ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    Kabla hujaanza kusaidia ndugu zako zingatia haya mambo:-

    1. MSAADA WAKO SI WA PEKEE KUNA WATU WENGINE PIA WANAWASAIDIA ILA WEWE HUJUI. Usijione unajitoa Sana Kwa ndugu zako ukajiona wewe Ni mtu special Sana kwao, utaumbuka Kuna watu wengine wanawapa misaada kama unavyotoa wewe. Ila hawasemi ukweli Kwa sababu ukijua hautawapa Tena au utapunguza. hivyo...
  2. Kaka yake shetani

    Umaskini na uchafu ni ndugu wawili japo uchafu wenyewe ni huu.

    Sehemu ambapo kuna umaskini wa kutupa kuna kuwa na uchafu wa kutisha kuanzia mazingira,matendo ya kiharifu,umalaya,magonjwa,ubakaji uwonevu,mateja,kimboka,sudani tMK na sehemu za starehee za ajabu.
  3. baharia 1

    Hakuna nafasi ya mifereji kwangu, ndugu wa mfukoni wakae mbali

    Wanajamii Forums, leo sina hata tone moja la huruma wala maneno ya kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hawa wanaojiita ndugu Kama kuna kitu kinachonichefua kwenye maisha haya, ni kuona mijitu yenye roho ngumu kama chuma cha pua ikijifanya ina upendo wa ghafla baada ya kuona umejitutumua na...
  4. AXIOM APEX VERBOSE

    Ndugu wakigombana shika Jembe Ukalime!

    Msemo huu unamaanisha usijihusishe au kuingilia ugomvi wa ndugu (au watu wa karibu) kwa sababu mwishowe watapatana na kukuacha wewe ukiwa adui au ukijuta, badala yake endelea na shughuli zako za maendeleo. Hapa kuna maana na mafunzo makuu yanayotokana na methali hii: * Watu wa karibu...
  5. Gunner11

    Ndugu ndio wanaochukiana vibaya kuliko mtu baki.

    Is it because kwa sababu mmeishi pamoja, so mnachukuliana fresh tu, ama huwa kuna wivu kuwa ndugu yako akifanikiwa wewe utaonekana boya? Kati ya watu walaghai, watu wanao ku backstab kwenye maisha ni ndugu. Na sometimes the people you call fresh and blood will be the ones to sketch your...
  6. Gunner11

    Hivi ndugu zangu, mke bora ni yupi?

    Binafsi ninajipanga kufikia katikati ya mwaka ujao niwe na mchumba wa kuweka ndani.. Najua kuna wengi hapa hampendezwi na kuoa, kwa sababu ya vihoja visivyo Isha kutwa kucha.. Ila nimejaribu kupima mzani wa mimi kutokuishi kwenye ndoa na nimeona ya kuwa siwezi, siwezi kutapatapa na kupoteza...
  7. Liu Yun

    Je, ulishawahi kukaa na ndugu yako mkimya sana!

    Je, ulisha wahi kukaa na ndugu yako mkimya sana, yani hawezi kuanzisha mazungumzo hata iwaje? Na hata kama anaumwa hakwambii, ila majirani na watu usio wajua wanajua kwamba ndugu yako anaumwa. Na akiwa na shida huwaeleza watu wengine na sio wewe? Na je ingekuwa wewe imekukuta hali hii...
  8. U

    Kurani Tukufu ndiyo kitabu pekee duniani kilicho sahihi na chenye aya zinazoendana na hazipingani zenyewe kwa zenyewe

    Ni kitabu kitukufu usichoweza linganisha na biblia yenye matoleo na marekebisho mengi Kurani imesalia hivyo kama ilivyoshushwa na Mwenyezi Mungu. Tokea imeshushwa haijawahi kubadilishwa, kuongezwa, wala kupunguzwa neno lolote Niwatakie Ijumaa njema
  9. Mi mi

    Abdallah Mwaipaya na Twaha Mwaipaya hawa ni ndugu ?

