netanyahu

Benjamin "Bibi" Netanyahu (born 21 October 1949) is an Israeli politician, serving as the prime minister of Israel since 2022, having previously held the office in 1996–1999 and 2009–2021. He is chair of the Likud party. Netanyahu is the longest-serving prime minister in Israel's history, having served a total of over 16 years.
Born to secular Jewish parents, Netanyahu was raised in West Jerusalem and the United States. He returned to Israel in 1967 to join the Israel Defense Forces and served in the Sayeret Matkal special forces as a captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology, Netanyahu worked for the Boston Consulting Group and moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute. Between 1984–1988 Netanyahu was Israel's ambassador to the United Nations. Netanyahu rose to prominence after election as chair of Likud in 1993, becoming leader of the opposition. In the 1996 general election, Netanyahu became the first Israeli prime minister elected directly by popular vote, and its youngest. Netanyahu was defeated in the 1999 election and retired from politics, entering the private sector. He returned and served as minister of foreign affairs and finance, initiating economic reforms, before resigning over the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to lead Likud in 2005 and was leader of the opposition between 2006–2009. After the 2009 legislative election, Netanyahu formed a coalition with other right-wing parties and became prime minister again. He led Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. Netanyahu made his closeness to Donald Trump, a friend since the 1980s, central to his appeal from 2016. During Trump's presidency, the US recognized Jerusalem as capital of Israel, Israeli sovereignty over the Golan Heights, and brokered the Abraham Accords, normalization agreements between Israel and the Arab world. Netanyahu has faced criticism over expanding Israeli settlements in the occupied West Bank, deemed illegal under international law. In 2019, Netanyahu was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud, and relinquished all ministerial posts, except prime minister. The 2018–2022 Israeli political crisis led to a rotation agreement between Netanyahu and Benny Gantz. This collapsed in 2020, leading to a March 2021 election. In June 2021, Netanyahu was removed from the premiership, before returning after the 2022 election.
Netanyahu's coalition pursued judicial reform, which met with protests in early 2023. In October 2023, Israel suffered a large-scale attack by Hamas-led Palestinian groups, triggering the Israel–Hamas war. Due to failure to anticipate the attack, Netanyahu has been criticized for presiding over Israel's biggest intelligence failure in 50 years, and faced protests calling for his removal. Netanyahu's government has been accused of genocide, culminating in the South Africa v. Israel case before the International Court of Justice in December 2023. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Netanyahu, and other members of his cabinet, for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Israel inatisha ! Mwaka ndio huo unayoyoma, kiongozi mkuu wa Iran kajificha uvunguni kama panya

    Israel wanatisha sana!! Mwaka unaelekea ukingoni huku kiongozi mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, akiwa bado amejichimbia uvunguni mwa mahandaki Hapendi ila inamlazimu, Israel wamekaa mkao wa kula akithubutu tu kutoka huko shimoni wanawatuma tena marubani wao wa kike wakafanye kilekile...
  2. M

    Tusimlaumu Motjaba kiongozi mkuu mpya wa Iran kuendelea kujificha, alichofanywa baba yake aliyejiamini hagusiki ni funzo kuwa Mossad hawajaribiwi

    Ni mwaka sasa unakaribia kuisha, Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, bado hajawahi kujitokeza hadharani kwa protokali rasmi tangu alipochukua madaraka mwezi Machi 2026. Kama amewahi kutoka basi ni kwa kujificha ficha na kuvujisha picha baada ya kurudi tena mafichoni. Siku ya kiama...
  3. M

    Hivi Iran wamekwama wapi kulipiza kisasi walichoapa kwa Netanyahu? Ni aibu na fedheha marubani wa kike kumuua kiongozi mkubwa kama Ayatollah

    Ilikuwa ni aibu ya kihistoria na dharau ya mchana kweupe! Israel iliamua kumshusha thamani Ayatollah kwa kiwango cha juu kabisa mpaka ikafikia hatua ya kutuma mabinti wa kike kwenda kumsambaratisha, tena kipindi kile alichokuwa akijiamini kuwa mifumo ya ulinzi ya Iran na makomandoo wake wapo...
  4. Echolima1

    Wawakilishi wa Eisenkot na Netanyahu waanza duru ya tatu ya mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja Israel 🇮🇱

    Wawakilishi wa Eisenkot na Netanyahu waanza duru ya tatu ya mazungumzo ya serikali ya umoja Wawakilishi wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na Gadi Eisenkot, mgombea mkuu wa upinzani, wameanza mkutano wao wa tatu kuhusu kuunda serikali ya umoja. Ujumbe kutoka chama cha Likud cha Netanyahu na chama...
  5. C

    Isarel: Netanyahu, Eisenkot kuanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya

    Vyama vya Waziri Mkuu wa mpito wa Israel, Benjamin Netanyahu, na mpinzani wake, Gadi Eisenkot, vinatarajiwa kufanya mazungumzo mapya leo, Novemba 22, 2026, mjini Tel Aviv, kujadili uwezekano wa kuunda serikali ya muungano baada ya uchaguzi wa Oktoba kushindwa kumpa upande wowote wingi wa viti...
  6. Echolima1

    Waarabu waliharibu Uchaguzi Israel kisa kumwangusha Netanyahu!!

