477009
  13. Kwanini mabosi wengi ikifika muda wa kujaza kifusi kwenye nyumba huwa hamtaki?

    Eti uelewa mbovu au ni nini?
  14. Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  15. A

    DOKEZO Responded Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia nyumba

    Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026. Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
  16. M

    Ukijenga nyumba ya zaidi ya million mia 200 fanya haya.

    Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200. Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi. Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto. Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.
  17. A

    KERO Wakazi wa Mbagala Rangi Tatu tulivunjiwa nyumba zetu kimakosa, amri ilikuwa ya Kitalu kingine, tunapambania haki yetu

    Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya mahakama, barua za notisi, na ramani zilikuwa zinaonyesha wazi kuwa zoezi lilikuwa ni kwa ajili ya Kitalu...
  18. A

    KERO Shule ya Msingi NANJANGA haina nyumba ya mwalimu

    Shule ya Msingi NANJANGA iliyopo kata ya Ngunja Halmashauri ya Tandahimba haina nyumba ya mwalimu kitu ambacho kinalazimika mwalimu mkuu kulala ofisini. Muda wa kazi ukiisha, ofisi inageuzwa kuwa chumba cha kulala. Shule hii ina walimu sita, wanafunzi 150 na imeanzishwa mwaka 2016. Haina...
  19. M

    Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  20. Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

    Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…