1/ Nimeusikia ujumbe wa Meya wa Manispaa ya Kinondoni unaowataka wananchi kupaka rangi nyumba zao ili kuboresha mandhari ya mji.
Lengo la kuwa na mazingira yanayovutia ni zuri na linaweza kuungwa mkono na wengi.
2/ Hata hivyo, kabla ya kuanza kuwataka wananchi kufanya maboresho ya mwonekano...
Natamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili.
Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa afya njema ya mwili na akili, pamoja na kuleta furaha ya kweli maishani.
Ni lengo langu kuu kufanya...
Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe.
Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai..
Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka.
Tunaomba Serikali...
Habari wote,
Kama kawaida nawaletea mfumo wa kusimamia mahesabu ya nyumba au apartment za kupanga.Huu ni mzuri zaidi kwa wale wenye nyumba nyingi/apartment na wanahitaji kuweka records vizuri na kuona faida inayopatikana
Mfumo unahifadhi
1.Taarifa za nyumba/apartment zako
2.Taarifa za...
Fundi kuniambia kama unataka kujenga
nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa.
Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ?
Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye...
Ukiachana na serikali kwenye makusanyo ya hela sehemu nyingne wanapokusanya hela nyingi ni nyumba za ibada , ( kanisan &misikitini)
Kama ilivyo serikalini kuwa na wadokozi wa hela ndivyo ilivyo kwa nyumba za ibada
Viongozi wengi wa dini ni wezi na wahujumu uchumi wa nchi pamoja na washirika...
Habari maboss
Kiwanja chenye nyumba kinauzwa
Sqm 300
Docoment serikali ya mtaa
Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika.
Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea...
Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani.
Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu, wanakimbilia simu zilizoandikwa Refurbished (zilizokarabatiwa na kufungwa upya kwenye maboksi) wakiamini...
Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla
https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/
https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/
https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/...
Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
NYUMBA INAPANGISHWA- CHANIKA - DAR
Ipo Chanika Nyeburu
Karibu na Doctor Elim School maarufu Geti la Jeshi
Maelezo ya Ziada:-
Vyumba 3
Choo cha ndani na cha nje
Maji
Ina uzio( Fenced)
Eneo kubwa la uwani
- Mtaa uliotulia
Maelezo zaidi mpigie mhusika Moja kwa Moja
0750477009
Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.?
Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba?
Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora?
Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje.
Nyumba ilishapakwa...
Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026.
Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
Anonymous
Thread
ardhi
ardhi dodoma
bila
dodoma
hati
hati ya kiwanja
kiwanja
mchezo
nyumba
ridhaa
takukuru
Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200.
Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi.
Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto.
Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.
Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya mahakama, barua za notisi, na ramani zilikuwa zinaonyesha wazi kuwa zoezi lilikuwa ni kwa ajili ya Kitalu...
Shule ya Msingi NANJANGA iliyopo kata ya Ngunja Halmashauri ya Tandahimba haina nyumba ya mwalimu kitu ambacho kinalazimika mwalimu mkuu kulala ofisini.
Muda wa kazi ukiisha, ofisi inageuzwa kuwa chumba cha kulala.
Shule hii ina walimu sita, wanafunzi 150 na imeanzishwa mwaka 2016. Haina...
Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia.
Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.