    Nilikuwa nauliza kuna undugu wowote kati ya hawa watu wawili ? Kwa yoyote anaye fahamu
  10. N

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
  11. Moto wa volcano

    Dunia ya sasa inataka ubinafsi. Usiishi na ndugu nyumbani kwako

    Dunia ya sahivi inataka u binafsi. Kwenye familia yako usiishi na ndugu, ndugu wape misaada wakiwa mbali utajiepusha na mengi.
  12. S

    Nimefuatilia suala la bosi wa NVIDIA na sakata la EIPSTEIN, nimegundua ndugu zetu wakristo mnapata tabu sana kwenye mahusiano

    Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii. Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
  13. comrade_kipepe

    Ndugu Nassib amkiri Yesu kua Mwokozi wa maisha yake

    Kijana huyo anayeimba nyimbo za bongo flava, ameonekana akifurahia kukutana na rafiki yake kutoka Nigeria Bw. David. Akiwa na msalaba shingoni Kwa story za chini chini inasemekana alishabadii DINI na kua mkristo kwani alionekana kupendezwa na DINI hiyo akiita ni ya "wanyamwez" ikafikia hatua...
  14. Raba kali

    Ndugu wanaJamiiForums, aminini nawaambieni! UCHAWI UPO...

    Kama hakuna uchawi nani anaweza kuelezea tukio hili kisayansi? Angalia kuku anavyolia target! Anavizia mpira unapigwa anauvaa anaelekea gorini yeye mpira unatoka nje. Hiv visanga utakutana navyo uswahilini tu, kama hujazaliw huko utaviskia tu. Nani anaweza kuelezea tukio hili kisayansi, aelezee tu
  15. F

    Nachukia sana ninapoona maskini anazaa watoto wengi. Ndugu, jamaa na marafiki maskini wanapoongeza watoto wengi, wananikera sana

    Kuna watoto wengi sana duniani ambao hawakuchagua kuwa makahaba, wezi, majambazi, watumiaji wa mihadarati au watu wanaoishi maisha ya hatari. Lakini mazingira waliyokulia yaliwafanya waone hizo ndizo njia pekee zilizobaki za kuishi. Fikiria mtoto anayekulia kwenye familia ambayo haina uhakika...
  16. K

    Jamani huyu ndugu yetu yupo wapi?

    Picha: Watanzania kwa Upendo walitoa kikombe chenye ujumbe "NIOE TESHA" Mnamo Oktoba 2025, kiongozi mzalendo Kapteni John Charles Tesha alijitambulisha na kutoa video iliyosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Alifanya hivyo wakati wataalamu wa CCM katika medani za sinema wakiwa hawajamaliza...
  17. Yoda

    Kwa nini Watanzania tunapenda kuitana ndugu bila hata kuwa ndugu?

    Nimemsoma Ayubu Rioba Chacha anamuita Tundu Lissu ndugu yake na anamtakia maisha mema ya gerezani. Ninavyofahamu Lissu ni Mnyiramba au Mnyaturu wa Singida na Rioba ni wa makabila mojawapo ya huko Mara, sasa undugu wao unatokea wapi ?! Watanzania tunapaswa kufuta fikra na mawazo ya kwamba kwa...
  18. Pascal Mayalla

    Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  19. Mad Max

    Leo BYD wamezindua Yangwang Altior uko Abu Dhabi. Ni Ultra-luxury Electric Sedan, wakina Rolls Royce na ndugu zake wakajipange!

    Siku ya leo ilikua special kwa BYD uko Abu Dhabi, kupitia sub-brand yake ya Yangwang, wamezindua Yangwang Altior. Hii ni Ultra-luxury sedan ya Umeme,ni ndefu mita 5.5 na wheel base ya mita 3.3, kidogo ndefu zaidi ya RR Ghost. Hii gari Ina range ya Kilometa 1,000 na iko na motor Nne, kila...
  20. MakinikiA

    Lissu omba dhamana ukamzike ndugu yako......

    Majitu hayana utu yamekuwa kama hayajazaliwa na binadamu.........******÷÷÷÷///>>@@@
Back
Top Bottom