ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Si kwa ubaya , ila kumtambua samia kama rais kwangu ni ngumu sana na ni aibu hata angepigiwa kura na wa tz wote.

    Binafsi miongoni mwa vitu ambavyo vimeshatokea na vinanikwaza ni kuona samia ni rais wa nchi. Kwa wanaompenda ni sawa kwa matakwa yao ila kwangu naona aibu sana kumtambua au kusimamama kidete kusema samia ndiye rais wa nchi yetu. Siwezi kumsikiliza samia hata sekunde 10 bila kukwazika na...
  2. Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu

    Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu Uraibu ni hatari sana kwenye maisha ya binadamu na unaweza kupelekea kupoteza maisha Kuna uraibu wa aina nyingi sana, kwa kufupisha nikuwa uraibu ni hali ya kutumia hisia mbaya au kitu kwa kupita kiwango Ni kazi ngumu sana...
  3. N

    NGUMU HII: Katika Kampuni binafsi ziliyojaa (60%) Management na Staff watu wa kabila moja tofauti na wewe. Uliweza ku-survive mtanzania Mwenzangu??!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mwaka 2014 mpaka 2016 mimi yalinishinda. Nilifanya kazi ya mkataba wa miaka 2 mkataba ulipoisha tu, wakataka kunipa mwingine nikakataa. Nikaondoka zangu kutoka Kigoma, huyooo nikarudi zangu Tanga kufanya kazi ya conductor wa daladala. Na ndio kazi yangu mpaka leo hii...
  4. Ilikuwa ngumu kumuondoa CEO wa Nvidia mwenye ujuzi wake.

    Naona karata zilichangwa wakaona huyu tukimuondoa na jinsi soko la hisa linavyo poromoka tutawapa chat hawa wachina. Kumbuka wachina nao wanakuja juu kwenye mifumo ya chip,Ai na teknolojia kubwa na uzuri wa wachina wangetumia dau kumchukua au kumshawishi kwao hata bei yoyote. Hii ndio rahaa ya...
  5. M

    Kumbe usingizi nao unaweza kuwa addiction inayotesa, ngumu kuachika na kuharibu maisha kama ulevi kupindukia wa pombe ?

    Nilikuwa sijui hayo ila maarifa ni kama bahari hayana mwisho leo nimejifunza kitu kipya Kuna watu wana uraibu wa kulala unaowatesa na kuwakoseha mengi kama walevi wa pombe
  6. Nyerere awamu ngumu kuwahi kutokea na ukatoliki wake

    Mnamo Jumatatu ya mwezi Mei 18, 2015 Profesa Joseph L. Mbele aliandika katika Blog yake (mtandao wa jamii) akiwahimiza Watanzania kusoma vitabu viwili: Kitabu cha Dr. John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, kilichochapishwa na Shirika la Kanisa Katoliki la...
  7. Serekali na CCM, tambueni. CHADEMA ni kama ilivyo kwa HAMAS Kwa sasa. Ni ngumu kuitenganisha Chadema na wananchi

    Shekhe Yassin alipokianzisha chama cha HAMAS alijua kitakuwa ndio chama mbadala wa PLO ya mzee Arafat. Hamas walitawala huko Gaza wakati PLO walikuwa kule West bank. Nini ilikuwa tofauti ya itikati kati ya Hamas na PLO? PLO walikuwa wanaomba haki za wapalestina na Hamas wao walikuwa wakidai na...
  8. J

    HOJA Kuimarisha utaratibu wa ajira kwa wauguzi kulingana na kiwango cha elimu

    Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree). Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
  9. Shikilia vizuri ulicho nacho kwa sababu ni ngumu mno kuinuka upya baada ya kuanguka kiuchumi

    Motivational speakers watakuambia "Knocked down? You can stand up"... mwingine atakutolea mifano ya watu walioanguka na kusimama upya na mara nyingi huwa ni watu wa Ulaya na America. Hatakupa mifano ya watu maelfu walioanguka na kushindwa kuinuka upya hadi ile siku wanavuta pumzi ya mwisho...
  10. kwanini watu wengi hawaipendi JF

    Je ni uvivu wa kusoma au ni spana maana miaka ya nyuma nili wafundisha baadhi ya watu kwa wakati tofauti tofauti jinsi ya kutumia Jf na kuwafungulia ID ila baada ya muda wakakimbia sikujua sababu hasa ni nini
  11. Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka huweka watoto wao

    Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka wataweka watoto wao au ndugu zao. Hii mtajifunza Rwanda,Uganda na sasa inakuja kwetu.
  12. M

    Pesa halali imekuwa ngumu sana nchi hii

  13. Ujinga zingine ziko kwa DNA πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini πŸ˜„ 🀣

    UJINGA ZINGINE ZIKO KWA DNA πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† NI NGUMU KUWATOA WAFUASI WA HUYU KWA HUYU .......APELI Najua kuna watu bado na hii wataamini πŸ˜„ 🀣
  14. Dizaini kama vile vyuma vimeanza kukaza mtaani, pesa imekuwa ngumu au ni huku tu kanda ya ziwa wakuu

    Hellow wakuu, Mimi binafsi huwa naleta thread kutoka field moja kwa moja kutoka mtaani mwaka 2020 yalinikuta enzi za anko Magu Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku yaani nilikonda nkachakaa πŸ˜„ usiombe uwe na biashara halafu huna backup unaitegemea hiyo hiyo na wateja...
  15. M

    Bara Kuna Uncle T na Visiwani Kuna Mauzinde: Hii vita bado ni Ngumu

    Nenda kajionee mwenyewe katika Instagram Akaunti zao uone watu wakubwa na Maarufu wanaowa-Follow kwenye Instagram Akaunti zao wenye jinsia ya kiume na wale ambao wao kina Uncle T na Mauzinde wanawa-Follow katika akaunti zao au biashara zao zinazomilikiwa na Wanaume. Ndiyo maana sikushangaa...
  16. Unajuwa kwa nini serikali ya CCm inatumia nguvu kuficha ukweli October 29 .Sita sahau na ni ngumu kufutika akilini.

    Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu. Hii kazi mungu ni samahee
  17. M

    Je, ni kweli ni ngumu kwa Mwanamke kutulia na Mwanaume mmoja?

    Huyu jamaa anadai kuwa inaamika wanaume ndio hawawezi kutulia na Mwanamke mmoja lakini yeye baada ya kuanza kufanya kazi na Wanawake amegundua kuwa hata wanawake ni ngumu kutulia na Mwanaume mmoja. Anasema jambo hilo lipo pande zote mbili, japo wanawake wanajitetea kuwa wanampenda fulani na...
  18. Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

    Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote. Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa...
  19. Ngumu kuelezea, ila Ukigusisha Remote ya Gari kwenye Kichwa chako, Mionzi inafika mbali zaidi kuliko uki-point Remote uelekeo wa Gari

    Sijui kama tittle imeeleweka. Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali. Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock. Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…