Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.
Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara.
Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa wanajua kupambania biashara kwa bidii. Pia hawana kona kona za leo hivi kesho vile ulilinganisha na...
Viongozi wa nchi hamfikirii
Mahakama hamfikirii
Tume ya Uchaguzi hamfikirii
Usalama wa nchi hamfikirii
Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu wachache mno ambao in next 15 to 20 years huenda wakawa mavumbini based on WHO life expectancy extracts...
Its a blessing and curse in between.
Utapiga style hii, kesho itakukumbusha haujapiga style hii, kwa hio, huyo nduki unamtumia nauli aisha.
Ni nishati ya kipekee ambayo imeshikilia hatma ya maisha ya mwanamke na mwanaume, ni nishati ya kipekee ambayo itatafsiri stori ya mtu iliobaki katika...
Dkt. Gwajima D
Watoto wadogo ni rahisi kupelekeshwa kwa namna isio sahihi.
Ingawa usalama wa watoto hawa unakuwa jukumu la wamiliki pale watoto wanapokuwa shule ila tunahikkishaje kama wanazuzingatia kisahihi?
Amid kuwepo na ripoti za wafanyakazi wa hizo day care na wapita njia kuwarubuni...
Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi.
Hali hiyo inatukuta Wafanyakazi wa Kampuni ya IRIS inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara mbalimbali Zanzibar na...
Anonymous
Thread
fedha
kampuni
nyingi
usingizini
wafanyakazi
zanzibar
zssf
Naona since Mwezi huu uanze na issue ya Baba mpaka piko kichwani .
Kinachofata ni ramli .
Kama mpaka muda huu kitalu namba inne hakijalimwa msiniambie chochote kuhusu ramli .
Ikiwa hakuna wa kumfunga paka kengele je kipi ni kipi
Anyway mwenda kwao sio mtoro.
Na kwanini ukitoka humo ndani (kama uliingia na Mwanamke) Wahudumu wakiona Nylons ni Kavu si tu Wanakucheka bali Wanakudharau mno?
ONYO
Kama unajijua huna Utani wa Kijadi na Kiutamaduni na Wahaya au Watu wa Mkoa wa Kagera (Bukoba) kama Mimi GENTAMYCINE tafadhali kaa nao mbali, kwani nawajua...
Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati.
Siku hii ya Ijumaa...
Salaam. Nembo niliyoibuni (nembo A) ilifanikiwa kuingia 3 bora shindano la Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark) - MADE IN TANZANIA. Shindano lilikuwa na jumla ya washiriki 83.
Kama member wa JF, nilikuja hapa kuomba support yenu katika zoezi la upigaji kura ambapo members wengi walinipigia...
Ni kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara
Inashangaza...
Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa.
Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji,
Hii sio mbaya, ila inashangaza hadi maeneo ambayo hayajawahi kuwa na usumbufu na yenyewe...
Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto.
Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa kula,yaan roho yangu inasononeka kabisa ukinipa chakula na mboga ndogo.
Hali inayonifanya hata...
Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi.
Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe bingwa wa ligi. Mungu huyu wa ajabu amezidi kuonyesha maajabu yake kwa mechi ya Simba na Yanga...
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.