    Israel: Maafisa wa polisi waliokuwa kazini katika vituo vya kupigia kura katika jamii za Wabedui huko Negev wakati wa uchaguzi wa Knesset, waliambia Channel 14 kwamba waligundua watu wakirudi kupiga kura wakiwa na vitambulisho tofauti. Maafisa hao walisema baadhi ya matukio hayakurekodiwa...
  7. Echolima1

    Netanyahu amshauli Eisenkot kufanya mazungumzo "bila masharti yoyote" kuhusu muungano wa "umoja" unaojumuisha pia kundi la Haredim

    Netanyahu ametoa wito kwa Eisenkot kufanya mazungumzo "bila masharti yoyote" kuhusu muungano wa "umoja" unaojumuisha pia kundi la Haredim. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ametoa wito kwa mpinzani wake mkuu wa kisiasa, Gadi Eisenkot, kujiunga na kile anachokiita serikali ya umoja inayojumuisha...
  8. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  9. Financial Analyst

    Waarabu wa JF wanafurahia netanyahu kushindwa kura ila wanashindwa kukumbuka kuwa nchi zao hakuna uhuru wa kukosoa au kuchagua unaemtaka kama israel😁

    Mtikiila aliwahi kusema watu wana "UNYANI"
  10. zitto junior

    Pigo jingine kwa Netanyahu: Chama kutoka kambi yake chakataa kumuunga mkono

    Wakati wa mashauriano kati ya wakuu wa chama na Herzog, ambayo yalimalizika Alhamisi, wanachama 67 kati ya 120 wa Knesset walimuunga mkono Eisenkot, huku 46 pekee wakimunga mkono Netanyahu. Uidhinishaji wa Netanyahu ulipungua viti 7 kati ya viti 53 vya kambi yake baada ya Uyahudi wa United...
  11. Ritz

    Wananchi wa Israel wamefanya Regime change wamkataa Netanyahu

    Wanaukumbi. Rais wa Israel Isaac Herzog amesema amempa kiongozi wa upinzani, Gadi Eisenkot, jukumu la kuunda serikali mpya baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita kutotoa mshindi wa wazi. Matokeo ya uchaguzi yaliiacha kambi ya Eisenkot na ile ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu bila idadi ya kutosha...
  12. Richard

    Rais wa Israeli amteua mpinzani wa Netanyahu, Gadi Eisenkot kuunda serikali mpya ndani ya siku 28

    Bwana Gadi Eisenkot wa chama cha Yashar, amepewa nafasi ya kuunda serikali mpya ya Israeli. Picha credit kwa Baz Ratner wa AP. Raisi wa Israeli Herzog amemteua bwana Gadi Eisenkot kuunda serikali mpya ya Israeli ndani ya siku 28 ambazo zitaongezezeka kwa siku 14 zaidi. Bwana Eisenkot ambae...
  13. 6 Pack

    Netanyahu akimbilia kujitetea kuwa Israel haikuhusika na shambulio la juzi ili kukwepa retaliation ya Iran. Trump apigwa za chembe.

    Niaje waungwana Ule msemo wa kunguru muoga hukimbiza ubawa wake umashaanza kutimia huko Israel, baada ya kunguru muoga ( shetaninyau ) kuogopa kukubali kuwa alihusika au kushirikiana na Marekani katika shambulio la juzi, hivyo kuwa salama na kuepusha maangamizi makubwa ambayo angekutana nayo...
  14. MakinikiA

    Netanyahu anajitetea anaogopa Mvua ya drone na fatah 2

    zilizopitaIsrael: Hatukuhusika na mashambulizi ya jana usiku dhidi ya Iran .Chanzo cha picha,Reuters Jeshi la Israel lilisema Jumanne kwamba halikuhusika katika mashambulizi yanayoripotiwa kufanywa na Marekani dhidi ya kisiwa kimoja nchini Iran. Taarifa hiyo imekuja wakati Waziri Mkuu wa...
  15. Echolima1

    Gadi Eisenkot Kushirikiana na vyama vya waarabu kutaka kumshinda Netanyahu!!

    Israel: Kiongozi wa chama cha Ra'am, Mansour Abbas, anaashiria kuwa masharti yaliyowekwa na Gadi Eisenkot kwa ajili ya kuunda muungano hayatazuia chama chake kujiunga na serikali, kwa mujibu wa taarifa ya Channel 12. Masharti hayo manne ni Kuitambua Israel kama taifa la Kiyahudi na la...
  16. BIOTOXINS

    Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  17. kavulata

    Hata Netanyahu analia kaibiwa kura, kumbe madai ya tume huru hapa ni kiini macho tu

    HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura. Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao. Hapa kwetu tunauana eti kupata tume...
  18. S

    Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

    Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera. Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha? Alamusiki.
  19. Keyboard_Warrior

    Wizi wa kura hauna mipaka: Netanyahu aibiwa kura

    Sio Afrika tu, hadi taifa teule watu wanaibiana kura, Netanyahu analia lia kuibiwa kura huko. Hadi taifa teule kuna wizi wa kura!? Hatari sana.
  20. Ritz

    Utawala wa mmoja wa matapeli waovu na wenye kiu ya damu zaidi katika karne ya 21 hatimaye umefika mwisho.Kwa heri Netanyahu

    Wanaukumbi. 🇮🇱 NETANYAHU KUONDOKA TEL AVIV IMEANZA KUSHEREHEKEA Vituo vya kupigia kura vimefungwa. Tel Aviv imelipuka kwa sherehe za upinzani. Kulingana na matokeo ya kura, kambi ya Netanyahu imeshindwa kupata wingi wa kura. Upinzani na vyama vya Waarabu sasa vinaweza kuwa na nguvu ya kuamua...
Back
Top Bottom