ndoa

  1. M

    Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

    Baraza la Mashekh wa Mkoa wa Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wake Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam limevunja rasmi ndoa ya Bi. Queen Masanja ambaye alikuwa Mke wa Dk. Mwaka leo hii Tarehe 25/1/2023. “Ndoa hii imepoteza malengo na makusudio hakuna upendo wala maelewano baina yao hadi sasa zaidi...
  2. KUZAA NAE ISIWE TIKETI YA NDOA. MAMAMKWE NAE 'DJINGAH' TU.

    Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto. Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake. Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la...
  3. Usidanganywe na stori za vijiweni, ijue Sheria ya Ndoa na Talaka

    NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI) Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo baadhi yetu ni matokeo ya ndoa za wazazi wetu na wengine tumepata matokeo ya ndoa zetu wenyewe...
  4. Mambo unayotakiwa uyajue kwenye ndoa

    MAMBO UNAYOTAKIWA UYAJUE KWENYE NDOA. Anaandika, Robert Heriel i. Ndoa ni taasisi nyeti inayounda serikali ndogo iitwayo Familia. ii. Serikali(familia) lazima iwe na muundo wa utawala na mamlaka. Nature imempa Mwanaume nafasi ya kuwa Mtawala. Hivyo Baba ndiye Mtawala, Rais, alafu Mama ndiye...
  5. Fahamu hili, kabla hujasaini mkataba wa ndoa na mwenzi wako

    Siku Ile unasaini Ile karatasi ya mkataba wa ndoa ni siku Muhimu Sana Wenda kuliko siku zote katika maisha yako yote. Siku hiyo unasaini mkataba wa Mafanikio yako katika awamu mpya ya maisha au mkataba wa kufeli kabisa katika maisha. Kabla ya kufikiri ni gauni gani utavaa, fikiri Huyu...
  6. Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

    Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi (ninaowajua) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua. Sijui kwanini Wema...
  7. Nimepiga chabo vitabu vya mchungaji, karibu 90% ni jinsi ya kutatua mambo ya ndoa

    Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro. Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye fokasi, wanaacha kujifua mambo ya maana ya kwenda mbinguni wanaishia Kutafuta namna ya kutatua migogoro...
  8. Ndoa za Kulazimishwa ni Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu Unaopaswa Kupingwa kwa Nguvu Zote

    Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa. Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
  9. Ndoa na kanisa

    Hello, Ningependa kujua mamlaka ya kanisa kufungisha ndoa iliyatoa wapi? Ikiwa Bible inawapa majukumu wazazi wakikubali ndoa tayari. Kuna makanisa yalikuwa yanasitisha baadhi ya huduma Kwa wazazi ambao watoto wao hawajafunga ndoa kanisani. Je, mamlaka hii inatoka wapi? Anyway mwenye andiko...
  10. Mahari na kufunga ndoa ndio sababu inayofanya vijana wasioe

    Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?.. Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
  11. Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

    Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona. Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu...
  12. Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
  13. Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

    Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia . Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana mtu ambaye amezoea kudekezwa kweli hajazoea visa vya mama mkwe . Na mengineyo kama ndugu wa bwana...
  14. Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

    Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu. Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu. Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu. Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
  15. Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  16. Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za Ardhi? Siku moja alinifata ndugu mmoja akawa ananisimulia kisa chake mke wake amekuwa akimfumania...
  17. Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

    1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect). 2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake. 3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe...
  18. Usiombe mtu unayemjua akukaushie kwa kutokujibu SMS

    Siku 3 zilizopita Mwanamziki Benpol alisema hakufurahia ndoa kama ambavyo anaona wengine wanavyofurahia ndoa zao. Ndoa anayoizungumzia ni ya yeye na Anerlisa - binti kutoka Kenya. Lakini mara kadhaa Anerlisa amesisitiza kuwa hataki kuzungumziwa na Benpol kwa chochote - iwe ni kizuri au kibaya...
  19. Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

    Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi. Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi...
  20. Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…