nyumba

  1. R

    Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
  2. stabilityman

    Ramani ya nyumba ya kuanzia maisha au ya kulindia kiwanja

  3. Kasri Homes Tz

    House4Sale Kibamba: Nyumba 3 Bdrm; Kiwanja 1,400sqm; Bei Mil 78. Beba - Dar

    • Direction: • Condition: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  4. Pascal Mayalla

    Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
  5. Youbettersleep

    Hamtaki Ramani za Nyumba, garden au fence?

    Nipigie nikupe plan bei zangu ni BUREEEE PIGA HATA TUONGEE KUHUSU YANGA KUTOCHEZA MECHI. PIGA 0621 622 070
  6. Kasri Homes Tz

    House4Sale Mbezi: Shinda Mnada Wa Hii Nyumba, Vuna Mil 9 Kila Mwaka - Dar

    • Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Bid Start Price: • Agent Fee: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  7. Arsenal Gunner

    Kuna jamaa aliuziwa nyumba, aliyemuuzia kafariki halafu hajabadili hati alimdanganya hana hati kumbe nyumba ina hati

    Wakuu jamaa yangu aliuziwa nyumba, sasa aliyemuuzia amefariki jamaa akiwa bado hajabadili jina la hati ya nyumba hapo inakuaje Ili kuweza kupata haki yake wakuu au ndio atadhulumika? Mwenye nyumba alimdanganya kwamba hati hajapata kumbe anayo ndani, watoto wa marehemu wameiona sasa inasemekana...
  8. radhiya

    Nyumba inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  9. Hharyson

    KUWA NA PESA PEKE YAKE HAITOSHI KUWA NA NYUMBA NZURI UNAHITAJI PIA WATAALAMU WABOBEVU KAMA SISI CALL US 0624004650

    TUNAHUSIKA NA HUDUMA YA DESIGN NA UJENZI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  10. stabilityman

    Nahitaji watu 10 niwauzie raman za nyumba kwa bei rahisi tu hamna haja ya kuumizana wote tujenge kwa ramani

    Raman hizi zote unazoziona hapa zina vyumba 2 vya kulala Nichek 0743 257 669 Natoa ofa kwa watu 10 tu niwape hizi raman Nina stock ya raman zaidi ya 500 na nachora nyingine mpya kila siku niletee oda yako Sitak Mtanzania ujenge bila raman ya nyumba Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe...
  11. Planet Data bundles

    Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

    1.mbeya najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane 2.Iringa huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha 3.Katavi 4.Njombe 5……
  12. E

    CHADEMA kumtafuta Mdude kwenye nyumba za Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitamtafuta kada wake, Mdude Mpaluka Nyagali aliyetoweka tangu usiku wa kuamkia Mei 2, 2025 mkoani Mbeya. Chadema pia wamempa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura saa 72 kuzungumza na Taifa kuhusu matukio ya utekaji na watu...
  13. Hharyson

    HII NYUMBA KILA MTU ANAUWEZO WA KUIJENGA 2BEDROOMS, LOUNGE,DINNING ,OPEN KITCHEN AND STORE CALL US 0624004650

    SIMPLE AND AFFORDABLE HOUSE HII NZURI SANA KUANZIA MAISHA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES 0624004650
  14. Mr Why

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
  15. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Kiluvya: Eneo la kujinafasi linauzwa pamoja na nyumba - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  16. radhiya

    Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  17. radhiya

    Nyumba inauzwa Bahari Beach Dar es Salaam

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yafungua Milango ya Uwekezaji Kwenye Ujenzi wa Nyumba za Makazi

    𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐈𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈 Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
  19. radhiya

    Nyumba inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  20. H

    NYUMBA INAUZWA 90M IPO KIGAMBONI MWASONGA ENEO LA KIGOBEDI

    Nyumba inauzwa eneo la Kigobedi, Mwasonga, Kigamboni. Ukubwa wa eneo: 580Sqm 3 rooms zote master Sitting room Dining room Kitchen Store Umeme upo kijiji cha jirani kama 500m Nyumba ni mpya haijawahi kukaliwq na mtu ndani. Document zote zipo. Mawasiliano: 0783242247 Barabara ya...
Back
Top Bottom