Hiki kisa naeleza hapa ni nyakati zili kwisha kuyoyoma.
tangu enzi za elimu yangu ya msingi nilikuwa natumia mmea wa uzima, yaani kilevi Cha bangi.
hii ni kulingana eneo la jeografia niliyo ishi, vitu vingi nilijifunza mapema hasa ule urafiki na marasta wakati ule ungali mvulana mdogo...