ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Angekua ndugu kaka, dada au baba yako ungejisikiaje?

    Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
  2. Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  3. Ndugu zangu nimekoma umaarufu na attention zimeniponza

    Nisameheni🙏 Hakika mtaka vyote hukosa vyote sasa najuta hata wale wako kuwa wananiona wa maana wamenitupa kwa trash Ndugu zangu, msipende kuchukiza watu, kuna watu ukimess up nao, utachukiwa na kila mtu. binti kiziwi ephen_ Lamomy Binti wa zamani Mallerina min -me Harmful ShesRise_1...
  4. Hebu Tumsikilize Huyu Ndugu Kuhusu Continuity Cable

  5. Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

    Kila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai...
  6. Mod uliye kazini: Una uhasama nami au ni shida gani?

    Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea? Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi? Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu, Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah Wanabodi huyu mod...
  7. Tunafuta ndugu zake

  8. Ndugu wa LISSU, akiri , kumbe LEMA na MBOWE ndio walikua wanamtembelea LISSU Usiku kumshawishi akubali MARIDHIANO!!.

    Wakuu, Kuna ndugu wa LISSU hapa anadai kua 'Lema na Mbowe, ndio walikua wanamtembelea LISSU majira ya usiku !!!
  9. John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya

    Wanaukumbi. John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao. Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya...
  10. Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  11. Namtafuta Ndugu Humphrey Polepole. Mwenye taarifa ya uhakika ya mahali alipo tafadhali

    Naomba mwenye taarifa zaidi anijuze mahali alipo na majina ya waliohusika kumpoteza kuanzia aliyetoa wazo mpaka watekelezaji wake. Asanteni.
  12. Ndugu zangu historia itamkumbuka mshindi tu, haijalishi alifanya vigisu kiasi gani kukushinda au kukudidimiza wewe, kwa hio jitahidi usife kikondoo

    Muachie mark awe anaikumbuka. Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao. Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
  13. Ndugu zetu walio toka sauzi

    Naam nina mashaka makubwa sana na hawa ndugu zetu walio toka sauzi. Hasa wale ambao afya zao hazijaharibika sana kwa madawa ya kulevya, Hofu yangu kubwa ni USALAMA WA RAIA na MALI ZAO, Kuna namna kwa wingi wao wanaweza kufanya jambo lisilofaa ndani ya jamii. Zingatia hawa ni Ma...
  14. Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

    Ndugu Watanzania! Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo. Kwa...
  15. Tunatafuta ndugu zake

  16. Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

    We dwell here not according to our will, but according to his divine plans. Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima. Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo.. Umezaliwa, unapumua...
  17. Malisa, acha kubishana na hao ndugu, hawapendi! Ni mtego huo- jiondokee zako

    Sasa, unaweza uone unaweza kuwabishia hao Masadukayo. Lakini ukweli ni kwamba, umetegwa na wanajipanga kukuundia jambo Ondoka na rejea ulipokuwa kwa amani kabisa. Mshika mpini daima hupenda akuonyeshe kwamba, yeye ndiye na wewe siye Mwenye masikio na....
  18. Askari Polisi Mwita Milumbe ateswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

    Habari ya kazi kaka. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania. Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa upande wa mauaji na utekaji wao. Amekuwa akipinga mpaka akahamishwa kituo cha kazi kutoka Dar es...
  19. Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…